MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

MAREKANI: Polisi watano wauawa huko Dallas

Hawoo ni vichaaa ,angekuaa muisilamu hapo. Angepewa ugaidi
 
Naona kuna pesa inachangwa kusaidia familia za police lakini haijawahi kuchangwa kusaidia familia za hawa weusi wanaouwawa...issue hapa ni kwamba hata Rais Obama hana uwezo kusaidia waafrika wenzie wasiuwawe...nae analalama tu kama wao wanavyolalama..
Ukweli ni kwamba watu weusi tuna wajibu wa kujipigania sisi wenyewe bahati mbaya tunajidanganya hawa wanatupenda...
 
UPDATE 2
The gunman killed in a stand-off with Dallas police said he was upset about the police shootings of black people and wanted to kill white officers, the city's police chief has said.

The suspect told police that he was working alone, police chief David Brown told reporters.
Five Dallas police officers were killed and seven wounded by gunmen during protests against the shooting of black men by police, authorities say.

Three people are in custody.
==============================
UPDATE 1

BREAKING: Shooting suspect involved in standoff at El Centro with Dallas Police Department has shot himself.

==================



Maafisa wanne wa polisi mjini Dallas, Marekani wamepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga mauaji ya watu weusi.

Maafisa wa polisi katika mji ulio katika jimbo la Texas, wanasema mauaji hayo yametekelezwa na washambuliaji wawili wa kulenga shabaha.

Msako mkali unaendelea kuwasaka washambuliaji hao, mkuu wa polisi wa Dallas David Brown amesema.

Maafisa wengine saba wa polisi wamejeruhiwa, Bw Brown amesema.

Wawili wamefanyiwa upasuaji wa dharura na mmoja yumo katika hali mahututi.

Ufyatuaji risasi ulianza waandamanaji walipokuwa wakipitia barabara za mji na kuwafanya waandamanaji kukimbilia usalama wao.

Maandamano hayo yalitokana na kuuawa kwa wanaume wawili weusi, Philando Castile jimbo la Minnesota na Alton Sterling eneo la Baton Rouge jimbo la Louisiana.
============================

Four Dallas police officers were killed and seven others were wounded by snipers on Thursday night during a demonstration protesting the police shootings in Minnesota and Louisiana this week, according to Chief David O. Brown of the Dallas police.

One suspect was arrested late Thursday after a shootout with the Dallas police, the Police Department said on Twitter.

A second man, whose photo the Police Department had released as a “person of interest,” had turned himself in.

Chief Brown said the shooting was carried out by two snipers who fired down on a demonstration in the city’s downtown area that until then had been peaceful.

“Some were shot in the back,” the chief said. “We believe that these suspects were positioning themselves in a way to triangulate on these officers.”

A civilian in the crowd of almost 1,000 people was also wounded.

The police were also combing downtown Dallas for what they believe was a bomb planted by the snipers as the heart of the country’s ninth-largest city was put on lockdown.


Source: New York Times

Newtons third law of motion iwe juuyao daima
 
HAKI ZA WEUSI MAREKAN ZITALETWA NA WEUSI SIO YULE RAIS WA MDOMO BILA ACTNS
 
WAAMBIEN

BADO 6 JTATU NA JNNE TUNAKULA WATATU WATATU
 
Nimependa Maelezo ya nyani ngabu kuhusu hii hali inayotokea Marekani, maana nilikuwa nimeshawachukia hawa mapolisi...
 
Ulishawahi kuishi Marekani?. Unajaribu kulinganisha na nchi gani hapa duniani ambako kuna weusi ambao hawadhalilishwi?.
ukiongelea nchi zote zenye amani duniani na zilizo endelea, ni marekani pekee ndipo maisha ya binadamu, hasa mtu mweusi ni bure. sawa na sisimizi. Uingereza, ambao ndo waasisi wa hilo taifa la kihuni bado wanayaeshimu maisha. yakiwemo ya mtu mweusi. Na hayo ni kwa nchi zote za western Europe. The so called civilized countries.
 
Mlivyo wajinga mnachekelea tu bila kujua hata hao polisi wana rangi gani ya ngozi!

Mlivyo wajinga mnadhani Marekani hakuna polisi weusi? Hakuna polisi Walatino?

Ikitokea waliouliwa ni polisi weusi je? Bado mtafurahia?
mjinga mkubwa ni yule mwepesi wa ku wagunduwa wajinga wenzie. Sasa kwa taarifa yako, hii ni vita against the institution. nyie mnaita Homeland Security. If you are a black cap and you can't bring change then you are a part of the system build to terrorise and oppress black people. If they lost faith and trust into your juridic system, let them make justice. Have you ever asked yourself why people become terrorist?
 
mjini mkubwa ni yule mwepesi wa ku wa gunduwa wajinga wenzie. Sasa kwa taarifa hii ni vita against the institution. nyie mnaita Homeland Security. If you are a black cap and you can't make a difference then you are a part of the system build to terrorise and oppress black people. If they lost faith and trust into your juridic system, let them make justice. Have you ever asked yourself why people become terrorist?

You don't deserve anymore than this one liner!
 
USA baby inakuwa kama iraq sasa hivi
Kila penye uonevu, matokeo yake huwa kama haya. Inapofikia wakati mtu hana tena cha kupoteza isipokuwa uhai tu na ambao hauna thamani, ndipo anapoamua kufanya kama haya na zaidi.
Hili nalo ni fundisho tosha kwa viongozi wetu wanaoimba amani palipojaa chuki, wanapoimba demokrasia ndani ya udikteta, wananchi wanapoogelea umasikini katika bwawa la utajiri...... Mungu ayapishie mbali lakini dunia kwa jumla na Tanzania ikiwemo, inaelekea pahala pabaya
 
America is the land of immigrants red indies ndiyo kwao huko whites ni upumbavu unawasumbua tu kujiona wao ni watu na America ni yao.
For ecery action there is equal and opposite reaction. Komaeni blacks hakuna kurudi nyuma.
 
It's getting ugly over here!.
Mkuu hiyo movie ni noma sana yenye hayo maneno(2009).mi naona marekani pia ipelekewe vikosi vya usalama vya umoja wa mataifa kama ilivyo Kongo na somalia maana hayo ma FBI na macia yameshindwa
 
Back
Top Bottom