HaaaaaaAlaf kuna mtu anataka et marekani akapigane na Kim jong mnyoa viduku , mara sjui India , hii nchi mnaikosea adabu Sana ....!!!
Hawa jamaa ndo super power aka kiranja wa Dunia ...Urusi ndo anaishilia hvyo R.I.P..mwaka kesho niataenda beach za Miami then naingia zangu visiwa vya Hawaii.... Tukiacha na yote hata Mungu kuna kitu kawaongezea siyo bure
si alichapisha dola tu kutoka six digit number format akaongeza kuwa nine digit ili noti ziwe nyingi....it is simple. Ingekuwa amegawa tangible mineral kama dhahabu au almasi ingekuwa issue nyingine.Hili swali hata mimi huwa najiuliza sana imagine mwaka 1945+ aliikopesha hela ulaya nzima kwenye marshal plan.