The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Unajua ukifanikiwa lazima uchukiwe,wale wengine wanakua walalamishi kama watoto wa kambo au yatimaHuwa nashangaa watu wanavyoichukulia poa marekani. Hawa jamaa kama ni pesa wanayo tuache utani.
Yaani uchukue uchumi wa Brazil+Canada+India+ufaransa+Uingereza+German bado hawafikii uchumi wa marekani.
Hawa marekani pesa zote wanazitoa wapi? Yaani GDP ya California ni kubwa kuliko GDP ya India.
Swali marekani pesa zote anazitoa wapiView attachment 2168456
Iraq
Libya
