Marekani pesa zote hizo anazitoa wapi

Marekani pesa zote hizo anazitoa wapi

Pesa wanachapisha tu wenyewe
Kwa akili zangu za kawaida siyo za mchumi, Marekani ni wazalishaji wakubwa wa bidhaa za viwandani na teknolojia ya hali ya juu.

Wanauza teknolojia karibu kila kona ya dunia.

Maendeleo ya sayansi ndiyo mkombozi.

Sera zao za mambo ya nje ingawa ni za ubabe na kuburuza wengine zinawapatia nguvu kubwa za kiuchumi.
 
Pesa imezunguka miaka mingi kimkakati, si ya leo.

Imeanza tangu enzi za utumwa. Watu wamepata free labor kwa mamia ya miaka.

Halafu wameushika uchumi wa dunia kuanzia tech, culture, financial markets mpakq helq yq biashara ya dunia (dollar) wanachapisha wenyewe.
Marekani anafaidikaje na vita ya urusi na ukraine??
 
Alaf kuna mtu anataka et marekani akapigane na Kim jong mnyoa viduku , mara sjui India , hii nchi mnaikosea adabu Sana ....!!!

Hawa jamaa ndo super power aka kiranja wa Dunia ...Urusi ndo anaishilia hvyo R.I.P..mwaka kesho niataenda beach za Miami then naingia zangu visiwa vya Hawaii😀.... Tukiacha na yote hata Mungu kuna kitu kawaongezea siyo bure
 
Alaf kuna mtu anataka et marekani akapigane na Kim jong mnyoa viduku , mara sjui India , hii nchi mnaikosea adabu Sana ....!!! Hawa jamaa ndo super power aka kiranja wa Dunia ...Urusi ndo anaishilia hvyo R.I.P..mwaka kesho niataenda beach za Miami then naingia zangu visiwa vya Hawaii.... Tukiacha na yote hata Mungu kuna kitu kawaongezea siyo bure
Ni Sera nzuri ya imperialism ubepari wa Hali ya juu San ndio pia chanzo Cha yote hakukuwa na blahblaha za kushare resources equally za ujamaa wa kipumbafu
Kuadpot mfumu huu wa kusimamia uchumi wake wamefika Happ walipo

Russian Ni nchi tajiri pia nduo maana uwezi kuona warussian wakizagah zagaha duniani kutafuta fursa kwani unaambiwa kila kitu kipo Russian ndio maana Ni vigumu kumkuta mrusi mtani anapambana na miradi sijui ya ujenzi au kuchimba mafuta au kujenga reli hpna mrusi

Ana kila kitu nae mpk mbuga za wanyam nduo maana hatumuoni huku Africa akiangaika mno cjawai muona mrusi mtaali
All in all Sera za kibeparia na ubeberu limelisaidia San taifa Hilo pendwa duniani
 
Alfu atakuja mtu mmoja hapa alielewa anakwambia Germany, France, UK na wengine wa Ulaya watamkana US. Yaani hawajui US alishaweka mizizi na misingi ya kutawala Dunia mihongo zaidi ya 7 nyuma.

Tukiwaambia lile taifa linaplan miaka 50 mpaka 100 mbele watu wanaona blah blah blah. Wanadhani sijui US ile ni nchi kama hizi zetu za Africa na Asia. Yaani waga nabaki nacheka na kusikitika. Yaani nchi iliyoandika katiba yake zaidi ya miaka 230 nyuma na mpaka leo katiba hio hio imemfanya kuitawala dunia na kuwa taifa kubwa regardless ya magumu mengi aliyopotia, leo ndo ashindwe kuweka mikakati jinsi ya kuwadhibiti wapinzani wake 20 years or 50 ahead ili aitawae dunia.

Kuna vitu vinaanzaga kimchezo kwa policies walizoanzisha US lakin in a long run vinakuja kuleta effect kubwa sana na kuvibadili inakua mtihani kwa wapinzani wa US. Mfano ulishawahi kujiuliza siku campaign ya kupunguza matumizi ya Fossil fuel chini ya Campaign ya Sustainability ikifanikiwa walau kwa 75% kwenye nchi za Ulaya na US mwenyewe, watu kama Tesla na uchumi wa US utapaa kufika wapi? Je nchi zinazouza mafuta zitaendelea kuwa na kiburi kama zilivo leo?
Hapa kwenye mafuta US hajaamua kuwa serious akiamua hapa nakupa miaka 5 tunasahau habari za Diesel, Petroli na mafuta ya Taa kwanza angalia matumizi ya mafuta ya taa siku hadi siku yanapungua taa za chemli zimepungua, koroboi hakuna tena

Ndio maana nchi kama Qatar wameanza kuwekeza kwenye majengo wakijua mafuta yanakwisha na soon watu wanatoka kwenye utegemezi wa mafuta.
 
Ni Sera nzuri ya imperialism ubepari wa Hali ya juu San ndio pia chanzo Cha yote hakukuwa na blahblaha za kushare resources equally za ujamaa wa kipumbafu
Kuadpot mfumu huu wa kusimamia uchumi wake wamefika Happ walipo

Russian Ni nchi tajiri pia nduo maana uwezi kuona warussian wakizagah zagaha duniani kutafuta fursa kwani unaambiwa kila kitu kipo Russian ndio maana Ni vigumu kumkuta mrusi mtani anapambana na miradi sijui ya ujenzi au kuchimba mafuta au kujenga reli hpna mrusi Ana kila kitu nae mpk mbuga za wanyam nduo maana hatumuoni huku Africa akiangaika mno cjawai muona mrusi mtaali
All in all Sera za kibeparia na ubeberu limelisaidia San taifa Hilo pendwa duniani
Kumbe watalii kutotalii ni dalili za Utajiri na kuwa na Mbuga kwenu.

Ila wasouth Africa wana mbuga nzuri tu ila bado wanakuja kutalii Nchi kwetu.

Halafu kumbuka kila siku tunaomba watalii waje ili tupate mapato ya kutosha chifu
 
Kwa kuchochea Vita duniani!

Na kuingiza uwoga na uchochezi!
Inamlipa,

Analipwa na anaowagombanisha mbona rahisi Tu!
 
Kati ya hizo nchi 10, nchi 7 ni washirika wake. Na hapo bado hujashuka chini top 20, kuna korea kusini n.k kumuangusha US si leo wala kesho.

Huyo china mwenyewe anayeshika namba mbili, kumbuka bidhaa zake zinazomuingizia pesa za kigeni anauza zaidi US na EU.
Kabisa mkuu Trump aliwapiga sunctions China walilia Sana, angalia Huawei
 
Hakuna kitu kama hicho, kwani USA, ameanza kuwa na uchumi mkubwa duniani leo?!toka kipindi cha marshal plan, alikuwa ameshaanza kuzipiga hizo nchi?!!
Halafu utasikia jitu eti USA, Anadaiwa sembuse sisi?!yule anadaiwa lakini pesa anayosaidia/anayotoa kwa nchi mbalimbali ni nyingi mno, wewe unadaiwa je kuna pesa unatoa kama misaada!!
Apo sasa afu mwendazake alivyokuwa anaropoka kuhusu mabeberu Hadi huruma
 
KUNA WATU WANASEMA RUSSIA NI TAIFA IUBWA, KIENEO SAWA

RUSSIA HAWEZI SIMAMA VITANI MIAKA MIWILI HANA UBAVU HUO WA KIPESA

NAPELEKA MAIKI KWA WARUSI WEUSI WA KWA LULENGE
Ndo ukweli
 
Ni Sera nzuri ya imperialism ubepari wa Hali ya juu San ndio pia chanzo Cha yote hakukuwa na blahblaha za kushare resources equally za ujamaa wa kipumbafu
Kuadpot mfumu huu wa kusimamia uchumi wake wamefika Happ walipo

Russian Ni nchi tajiri pia nduo maana uwezi kuona warussian wakizagah zagaha duniani kutafuta fursa kwani unaambiwa kila kitu kipo Russian ndio maana Ni vigumu kumkuta mrusi mtani anapambana na miradi sijui ya ujenzi au kuchimba mafuta au kujenga reli hpna mrusi Ana kila kitu nae mpk mbuga za wanyam nduo maana hatumuoni huku Africa akiangaika mno cjawai muona mrusi mtaali
All in all Sera za kibeparia na ubeberu limelisaidia San taifa Hilo pendwa duniani
Mh! Washikaji kibao walioenda kusoma urusi wanarudi na wanawake wa kirusi
 
Back
Top Bottom