Marekani pesa zote hizo anazitoa wapi

Marekani pesa zote hizo anazitoa wapi

Hata mimi huwa najiuliza swali hili daily. Nikiangalia pesa alizotoa kwa Ukrane tu tangu vita ianze nimebaki mdomo wazi
Jamaa amehaidi kutoa $1b yaani Tsh 2,2t Kama humanitarian aid,,afu mtu Kama Magufuli alikuwa anaropoka eti mabeberu
 
Marekani ndio wamiliki wa dola na dola ndio inatumika ktk mabadirishano ya bidhaa duniani kote.
So usipate shida kuwaza wanakuwaje matajiri .
Wakitaka kitu wanabofya tu wanatengeneza midola wananunua chochote nchi yoyote.
Ni wahuni na wajanja wajanja tu hakuna kingine!
Na wewe fyatua ma Tsh
 
Hapa kwenye mafuta US hajaamua kuwa serious akiamua hapa nakupa miaka 5 tunasahau habari za Diesel, Petroli na mafuta ya Taa kwanza angalia matumizi ya mafuta ya taa siku hadi siku yanapungua taa za chemli zimepungua, koroboi hakuna tena

Ndio maana nchi kama Qatar wameanza kuwekeza kwenye majengo wakijua mafuta yanakwisha na soon watu wanatoka kwenye utegemezi wa mafuta.
Qatar wanazingua ...siku Mafuta yakiisha hayo majengo yataendeshwaje?? Yatabaki magofu Tu....usiniambie utalii, maana hautoshi, niambie nchi Gani duniani ambayo uchumi wake unategemea utalii Tu Na Imeendelea




in
 
1. The Exorbitant Privilege (They print the dollar out of thin air/ No inflation/ No balance of payment)
2. International Banking Monopoly
3. Massive Industrial and Technological Bases
4. Massive Reserve of Natural Resources
5. The Green Card
6. Political Resilience
7. Institutional Advantage
 
Pamoja na pesa zao bado awaifikii tanzania hata robo tu kwenye jumla ya thamani ya raslimali tele zilizopo
Inasemekana Mali ya congo Dr Ni sawa na utajiri wa marekani Kwa rasilimali zilizokuwepo congo Ni sawasawa na uchumi was USA
 
Ili kupata maendeleo yanahitajika mambo naku 3
1 Ardhi
2 watu
3 siasa safi yaani democrasia
Kifuatacho ni mibaraka kila k0na
Huo ni mtazamo wako....hivi China yenye maendeleo hivyo kuna demokrasia gani.

Usipende kukariri mambo.
 
Huwa nashangaa watu wanavyoichukulia poa Marekani. Hawa jamaa kama ni pesa wanayo tuache utani.

Yaani uchukue uchumi wa Brazil+Canada+India+ufaransa+Uingereza+German bado hawafikii uchumi wa Marekani.

Hawa Marekani pesa zote wanazitoa wapi? Yaani GDP ya California ni kubwa kuliko GDP ya India.

Swali Marekani pesa zote anazitoa wapi


View attachment 2168456
Tunawachangia pia kwa hiari yetu
 
Back
Top Bottom