Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,997
- Thread starter
- #61
Ukiangalia tech yake Kama Google, FB, watsapp, Tweeter, YouTube, Amazon, master card, khaa uyu jamaa nomaNami nimejiuliza swali kama hilo kwa ufupi nikagundua Marekani anapata sana hela zake kwa Mauzo ya Silaha na Teknolojia Nahisi karibia nchi zote za NATO jamaa ndio anasupply Vifaa vya kijeshi na baadhi ya nchi za kiarabu Saudia Arabia, UAE, etc
Na pia ana matajiri wakubwa so wanalipa kodi kubwa sana, pia ana export magari tena ya kifahari.
Pia ana hazina ya kila kitu, Dhahabu, Shaba, Almasi, Vifo vingi vya thamani, mafuta, Gas etc
.... Tukiacha na yote hata Mungu kuna kitu kawaongezea siyo bure