Marekani: Msichana mweusi apigwa risasi

Marekani: Msichana mweusi apigwa risasi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
1619062358056.png

Msichana wa miaka 16 amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na Polisi wa Colombus, Jimbo la Ohio kutokana na kile kilichodaiwa kuwa alishika kisu kuwadhuru Wasichana wengine

Ma’Khia Bryant amepigwa risasi nne kwa milio iliyosikika kwenye video inayomuonesha Msichana huyo akiwa na kisu. Hata hivyo, tukio lililokuwa likiendelea halipo dhahiri

Polisi aliyefanya tukio hilo ni Nicholas Reardon ambaye aliajiriwa mwaka 2019

====
 
Mbona taarifa vague hivyo. Achana na propaganda za CNN. Alikuwa anakwenda kumdunga kisu mdsda mwenzie ndio askari akamchapa risasi ili kuokoa maisha ya mdada mwenzake.

Mbona hatuambiwi rangi wala jinsia ya yule dada ambaye pona yake ilikuwa uwepo wa huyo askari?
Clown News Network!
 
Huyo aliekuwa anaenda kuchomwa yeye kasemaje? Maana huyo ndio shahidi no 1. Wasije wakatumia kigezo cha rangi kutetea uhalifu
Clowns don't think, ask or do their journalism properly. They just peddle lies and push their narratives. Propaganda machine.

Kinachonishangaza ni kuwa watu bado wanadhani CNN ni chombo cha habari. Cha kuchekesha zaidi ni pale wanapodhani hawa wachekeshaji wanaaminika!
 
Wale mashoga kina Don Lemmon ni wasenge sana yaani.Ile News outlet ni takataka kabisa,hawataki kutafuta facts na common sense ila kuchochea Opinion news na kulisha watu -ve propagandas.
Kwanza watu wenye akili walishaasanuka kuhusu BLM.Ni movement ya kitapeli iliyowekwa na ma elites kina George Soros na some liberals elites.Sio movement halisi ya watu weusi kama ile ya kina Martin Luther King jr.
 
Mbona taarifa vague hivyo. Achana na propaganda za CNN. Alikuwa anakwenda kumdunga kisu mdsda mwenzie ndio askari akamchapa risasi ili kuokoa maisha ya mdada mwenzake.

Mbona hatuambiwi rangi wala jinsia ya yule dada ambaye pona yake ilikuwa uwepo wa huyo askari?
Clown News Network!
Alichofanya askari na alichokuwa anataka kufanya Dada mwenye kisu hakuna tofauti...huwezi kuokoa maisha ya mtu mmoja kwa kuua mtu mmoja.
 
miaka 16 limwili lote hilo?

akili hakuna hapo...
Halafu sasa ukute ugomvi ulikuwa kugombania mwanaume!

Hao waamerika weusi hovyo sana,hawataki kuishi kwa kufuata sheria huku wanataka sheria ziwalinde wanalalamika mbona weupe hawafanyiwi hivi wanashindwa kujua hao weupe wana-stick sana kufuata sheria hata kama nao wanavunja sheria siyo kwa kiwango kikubwa kama wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom