Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
Sungura karukaruka
Wakati taarifa ya habari ya saa mbili nimeona mh mkulu akifurahi na kupongeza baada ya Marekani kutoa msaada wa dollar 800m, ikumbukwe baada ya MCC kusitisha msaada wengi wao CCM walionekana kuwaponda wafadhiri na kusema tunaweza kujitegemea wenyewe na kusema hii sio serikali ya omba omba akiwemo mkulu.
Hii naifananisha na ile stori ya sungura
Sungura karukaruka
Mmarekani anatujua vema na atatuchezea mpaka sharubu na tutakaa kimya tukikenuaHatutaki misaada kwani tunaweza kujitegemea wenyewe, yangu macho tu.
Niliposoma soma taarifa rasmi kutoka Ikulu nikajiuliza yafuatayo yanayo andikwa kuhusu JPM:
Labda somehow hiyo taarifa ni cracking joke. Vingenevyo, nitashangaa kama kuna mdau atakuja tena hapa JF na hoja on any of the above.
- "Kiingereza cha Rais JPM"
- "Serikali ya Udikteta"
- "Rais hajasafiri kwenda Ulaya"
- "Uvunjaji wa haki za binadamu"
- "Serikali ya kukurupuka"
- "Tanzania kutengwa na jumuhia za kimataifa"
- etc.
Hatujaomba wameleta wenyeweHatuhitaji misaada yao....kauli hizi zilisemwa na baadhi ya Waheshimiwa ......na wakaongeza kusema makusanyo ya kila mwezi yanatosha.