Marekani kutoa Dola Mil 800 kuchangia miradi ya maendeleo

Marekani kutoa Dola Mil 800 kuchangia miradi ya maendeleo

Walikuwepo na bado wapo. Kataeni msaada tuone....
Ila kumbuka wamejileta hawa baada ya kusikia UK atafidia ilo gap la MCC pia Mchina nae alishaahidi kufidia ilo.
Sasa wameona Symbioni itakwenda na maji pia ngoja warudi kivingine
 
Sasa, hatukuwapigia magoti, wala Rais hakutakiwa kwenda Marekani kwenda kuomba... na ukielewa vizuri utaona kuwa Wamarekanik wenyewe wameinitiate hili baada ya kuona Magufuli siyo tu kuwa hajikombi, bali pia haombi...
 
Huyu balozi alikuwa kajificha pale ubalozini bila kwenda kumuona raisi mpya. Angeshangaa siku wanawatimbia pale ubalozini na msafara wa kutosha. Maana raisi huyu jasiri angetimba pale wangeanza kujichanganya changanya.
Tena raisi anatakiwa awatimbie sio wanaleta kiburi na wakati wa ndani ya Tanzania
 
Sasa, hatukuwapigia magoti, wala Rais hakutakiwa kwenda Marekani kwenda kuomba... na ukielewa vizuri utaona kuwa Wamarekanik wenyewe wameinitiate hili baada ya kuona Magufuli siyo tu kuwa hajikombi, bali pia haombi...
Mzee wa kuchutama, hiyo pesa iko kwenye bajeti IPI ya serikali? Iliyopita au inayokuja ? Naona Kama Baba Jesca anamaliza scenes zote za maigizo hata mwaka haujaisha , .. Ile inshu ya Bunge live imekutia aibu Sana (from neutral point of view)
Serikali ya Maigizo katika Ubora wake
 
Back
Top Bottom