funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,121
- 31,644
With the following features....among othersAre you living human???
Respiring
Locomotion
Reproducing
Wisdom
With the following features....among othersAre you living human???
watu wanachekesha sana kuacha kutegemea michango ya misaada ya mataifa mengine ni ngumu kujenga uchumi imara ndugu zangu tuache ushabiki wa kimhemuko tunaouona wakukusanya mapato ya ndani jambo hili mm ninaliunga mkono % zote ni jema sana ni ishara ya serikali kuwajibika ili kuliletea taifa maendeleo tuyatakayo... tukiwekewa vikwazo vya kiuchumi na mataifa makubwa uchumi wetu utaporomoka mara moja kwa sababu uchumi wa dunia unategemea mataifa makubwa kiuchumi kama USA, UK, RUSSIA, SCANDINAVIAN COUNTRIES, ITALY na mengineyo, mfano mzuri mwaka ule USA ilipokumbwa na economic recession dunia yote ilitetereka hadi pale Raisi Obama alipoamua kupitisha au kupampu pesa nyingi kwenye mzunguko wa fedha nchini marekani ndipo uchumi wa dunia ulianz kuimarika kwa hiyo kusema tutegemee pato la ndani kuishi ni sawa sipingani nalo lakini lazima nguvu ya wakubwa ni muhimu kwa uchumi wetu, kwa sababu hiyo mkwamo wa kisiasa Zanzibar unaweza kuzaa matokea hasi kwa uchumi wetu kama viongozi wa kisiasa wasipokuchukua tahadhari mapema kuzuia hali hii isitokee kwa taifa letu kuwekewa vikwazo vya kiuchumi... tutashindwa kuuza bidhaa zetu kwa mataifa mengine hapo ndipo tutakosa fedha za kigeni zenye kutuwezesha kuwa na uwezo wakununua bidhaa na huduma kutoka kwa wenzetuUdikteta zama hizi ni hatare!jpm na serikali yake wajitathmin
UmeniUzuri wake ni kuwa miongoni watakaoumia pia wapo walioichagua ccm.......
Tena ndio wengi kweliUzuri wake ni kuwa miongoni watakaoumia pia wapo walioichagua ccm.......
Wewe furahia tu ukidhani UKAWA mtakuwa mmewakomoa CCM. Sanctions zikija wewe na familia yako mtashikwa pia. Waulize wapenzi wa MDC - Zimbabwe.Taifa la Marekani linatarajia kushusha rungu la aina yake kwa serikali ya Tanzania kufuatia hali ya sintofahamu inayoendelea nchini kutokana na sakata la uchaguzi mkuu wa Zanzibar.
Habari zinadokeza kuwa taifa hilo kubwa duniani litaweka vikwazo vya kiuchumi kwa Tanzania hali itakayopelekea Tanzania kuandika historia nyingine mbaya mbele ya uso wa dunia.
Serikali ya Marekani tayari imezuia misaada mbalimbali kwa Tanzania na pia ndiyo iliyoshinikiza Tanzania kunyimwa fedha za MCC. Hata hivyo serikali ya Tanzania bado haijatilia maanani jambo hilo huku ikioneknana kupuuza juhudi za kimataifa kuitaka kuumaliza kwa haraka mgogoro wa Zanzibar unaofukuta kwa kuacha haki ichukue mkondo wake.
Habari zinadokeza kuwa balozi wa Marekani nchini atatoa msimamo unaoelezwa kuwa 'mkali' ili kuishinikiza serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi october mwaka jana ambao ulielezwa kuwa huru na wa haki.
Hiv ww unaelewa maana ya economic sanction nchi kubwa kama iran, syria na russia zililia. Unakumbuka kilichotokea zimbabwe mpaka leo pesa yao imekuwa kama toilet paper!KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hatuwezi kuishi kwa misaada pekee ....na inatakiwa kuulinda uhuru wetu kiukweli!!
moja ya sababu iliyowafanya Kenya wajitegemee kwenye bajeti yao ni vikwazo vya uchumi walivyowekewa kwa uongozi tulionao naamini vikwazo vitatuamsha kwa sababu tuna kila kitu kinachoweza kufanya tujitegemeeMajibu jibu yako yasio na mantiki reveals how u're greymatter is mis-wired!!!!
Mkuu siku hizi hata nchi za Scandinavia zinafuata maelekezo ya Merikani - ndio maana na wao waliwekea URUSI vikwazo vya kiuchumi wanashiriki vile vile kwenye mazoezi ya kivita na NATO wakati wao si wanachama, Japan ndio kabisa ni marafiki wakubwa wa Merikani.
Jipe matumaini Tanzania jinsi ilivyo haina uwezo kusimama bila hawa jamaa na ukiwekewa vikwazo vya kiuchumi itakuwa zaidi Zimbabwe.Kama kweli yalikuwa maamuzi ya wananchi kama mnavyodai sasa ndo wakati wa kuthibitisha hilo kwa kupata kula za kishindo.Marekani acha waweke vikwazo tu watatupenda weneyewe tutajiendesha bila hata misaada wasilete ukoloni hapa mbona ya kwao yanawashinda?watuachia nchi yetu yenye amani.Kwa Zanzibar tushamaliza asiyependa ahame nchi maana wengine nahic sio watanzania mnataka kutuibia
UHURU HUPI MKUU. UHURU WA KUWEKA MPIRA KWAPANI KISA MAJI YA MEZIDI UNGA?KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hatuwezi kuishi kwa misaada pekee ....na inatakiwa kuulinda uhuru wetu kiukweli!!
Kama ndiyo walioshinda uchaguzi, kwa nini wasipewe?Hivi kuumaliza mgogoro ni kuwapa madaraka cuf...?!
Hiv ww unaelewa maana ya economic sanction nchi kubwa kama iran, syria na russia zililia. Unakumbuka kilichotokea zimbabwe mpaka leo pesa yao imekuwa kama toilet paper!
Ni dhahiri suluhu ya Zanzibar ina umuhimu wa kipekee na ina hitajika mapema iweze kanavyo kwa ustawi na amani ya Tanzania na haki ikipewa nafasi yake, ila inapo fikia hali ya kutishwa na mataifa makubwa kwa sababu yoyote ile ina nijia kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere alivyo kuwa mahiri wa kukabili vishindo kama hivi na kwa sasa Robert Mugabe.Taifa la Marekani linatarajia kushusha rungu la aina yake kwa serikali ya Tanzania kufuatia hali ya sintofahamu inayoendelea nchini kutokana na sakata la uchaguzi mkuu wa Zanzibar.
Habari zinadokeza kuwa taifa hilo kubwa duniani litaweka vikwazo vya kiuchumi kwa Tanzania hali itakayopelekea Tanzania kuandika historia nyingine mbaya mbele ya uso wa dunia.
Serikali ya Marekani tayari imezuia misaada mbalimbali kwa Tanzania na pia ndiyo iliyoshinikiza Tanzania kunyimwa fedha za MCC. Hata hivyo serikali ya Tanzania bado haijatilia maanani jambo hilo huku ikioneknana kupuuza juhudi za kimataifa kuitaka kuumaliza kwa haraka mgogoro wa Zanzibar unaofukuta kwa kuacha haki ichukue mkondo wake.
Habari zinadokeza kuwa balozi wa Marekani nchini atatoa msimamo unaoelezwa kuwa 'mkali' ili kuishinikiza serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi october mwaka jana ambao ulielezwa kuwa huru na wa haki.
China kwa sasa ndiyo anatoa pesa nyingi kwa Tanzania na ikitokea na yeye akaminya pesa zake lazima Nchi iataisoma namba.haya maamuzi myatoe kabla haijatokea sintofahamu ya sanctions.
Nchi imemshinda Pombe asubuhi sana.
Elimu bure yenyewe imewashindeni, bajeti ya jeshi mtaiweza bila misaada.KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hatuwezi kuishi kwa misaada pekee ....na inatakiwa kuulinda uhuru wetu kiukweli!!