Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,468
Vikwazo kwa ajili yule hatambui Mahiga kwenda kule kumkaripia. Mahiga tulikuwa New York alikuwa ananiamia Foreign Minister wa Tanzania alikuwa ameitwa Kissinger. Akakataa kwenda. Yeye ni Foreign Minister,kama ana shida na mimi aje kwangu. Anasema wote wakawa wanamuambia,acha utani wewe,yule ni Kissinger amekuita. Sasa tazama Mahiga anaanza kubishana na hawa watu. Hawa mabalozi wameombwa msaadana CUF. Sasa lazima wajishughulishe kuonyesha kwamba wanajali,hata kama hawaamini mantiki ya CUF kulalamika.