Marekani kuitikisa Tanzania kwa vikwazo

Marekani kuitikisa Tanzania kwa vikwazo

Unajua viongozi wa Afrika huwa wajinga, Iran inafurahia hivi sasa baada ya sanctions kuwa lifted.....
Sisi hata matchstick twaagiza sasa itakuwaje wakipiga sanction
Umesahau nyimbo na kibwagizo cha ssm? "Wataisoma namba". Mlifikiri wanatania?

bdo anasema "Tupo tayari" kwa kuwekewa vikwazo. Vitasaidia katika kutumbua majipu na kuleta "maisha bora".

Tanzania bila maendeleo inawezekana.
 
Udikteta zama hizi ni hatare!jpm na serikali yake wajitathmin
 
haya kila siku hvyohvyo tu someni historia ya china ilipotokea
mabadiliko yanaanza na wewe kuwa mzalendo wa nchi yako
tatizo wazalendo tupo wachache kama mimi ukiweza lipa kodi kihalali hapo ndo uzalendo unapoanzia nchi tunaijenga sisi wenyewe wananchi mana bila wananchi hakuna selikali
 
mnaodharau bado shule inawasumbuaa.

Iran iliwekewa vikwazo pamoja na kwamba ni taifa kubwa lkn nchi ilitikisika kiuchumi, sasa sisi sijui kipi kinatupa kiburi.
Maji tu tena mijini inasumbua nakumbuka mwalim Nyerere alijiuzulu baadae kuekewa shindikizo na IMF na nchi ilifilisika mpaka unga wa muhogo kwa kaya kuchamba kwingi mwisho kushika mavi subiri tuone
 
Pigwa economic sunction ndani ya 20 lazima unyooke.
Kina magu na team yake ya kina nkapa na msoga airline hawana cha kupoteza coz wamejihifadhia hazina yao ya kutumia hapa duniani.

Mungu amewakunia

Kenya ilipigwa vikwazo na kuzuiwa kukopa kwa zaidi ya miaka 25 Kilichofanyika Kenya walijenga uwezo wao wa kujitegemea sasa hivi asilimia 99 ya bajeti hawategemei msaada wa mtu.Vikwazo vinasaidia kujenga nationalism tutarudi kwenye siasa ya ujamaa ndilo suluhisho pekee la kupambana na ubeberu wa kimataifa.Iko haja Tanzania kurudi kwenye ujamaa tuachane na ubepari njia zote kuu za uchumi zimilikiwe na serikali.

Sera hizo za vikwazo kwa Africa zitawawakia wenyewe wanaoweka.Tutahamia moja kwa moja kwa wachina wasiopenda upuuzi wa kushirikisha mambo ya siasa kwenye mambo ya uchumi.Muda si mrefu nchi za magharibi zitatolewa mkuku Afrika na itashikwa na wachina wakiendekeza upuuzi wao wa vikwazo kwenye mambo mengi ya ndani ya nchi
 
Ukweli binafsi sio faida ya misaada yao, sababu toka nipo shule mpaka sasa Tanzania ni nchi maskini, maisha magumu, huduma za kijamii ovyo, hakuna ajira. Labda kwa wanaonufaika na misaada hiyo watatingishika kimaslai yao na familia zao.
 
Ni safi kabisa ingawa sisi wananchi ndio tunaumia kwa vyovyote vile JK hakupatapo kuwa kiongozi mzuri ata siku 1 hakuwa mkweli ni ukimuangalia tu machoni.

USA wana mbinu nyingi, wanaweza kushirikiana na washirika wake wa nchi zingine, wakafunga account zote za viongozi zilizo nchhini mwao, pamoja na kutotoa viza kwa wakuu!
 
White Forks ndio nini?
Korea Kaskazini walisaidiwa chakula na Marekani na ndio nchi maskini kuliko zote ukanda wake.
Umeme wa REA kwa kiasi kikubwa ni msaada wa Marekani
Tuache umasikini jeuri
WHITEFORKS ni mabwanyenye ya KIMAREKANI ya kizamani yaliokuwa wakinunua watumwa kutoka afrca wao walikuwa wanawaita MANIGGERS na maNIGGERS walikuwa wanawaita WHITEFORKS sema kwa kificho 7bu wakiwasikia MAASA alikuwa anawachapa na mijeledi mkuu tumeteswa sana na hawa watu sasa ni muda wa ukombozi kijitenga nao kwa namna vyvyte vile
 
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Hatuwezi kuishi kwa misaada pekee ....na inatakiwa kuulinda uhuru wetu kiukweli!!
Uhuru wa kubaka demokrasia, au?

Mlifikiri ile kitu chafu CCM imefanya ni siri? Wababe wanawapa kamba tu ......
CCM yenyewe ndiyo wanaongoza serikali?
Magu ni ADC au TLP?

Kwa hisani ya watu wa Marekani
DSC03905_thumb%25255B3%25255D.jpg

2329812_orig.jpg

Wizara ya Afya Tanzania wapokea msaada wa vitabu toka kwa wananchi wa Marekani
 
Umeme wa REA kwa kiasi kikubwa ni msaada wa Marekani

REA ni katika miradi ambayo weananchi wamepandikiziwa vijjijini.Vijiji vingi wala havihitaji umeme na havina umeme.Vingi nyaya za umeme zinapita mbele ya nyumba zao wala hakuna anayehitaji.Mahitaji ya wananchi wala si umeme wanachohitaji ni masoko ya uhakika ya mazao yao.Hiyo REA hata waifute kesho hakuna atakayeingia barabarani kulalamika.
 
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Hatuwezi kuishi kwa misaada pekee ....na inatakiwa kuulinda uhuru wetu kiukweli!!
Waulize Iran taifa kubwa wamenyoosha mikono itakuwa tz chezea marekani.

Nilichokiona viongozi wakuu waliopita wameamua kumuharibia jpm kwani jk alipoingia alitafuta muafaka kwa nini wanaamua kumuachia sarakasi hizi jpm?
 
Tutaheshimiana tuu,maana hivyo vikwazo mara nyingi vinaanziaga kwa wakubwa then sisi hoe hae.
Tupo tayari
Pigwa economic sunction ndani ya 20 lazima unyooke.
Kina magu na team yake ya kina nkapa na msoga airline hawana cha kupoteza coz wamejihifadhia hazina yao ya kutumia hapa duniani.

Mungu amewakunia
ttaisoma namba sisi maskini wakina makam ba na wenzie walaaaa hawana shidaa.
Enyi kizazi cha nyoka, mnaopenda misaada na hisani za wafadhili yawapasa mbadilike.

Kama taifa, tusiruhusu kuvurugwa na watu kutoka nje.
 
Kenya ilipigwa vikwazo na kuzuiwa kukopa kwa zaidi ya miaka 25 Kilichofanyika Kenya walijenga uwezo wao wa kujitegemea sasa hivi asilimia 99 ya bajeti hawategemei msaada wa mtu.Vikwazo vinasaidia kujenga nationalism tutarudi kwenye siasa ya ujamaa ndilo suluhisho pekee la kupambana na ubeberu wa kimataifa.Iko haja Tanzania kurudi kwenye ujamaa tuachane na ubepari njia zote kuu za uchumi zimilikiwe na serikali.

Sera hizo za vikwazo kwa Africa zitawawakia wenyewe wanaoweka.Tutahamia moja kwa moja kwa wachina wasiopenda upuuzi wa kushirikisha mambo ya siasa kwenye mambo ya uchumi.Muda si mrefu nchi za magharibi zitatolewa mkuku Afrika na itashikwa na wachina wakiendekeza upuuzi wao wa vikwazo kwenye mambo mengi ya ndani ya nchi
Usije ukaifananisha Kenya na Tz hata siku moja.
Kuanzia Rais wako hadi wewe hamna akili ya kuikamata Kenya coz nyie ni siasa tu ndiyo zimejaa vichwani mwenu hakuna utendaji wa aina yoyote.

Huyo mchina unayemtetea ndiyo hafai kabisa, JK kawapa uraia hapa kama njugu sasa hivi wanatengeneza kila kitu hapa hela inaenda china.
Ni lini sisi tutatengeneza vitu ili tuuze nje tulete hela ndani?
 
mnaodharau bado shule inawasumbuaa.

Iran iliwekewa vikwazo pamoja na kwamba ni taifa kubwa lkn nchi ilitikisika kiuchumi, sasa sisi sijui kipi kinatupa kiburi.
Sio Iran tu mkuu... Russia yenyewe hali mbaya baada ya kuwekewa vikwazo... watu ni ma'mbumbumbu' sana kubeza hili
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Back
Top Bottom