Marekani kuitikisa Tanzania kwa vikwazo

Marekani kuitikisa Tanzania kwa vikwazo

Nasemaje... waweke vikwazo tu na kusitisha misaada... tutajua cha kufanya hivi hivi... hatutaendelea kamwe...

Utajua cha kufanya wakati kuandaa tuu mpango wa maendeleo wa miaka mitano imekuwa kimbembe? Muwashukuru Zitto na Lissu otherwise tayari mlishaingizwa chaka...chezea planners wa kibongo wewee?? Wao waambie ku plan kupiga dili TRA, TPA, Escrow and the like.....
 
Utajua cha kufanya wakati kuandaa tuu mpango wa maendeleo wa miaka mitano imekuwa kimbembe? Muwashukuru Zitto na Lissu otherwise tayari mlishaingizwa chaka...chezea planners wa kibongo wewee?? Wao waambie ku plan kupiga dili TRA, TPA, Escrow and the like.....
Kwani unamjua aliyeandaa mpango wa maendeleo hadi 2025??
Kama hujui nakushauri ugoogle halafu urudi hapa jamvini na elimu yako ya hapa na pale!
 
kwan bila marekani tutakufa njaa
japo siafik ubakaji wa demokrasia uko ZNZ lkn shobo za kuwashobokea WHITE FORKS sizipendi kinoma mbna KOREAKASKAZINI wameweza bila marekani japo wakati wanaanza kukaza uzi walibezwa sana najua HATUWEZI KUJIFANANISHA NA KOREA KASKAZINI ila zama za sasa tujitengenezee mazingila ya kujitegemea wenyewe muda ndo huu wa kujenga nchi yetu TANZANIA afrca kwa ujumla tufufuke tuache uchu wa MADALAKA wangapi wababe walikuwapo leo awapo duniani
koba
MOBUTU SESESEKO JONAS SAVIMBI SANKARA wako wapi wamefukiwa na Bado maisha yanaendelea dunia tunapita tu
Hivi wewe unajua maana ya vikwazo vya kiuchumi?
 
Sio Iran tu mkuu... Russia yenyewe hali mbaya baada ya kuwekewa vikwazo... watu ni ma'mbumbumbu' sana kubeza hili
Shule mkuu! Wanafikiri vikwazo ni misaada. Waulize zimbabwe mkate ni dola ngapi za kizimbabwe?
 
Shule mkuu! Wanafikiri vikwazo ni misaada. Waulize zimbabwe mkate ni dola ngapi za kizimbabwe?
Zimbabwe wanaishi au?

Ugiriki je wamewekewa vikwazo au?
 
Taifa la Marekani linatarajia kushusha rungu la aina yake kwa serikali ya Tanzania kufuatia hali ya sintofahamu inayoendelea nchini kutokana na sakata la uchaguzi mkuu wa Zanzibar.

Habari zinadokeza kuwa taifa hilo kubwa duniani litaweka vikwazo vya kiuchumi kwa Tanzania hali itakayopelekea Tanzania kuandika historia nyingine mbaya mbele ya uso wa dunia.
Serikali ya Marekani tayari imezuia misaada mbalimbali kwa Tanzania na pia ndiyo iliyoshinikiza Tanzania kunyimwa fedha za MCC. Hata hivyo serikali ya Tanzania bado haijatilia maanani jambo hilo huku ikioneknana kupuuza juhudi za kimataifa kuitaka kuumaliza kwa haraka mgogoro wa Zanzibar unaofukuta kwa kuacha haki ichukue mkondo wake.
Habari zinadokeza kuwa balozi wa Marekani nchini atatoa msimamo unaoelezwa kuwa 'mkali' ili kuishinikiza serikali ya Tanzania kuheshimu maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwezi october mwaka jana ambao ulielezwa kuwa huru na wa haki.
Mkuu hebu watofautishie maana ya vikwazo vya liuchumi na misaada kwan naona ndg zangu wakijani hawakuelewi
 
Na sisi tuwawekee vikwazo kwenye sekta walizowekeza tuwape wachina halafu tuone nani mbabe.
 
chejio kinakupa taabu eti "tupo tayari" na nani? sio wote wanaotoka Chato
Wewe tushajua haupo tayari, unawategemea wamarekani na mabwana zenu wengine, tulioamua kujitegemea tupo tayari
 
Wanaishi mkuu, cuba nao wanaishi, iran wanaishi korea kaskazini wanaishi. Swali ni wanaishi vipi?
kwani hivi sasa bila viikwazo mnaishi? maisha haya au ni "walking corpses"
 
Wewe tushajua haupo tayari, unawategemea wamarekani na mabwana zenu wengine, tulioamua kujitegemea tupo tayari
ni kweeli siko tayari kufa kiofisa na tai shingoni huku nikimuona anaininyonya na kunidhulumu na kuupora utu na uhuru wangu akitawala kimabavu bila ridhaa ya watu.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Watanzania tujiandae kufunga mikanda.Itakuwa miaka mitano migumu sana kiuchumi.
Mungu azidi kutuongoza.
 
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

Hatuwezi kuishi kwa misaada pekee ....na inatakiwa kuulinda uhuru wetu kiukweli!!
Uhuru wa kweli ni ule unaoruhusu raia kuiishi demokrasia kwa kuchaguwa viongozi wanaowataka kama walivofanya Wazanzibari wakati wa Uchaguzi Mkuu.
 
Back
Top Bottom