KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hatuwezi kuishi kwa misaada pekee ....na inatakiwa kuulinda uhuru wetu kiukweli!!
Pumbavu. Uhuru gani unaoulinda? Wanaozuia misaada wanataka kukutawala ama wanakulazimisha utawale vizuri watu wako? Ungejiweka mahala pa "Mwangosi" na familia yake, ungejua uchungu wananchi wanaoonewa na mfumo ccm jinsi wanaishi kwa uchungu. Natamani uwe na uwezo wa kuelewa madhara ya utawala usio wa sheria na haki namna uanvyoharibu utu wa watu familia zao na vizazi vyao.
Kama mnajua mnatawala kwa misingi sahihi, nini kimewapa kigugumizi cha kutoa maelezo ya uhuni mlioufanya kuwakamata na kuharibu mifumo ya computa ya kituo cha haki za binadamu? Wasimamizi wa ndani wa uchguzi na wale wa ukawa? Unyang'au huu ndio unausemea kwa kutumia makalio hapa?
Kwa nini huwezi kutoa maelezo ya sheria gani ya nchi au ya zanzibar alilyotumia Jecha kufuta uchaguzi? Kama katiba haikumpa mamlaka hayo, nani alimpa ujasiri huo wa kishtani kuliingizia taifa hasara ya mamilioni ya fedha na kuathiri uzalishaji kwa kiasi hicho kwa sababu ya maslahi ya watu binafsi?
Unaweza kuonyesha hati ya chama ama wakala yeyote, ama mdau yeyote wa chama chchote cha siasa aliyekuwa na malalamiko ya uchaguzi wa October?
Kujitegemea kunakujaga bila strategies? Unajitegemea kwa kunyimwa misaada wakati huna namna ya kuhakikisha familia yako inaishi? Wewe si ni PUMBAVU SANA TU? Au ndiyo elimu ya kata hiyo inawafundisha upumbavu huo na kujidai mnaelimu?
Unajua nani ataumia katika mateso yanayokuja? Sasa wewe uumwe, uende hospital ukose drip ya maji ya dawa halafu uendelee kupiga makofi "ccm yajenga nchi". Uone mkeo anakufa kwa kukosa huduma za kujifungua ndipo ulete ukenge wako hapa. Subiri wimbi la ujambazi liongezeke kwa kukosekana kwa ajira, tena wakuanzie wewe halafu polisi hawana mafuta kwenye gari ya kuja kukusaidia, kesho yake uamkie mtandaoni ukiharisha ushenzi wako hapa.
Address suala lililoka mezani. Ni halali kwa Serikali kunyanyasa raia wake kwa maslahi ya watawala? Wewe unanufanikaje katika hilo? Tumia kichwa kuliko makalio.