Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 175,945
- 193,992
Jeuri hiyo mnayo na huu ufisadi? Miaka zaidi ya hamsini ya Uhuru bado hamjaweza kujitosheleza kwa neti za mbu wa malaria , hata matangazo ya kujikinga na malaria na ukimwi kwenye TV utasikia kwa udhamini wa Marekani, ndiyo mtaweza kujitosheleza kiuchumi kweli,? Kontena zipotee kwa maelfu, mapesa yabebwe kwa magunia benki na leo wahusika wanaingoza bunge ndiyo utegemee kujitosheleza kiuchumi?
Nasemaje... waweke vikwazo tu na kusitisha misaada... tutajua cha kufanya hivi hivi... hatutaendelea kamwe...