Marekani itakachoifanyia Korea kaskazini

Marekani itakachoifanyia Korea kaskazini

Guys I'm sitting on a fence! But I understand that Americans they neither forgive, nor forgets. They have a lot of options on the table. it's only a matter of time.
Usituletee kiingeresa mingi apa, hao na option zao nying lakini kwa taifa letu pendwa la korea ya kaskazini wataishia kubweka tuu
 
America ana air superiority over DPRK but when it gets onto the Ground, that shit will be a bloody mess.
I cant wait to witness the WW3.

Ila mimi nataka America aanze kuishambulia DPRK ili China aingilie kati...mana China ameweka wazi kua kama DPRK akilianzisha yupo mwenyewe ila America akilianzisha China lazima aingilie kati. Kumbuka Vita ya Korea 1950-53.

So tuimagine America ndo kalianzisha...so ngoma itakua hivi

North Korea feat China& Russia vs United States feat United Kingdom, France, Canada Japan South Korea Italy etc

Sasa sio WW3 hiyoo?
Patamu Apoo!
Ila mimi binafsi, based on history , Natabiri "Technical Win' kwa hao Wa-Communist'
Mkuu umemsahau irani apo kwenye tim yetu
 
Mkuu umemsahau irani apo kwenye tim yetu
Iran ya sasa haina uwezo wowote wa kuingia kwenye timu ya wa-Communist mana wanogopa vikwazo bora ile Iran ya kibabe ya Mahmoud Ahmednejad ila either way lazima kuna 'technical victory' kwa waCommunist..

Nikisema 'Technical Victory' namaanisha kua hakutakua na mshindi wa moja kwa moja katika vita hiyo ila kutokana na vigezo kadha wa kadha kama ubora na uimara wa zana vita za United States na Washirika wake kulinganisha na na hao Wacommunist halafu wapigane watoe 'draw' basi hapo kitaalam japo hakuna mshindi direct ila technically tunasema mshindi ni DPRK.

Mfano rahisi..sasa hivi timu kama Yanga icheze na timu bora duniani kama Real Madrid halafu watoe 'draw'..hapo technically Yanga ndo mshindi kwa 'Technical Victory'

Ni kama kwenye ngumi kuna KnockOut na Technical Knockout
 
Bila kumsahau Iran....

Marekani wakilianzisha Russia watawasaidia N:Korea ku jum mawasiliano ya Marekani,

Na wakijaribu hiyo njia lazma N.Korea wakinukishe
Iran hatakua na msaada wowote ule ktk vita hiyo.
Hapo nadhani unamaanisha kua Wapinzani wa United States watamsaidia DPRK??
Kama ni ivo basi ongezea na Zimbabwe!
 
anayeweza kukoleza pambano sio NK, bali ni iran na Russia hizi inchi hazitamwacha mmarekani salama lazima zitamsumbua sana.... mara zote Russio huingikia ugomvi kama huu akimpinga mmarekani na hapo ndio patakuwa hatari zaidi.... Ingekuwa ni NK peke yake hilo wala sio la kuwaza ni chuma kimoja tu panakuwa kimya.
hii sio vita ya kuombea hata kidogo, maana haitakuwa ya bunduki na waathirika watakuwa ni wengi kuliko inavyotazamiwa.
Iran hana uwezo hata chembe wa usimamishana na United States...ile vita yake tu na Saddam Hussein 1980-88 alikua hoi bin taaban sembuse aje apigane na USA?? No way!
 
Kaka watu wanamchukulia poa US, US is the leading in nation in science and technology..... Wana invest sana katika R&D. Japan is a leading nation in electronics technology...
So japan na skorea sio wajinga kuingia mkataba na US wa kuwalinda kijesh dhidi ya NKOREA wanajua US capabilities
Japan analindwa na United States toka alivosurrender kwenye WW2!
Ukimgusa Japan umeigusa America directly!
Ila kama Japan angeendelea kuwa na Jeshi lake mwenywe toka 1945 hakuna nchi duniani ingekua na uwezo wa kusimamishana na wale jamaa.

Refer uwezo wa Imperial Japan katika WW2!
The Empire of Japan was untouchable aisee!
 
Kaka unajua bombs yaliyo dondoshwa Hiroshima na Nagasaki yaliuwa watu wangapi papohapo na wengni wangapi waliendelea kuzaliwa wamekufa, na wengeni magonjwa ya macho, kifua na ngozi yasiyo tibika.........

Sasa hayo ni mabomu 2 tu and tht is an obsolette technology, with todays tech of H- BOMBS and N- Bombs, more refined missiles to carry nuclear war heads + advanced gps systems equipment to track real time any point on earth, if and if a rael war brokeout it will be an apocalypse end of the entire world........

So no matter how much Rassia na China wanatamani waje wajoin na N Korea to fight the US, chamoto kitaonekana dunia nzima.... Na wote wanalijua hilo US and Russia

China kuanzia jana benk kuu ya china imeanza kutekeleza vikwazo dhidi ya N korea, pia wametangaza kusitisha uagizaji wa nguo na bidhaa zingine kutoka korea....[emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84] [emoji84]
Hata yadondoshwe mabomu mangap ya nyuklia huko Korea huku hayawezi kufika..yale yanapimwa kwa radius hayana wa uwezo wa kuharibu maelfu kilometa ya radius

Sisi tutayumba kiuchumi tu labda ila kusema eti nuke idondoshwe pyongyang alafu Dar es salaam ifiki izo ni story za kwnye kahawa!
Sidhani kama inaweza hata kuharibu radius ya 100km.
 
Kwanza ulishawai ona speech ya kennedy 1961 aliongea nin kuhusu space mission,..na ulishawai jiuliza kwa mwaka US wanatumia pesa ngap kwa project hzo?na ulishawai jiuliza ni attempt ngap zmewai fanywa kufika huko ,na unajua kua kuna matajir marekan wame invest privately kwenye space mission na wanaplan za kufanya shugul za utalii huko,na ulishawai ona images z kutoka huko mwenzio niliziona nilipokua form1..unajua huko kuna stations had za kujaza mafuta ya spaceships zao,..y doin all these,na mengne meeng ambayo kwakua huyajui wala kuskia nkisema hapa ndo utaona porojo kabsaa,bora usiyajuage tuu
Hii ni movie ya the 100.
 
Japan analindwa na United States toka alivosurrender kwenye WW2!
Ukimgusa Japan umeigusa America directly!
Ila kama Japan angeendelea kuwa na Jeshi lake mwenywe toka 1945 hakuna nchi duniani ingekua na uwezo wa kusimamishana na wale jamaa.

Refer uwezo wa Imperial Japan katika WW2!
The Empire of Japan was untouchable aisee!
Kwenye huo mgogolo, NKOREA wanamchukia mjapan kuliko na US, kihistoria Korea ilikuwa nchi moja iliyokuwa inatwaliwa na Emperial Japan.... hadi korea waliopo tofautia ki ideology kati ujamaa n a upepari ndipo ikagawanyika to N & S koreas
Since then N korea huwa anataka kui seize S korea kimababe kitu kilichopelea vita vya korea hadi kuwekwa eneo lijulikanalo kama Demilitarized Zone DMZ mpakani mwa N & S koreas.

Hii tensio ni kuwa N korea akifanikiwa kupata ICBM cabable of carrying a nuclear war atawasumbu S korea na Japan. US akiingilia Nkorea anapiga ICBM new york, dc au LA kitu ambacho US siku zote anakikwepa kupigana vita kwenye home soil.
 
Mwenye historical background ya Mr kiduku atupe kuanzia shule kafikaje alipo sasa
 
Mim ni shabik namba1 wa US,ila huyu kiduku ananinyima usingiz kabsaa,hii jeur anaitoa wap,..yaan hii kitu haijawai tokea toka ulimwengu uumbwe,..huyu atakua kichaa huyu,..huyu kwel anaeza lipua nuclear huyu...daah,sina matumain tena..
[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe haya mambo ni ushabiki nasio reality
 
America ana air superiority over DPRK but when it gets onto the Ground, that shit will be a bloody mess.
I cant wait to witness the WW3.

Ila mimi nataka America aanze kuishambulia DPRK ili China aingilie kati...mana China ameweka wazi kua kama DPRK akilianzisha yupo mwenyewe ila America akilianzisha China lazima aingilie kati. Kumbuka Vita ya Korea 1950-53.

So tuimagine America ndo kalianzisha...so ngoma itakua hivi

North Korea feat China& Russia vs United States feat United Kingdom, France, Canada Japan South Korea Italy etc

Sasa sio WW3 hiyoo?
Patamu Apoo!
Ila mimi binafsi, based on history , Natabiri "Technical Win' kwa hao Wa-Communist'
Kwahesabu hizo kiduku nawenzake watapigwa vibaya mno
 
Kwenye huo mgogolo, NKOREA wanamchukia mjapan kuliko na US, kihistoria Korea ilikuwa nchi moja iliyokuwa inatwaliwa na Emperial Japan.... hadi korea waliopo tofautia ki ideology kati ujamaa n a upepari ndipo ikagawanyika to N & S koreas
Since then N korea huwa anataka kui seize S korea kimababe kitu kilichopelea vita vya korea hadi kuwekwa eneo lijulikanalo kama Demilitarized Zone DMZ mpakani mwa N & S koreas.

Hii tensio ni kuwa N korea akifanikiwa kupata ICBM cabable of carrying a nuclear war atawasumbu S korea na Japan. US akiingilia Nkorea anapiga ICBM new york, dc au LA kitu ambacho US siku zote anakikwepa kupigana vita kwenye home soil.
Moja,Kwa kukusaidia North Korea hana uwezo na hatakuja kua na uwezo wa kua na ICBM zinazoweza kupiga LA, California sembuse uko East Coast New York, kacheki ramani vizuri ujue New York iko sehem gani ya AMERICA naongelea Mainland America hapa!
Akijitahidi sana ICBM zake zinaweza kuigusa pwani ya Hawaiii ama Honolulu!

Pili, Japan ni kweli anachukiwa na karibu kila nchi ya South East Asia mana Imperial Japan ndo alikua mkoloni wao na aliwatesa haswaa!

Tatu, kasome historia ya KOREA vizuri..kwa kifupi..Korea yani Korean Peninsula ilikua koloni la Imperial Japan...

sasa baada ya Japan kushindwa ktk vita ya pili ya dunia... Soviet Union na America ndo wakaamua wagawane hilo koloni la KOREA... waSoviet wakachukua North ambapo kuna North Korea na WaMarekani wakachukua South ambapo kuna South Korea,
Hapo ndo izo nchi mbili zilizaliwa ila mwanzoni ilikua nchi moja!
 
Kwahesabu hizo kiduku nawenzake watapigwa vibaya mno
Kafuatilie ile vita ya Korea ya 1950-53 halafu uje utuambie maana ya " kupigwa vibaya"

Hiyo vita hao waCommunist mi nawapa Technical Victory...mnawachukulia poa sana ila mkifuatilia zaid mtapata uelewa
 
Hii vita ikianza haita kuwa ya siku 1 wala 2 wala mwezi wala mwaka, itadumu sana na mmarekani hataanza kwa kutumia siraha zake za hatari, so atapigwa vya kutosha na N.korea wakishirikiana na Iran na hata mrusi anaweza akasaidia... lakini nguvu ya mmarekani haitaisha, hata apigwe vipi baada ya silaha zote muhimu za adui kuonekana ndio naye atachomoa vifaa vyake adimu hapo halitasalia jiwe juu ya jiwe in Kiduku land and all her partners
Hakuna siraha adimu zaidi ya nuclear bomb, na umentaja Rasia hapo ,sasa nataka kukuambia duniani ni mataifa mawili tu Rasia and USA wenye siraha nyingi na advanced za nuclear.. Angalizo nikuwa USA akitoa zake na Rasia atatoa zakwake "this is game of Rasia and USA" not N.Korea na USA kama wengi wanavyozani,Rasia hayuko tayari kuona USA anampiga N.Korea then rasi yote yakorea amiriki USA hii itakuwa nihatari kwa kubwa kwa Rasia so Rasia lazima hii vita awe nyuma ya kiduku kwa njia yoyote,
 
We huwez jua,si mvivu wa kusoma,..ila ukisoma na kusikiliza wengne wanaongea nin utafaham meng,hata miaka ile tulipokua tunawaambia kuhusu escrow,or madin kuibiwa or wakwepa kod maaruf na majina tunataja,mlikua mnakenua hivyo hivyo meno,..wabongo watu wa ajab sana,sjui ni elim mbov inafanya watu wasielimike au ni ujinga tuu?..ndomana rais anapata shida sana kuongoza hii nchi,wajinga weng
Wingi wawajinga nchi hii ndio nafuu kwa raisi na ccm yake,nawewe ludi shule kidogo ,acha kuishi kwa kukalili hata wwwi na www2 sababu zakutokea zilikuwa tofauti hii inatokana na time so even diplomatic policy znabadilika according to time, hata hii ikitokea sababu zake zitakuwa tofauti na ww1 na Ww2,now china na Iran wapo
 
Back
Top Bottom