Muda ni ukuta usijaribu kushindana nao utaumia......Yani siku marekani anapoteza uvumilivu.. Mr kiduku hatoamini kitu anafanyiwa.. Hapo ndo atajua kumbe alikua anavitu vingi vya kuppoteza, chakwanza ni kiduku
Usifikiri kiduku yuko peke yake ....nyuma kuna russia na chinaYani siku marekani anapoteza uvumilivu.. Mr kiduku hatoamini kitu anafanyiwa.. Hapo ndo atajua kumbe alikua anavitu vingi vya kuppoteza, chakwanza ni kiduku
US has 700+ nukes on stock Russia more than 900,
Hesabu ni rahisi North Korea is provoking the US so that the US hit back Mr Kiduku this will make the US seen as the Aggressor, Mr Kiduku will then seek(obvious)support from Rassia and China.
Kitu ambacho Marekani hatoweza pigana hiyo vita.... pia hata urusi na china hawatotaka ifike huko kwasababu, US with its 700+ nukes and other bombs their enough to burn half of the world. Russia na China nao pia wakirusha yao they will burn two world.

Dunia yooote itakua ashes....America ana air superiority over DPRK but when it gets onto the Ground, that shit will be a bloody mess.
I cant wait to witness the WW3.
Ila mimi nataka America aanze kuishambulia DPRK ili China aingilie kati...mana China ameweka wazi kua kama DPRK akilianzisha yupo mwenyewe ila America akilianzisha China lazima aingilie kati. Kumbuka Vita ya Korea 1950-53.
So tuimagine America ndo kalianzisha...so ngoma itakua hivi
North Korea feat China& Russia vs United States feat United Kingdom, France, Canada Japan South Korea Italy etc
Sasa sio WW3 hiyoo?
Ni kweli Mkuu Russia wana zana nzuri sana tu sema siwaamini sana Russians ktk vita...kumbuka ile vita ya Warusi na Afghanstan umeona Warusi walivopigwa na Mujahidina ambao ni hao intake ya kina Bin Laden??US has 700+ nukes on stock Russia more than 900,
Hesabu ni rahisi North Korea is provoking the US so that the US hit back Mr Kiduku this will make the US seen as the Aggressor, Mr Kiduku will then seek(obvious)support from Rassia and China.
Kitu ambacho Marekani hatoweza pigana hiyo vita.... pia hata urusi na china hawatotaka ifike huko kwasababu, US with its 700+ nukes and other bombs their enough to burn half of the world. Russia na China nao pia wakirusha yao they will burn two world.

Dunia yooote itakua ashes....
Bila kumsahau Iran....Usifikiri kiduku yuko peke yake ....nyuma kuna russia na china
Mkuu sio 700,..amerika wana nukes ~8500,...russia ana 9000,...ulisahau 0 mojaUS has 700+ nukes on stock Russia more than 900,
Hesabu ni rahisi North Korea is provoking the US so that the US hit back Mr Kiduku this will make the US seen as the Aggressor, Mr Kiduku will then seek(obvious)support from Rassia and China.
Kitu ambacho Marekani hatoweza pigana hiyo vita.... pia hata urusi na china hawatotaka ifike huko kwasababu, US with its 700+ nukes and other bombs their enough to burn half of the world. Russia na China nao pia wakirusha yao they will burn two world.
Dunia yooote itakua ashes....
Kaka hii vita itaishia kuwa ya maneno tu, nakama wakipigana haitafu hata siku kadhaaa. Mr kiduku anaweza kuigeuza majivu seouls ( a city with 10m + people) in just half an hourHii vita ikianza haita kuwa ya siku 1 wala 2 wala mwezi wala mwaka, itadumu sana na mmarekani hataanza kwa kutumia siraha zake za hatari, so atapigwa vya kutosha na N.korea wakishirikiana na Iran na hata mrusi anaweza akasaidia... lakini nguvu ya mmarekani haitaisha, hata apigwe vipi baada ya silaha zote muhimu za adui kuonekana ndio naye atachomoa vifaa vyake adimu hapo halitasalia jiwe juu ya jiwe in Kiduku land and all her partners
Vita ni tactics ,resources na experience,...marekan anapewa uwanja mpana sabab ya hiv vitu,..ili upigane vita lazma uwe na fuel ya kutosha,technology na uzoef,marekan has been preparing for ths war tokea miaka ya 90,ths is WW3,already,planned 100 yrs ago.kinachotisha hii vita ni k1 tuu,matumiz ya nukes,na yatatumika maksud ku wipe dunia ili dunia ianze 1 na new generation,n the cycle continues,kama gharika vileNi kweli Mkuu Russia wana zana nzuri sana tu sema siwaamini sana Russians ktk vita...kumbuka ile vita ya Warusi na Afghanstan umeona Warusi walivopigwa na Mujahidina ambao na hao intake ya kina Bin Laden??
Tatizo kubwa la Warusi na Wamarekani ktk cita wanakuaga na morali ndogo sana...tofauti na Asians..
Angalia vita ya Vietnam, america alishindwa sio km hana zana anazo za kutosha kila kiti tatizo hawana mzuka...sasa compare waVietnam na WaKorea uone walivo na mizuka.
Bila MORALE huezi kushinda
Kweli kaka ni 000 si 00 kama nilivyokosea.Mkuu sio 700,..amerika wana nukes ~8500,...russia ana 9000,...ulisahau 0 moja
Iyo kuWipe dunia eti ianze moja sijui blah blah ni story za kwenywe vijiwe vya kahawa. Hapa sio hapa sio mahali sahihi.Vita ni tactics ,resources na experience,...marekan anapewa uwanja mpana sabab ya hiv vitu,..ili upigane vita lazma uwe na fuel ya kutosha,technology na uzoef,marekan has been preparing for ths war tokea miaka ya 90,ths is WW3,already,planned 100 yrs ago.kinachotisha hii vita ni k1 tuu,matumiz ya nukes,na yatatumika maksud ku wipe dunia ili dunia ianze 1 na new generation,n the cycle continues,kama gharika vile
anayeweza kukoleza pambano sio NK, bali ni iran na Russia hizi inchi hazitamwacha mmarekani salama lazima zitamsumbua sana.... mara zote Russio huingikia ugomvi kama huu akimpinga mmarekani na hapo ndio patakuwa hatari zaidi.... Ingekuwa ni NK peke yake hilo wala sio la kuwaza ni chuma kimoja tu panakuwa kimya.Kaka hii vita itaishia kuwa ya maneno tu, nakama wakipigana haitafu hata siku kadhaaa. Mr kiduku anaweza kuigeuza majivu seouls ( a city with 10m + people) in just half an hour
Hiv hujui wenzio wana undeground bunkers,na zingne ziko mars,we kila siku unaskia watu wanaenda mars unadhan wanapoteza billions sabab ya nin,...uvumbuz tuu wa science,!hapana,hii ni preparation ya WW3 ambayo ita wipe dunia nzima,..vegetation,atmosphere ,maji ardhi havitakua na uhai for 20-50yrs,..hii ni grand plan iliyopo for mor than 400yrs.na alert yake kuwatayarisha hao wanaoipanga ilikua 11/9/2001Kweli kaka ni 000 si 00 kama nilivyokosea.
US+Russia =15000+ nukes enough nukes kuchoma dunia na mwezi wake, sasa sijui atakae win ataenda wapi??
Au atahamia sayari ya Utaridi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kaka underground bunker za hapa duniani hazitosaidai,mwenyewe unakiri kuwa dunia haitakuwa na uhai for several decades.....Hiv hujui wenzio wana undeground bunkers,na zingne ziko mars,we kila siku unaskia watu wanaenda mars unadhan wanapoteza billions sabab ya nin,...uvumbuz tuu wa science,!hapana,hii ni preparation ya WW3 ambayo ita wipe dunia nzima,..vegetation,atmosphere ,maji ardhi havitakua na uhai for 20-50yrs,..hii ni grand plan iliyopo for mor than 400yrs.na alert yake kuwatayarisha hao wanaoipanga ilikua 11/9/2001