Marekani itakachoifanyia Korea kaskazini

Marekani itakachoifanyia Korea kaskazini

Iyo kuWipe dunia eti ianze moja sijui blah blah ni story za kwenywe vijiwe vya kahawa. Hapa sio hapa sio mahali sahihi.

Hivyo ulivosema ni kuhusu America ni kweli na vinaaaply kwa nchi yoyote...kama Marekani angekua ivo unavodai mbona hakushinda vita Ya Vietnam?? Mbona hakushinda vita ya Korea ya 1950-53??

Marekani ana kila kitu kinachohitajika ktk vita ila anakosa kitu kimoja muhimu MORALI !
Hao wakomunisti "wamekunywa maji ya chama"....wewe ata ukienda na AK-47 yeye ana MANATI still atakubutua tu! Morale! Morale!

Kuhusu Nukes... fatilia zaidi ujue Nukes zinatumika wakati gani.

Kumbuka 1945, IMPERIAL Japan ilikua haikamatiki ktk WW2 bila kutumia Nukes Marekani ingekua colony la IMPERIAL JAPAN!
Ilikua ngumu sana kwa Imperial Japan kusurrender ile vita ambayo alikua ameicontrol...wengi wao waliishia kujiua badala ya kusurrender!

ASIANS wana morali sana!
Huwez nielewa,sabab,to u am speakin virtualy...sawa hiz ni stor za kwenye vijiwe,..nafaham waswahil ni ngum sana kusoma,ila ungekua umeenda shule na kusoma whats goin on dunian hapa,kwa mtazamo mwingne ungenielewa.ila bado.huwez elewa,..u believ what u see n hear,ila hauko numerical strategic,sio mchambuz,hiv unadhan sabab ya WW1 n WW2 ilikua nin,?i dont wana skia sabab ulizofundwa darasa la 7 or form 4 or six,sabab those r wat u wer supozd to hear n keep in mind,..lakin wajuz wa mambo watakueleza vzur,na hzo sabab ndo hizo hizo zilizopo sasa na ndo ztasababisha WW3,.lakin kwa context nyingne,ila najua huwez elewa na utaishia kusema stor za vijiwen.
 
Kaka underground bunker za hapa duniani hazitosaidai,mwenyewe unakiri kuwa dunia haitakuwa na uhai for several decades.....
Na kuhusu kwenda Mars, ni ngumu sana with the available technology it will take years for the fastest plane or whatever rocket to reach Mars
Alaa,wenzio washafika mars mkuu,..anyways kuhusu mars sina uhakika.lakin therz somthn biig goin on abt space missions.na ni siri tokea 1960.
 
Siri wewe umejuaje wabongo bhn
We huwez jua,si mvivu wa kusoma,..ila ukisoma na kusikiliza wengne wanaongea nin utafaham meng,hata miaka ile tulipokua tunawaambia kuhusu escrow,or madin kuibiwa or wakwepa kod maaruf na majina tunataja,mlikua mnakenua hivyo hivyo meno,..wabongo watu wa ajab sana,sjui ni elim mbov inafanya watu wasielimike au ni ujinga tuu?..ndomana rais anapata shida sana kuongoza hii nchi,wajinga weng
 
Wewe usitumie kigezo cha kusoma nipe fact acha porojo
 
Alaa,wenzio washafika mars mkuu,..anyways kuhusu mars sina uhakika.lakin therz somthn biig goin on abt space missions.na ni siri tokea 1960.
The uncertenity abt wht will the world left off after the nukes war, bring us back to sqr 1 US and Russia will never any time soon (atleast this and the next century) fight a real war. deSpites the ideological differences and disagreement in all most everything.

Hawa siku zote wapo kwenye vita vya chini chini kutaka kuharibia mambo kisiasa,kiuchumi na hata kujaribu chonganishiana watu wao kwa wao eg the corrapse of USSR, marekani wamehusika sana ku snitch + migororo isiyo isha huka kwenye maifa yaliomekuga kutoka USSR.... Pia unaona Rassia anavyo shutumiwa ku manipulate uchaguzi wa US uliompa Trump ushindi.
 
Wewe usitumie kigezo cha kusoma nipe fact acha porojo
Kwanza ulishawai ona speech ya kennedy 1961 aliongea nin kuhusu space mission,..na ulishawai jiuliza kwa mwaka US wanatumia pesa ngap kwa project hzo?na ulishawai jiuliza ni attempt ngap zmewai fanywa kufika huko ,na unajua kua kuna matajir marekan wame invest privately kwenye space mission na wanaplan za kufanya shugul za utalii huko,na ulishawai ona images z kutoka huko mwenzio niliziona nilipokua form1..unajua huko kuna stations had za kujaza mafuta ya spaceships zao,..y doin all these,na mengne meeng ambayo kwakua huyajui wala kuskia nkisema hapa ndo utaona porojo kabsaa,bora usiyajuage tuu
 
They just planting things in your mind that u can't even urgue yourself, poor you.
 
The uncertenity abt wht will the world left off after the nukes war, bring us back to sqr 1 US and Russia will never any time soon (atleast this and the next century) fight a real war. deSpites the ideological differences and disagreement in all most everything.

Hawa siku zote wapo kwenye vita vya chini chini kutaka kuharibia mambo kisiasa,kiuchumi na hata kujaribu chonganishiana watu wao kwa wao eg the corrapse of USSR, marekani wamehusika sana ku snitch + migororo isiyo isha huka kwenye maifa yaliomekuga kutoka USSR.... Pia unaona Rassia anavyo shutumiwa ku manipulate uchaguzi wa US uliompa Trump ushindi.
Anyways kuhusu mrus na mmarekan kupigana ni kwel sio leo wala kesho,..hawa ni wazungu wana akil,..tatzo huyu mapank hana akil..ndo anaetupa waswas,
 
America ana air superiority over DPRK but when it gets onto the Ground, that shit will be a bloody mess.
I cant wait to witness the WW3.

Ila mimi nataka America aanze kuishambulia DPRK ili China aingilie kati...mana China ameweka wazi kua kama DPRK akilianzisha yupo mwenyewe ila America akilianzisha China lazima aingilie kati. Kumbuka Vita ya Korea 1950-53.

So tuimagine America ndo kalianzisha...so ngoma itakua hivi

North Korea feat China& Russia vs United States feat United Kingdom, France, Canada Japan South Korea Italy etc

Sasa sio WW3 hiyoo?
Tutakwisha kwa hayo madude yao ya nuclear.
 
They just planting things in your mind that u can't even urgue yourself, poor you.
What things?try to be analytical,..cant waste my time here..i gave u the facts,vividly,..now u come up wit crapy stuffs et they r plantin things,..what things?[emoji23][emoji23],get ua shit together bro or take a nap.
 
Hahahahahaha ok thanks for your time
 
[–] Triggermania 380 points6 hours ago
If you want a deeper understanding of the Korean psyche then you need to read up on Goguryeo and Silla.
NK has the mentality of Goguryeo the ancient Northern Korean kingdom. It was highly militaristic and had a warrior culture and fought with all its neighbors. It fought against arguably 2 of the strongest Chinese empires of all time. The first Chinese empire (Sui) attacked with a massive army, possibly the largest in history, but was defeated so badly at Pyongyang that there was an insurrection in China and the dynasty was taken over by another. That dynasty (Tang) also attacked North Korea. The emperor who attacked is arguably the most accomplished military commander in Chinese history (Tang Taizong). Well, he couldn't defeat NK either and retreated. He died a year later due to an illness he contracted from the grueling war against Goguryeo. Eventually, China teamed up with Silla (SK) to pincer attack Goguryeo (NK) but STILL, couldn't conquer them. However, the dictator of Goguryeo died of old age and his sons started a civil war leaving Goguryeo a chaotic mess. Obviously, Goguryeo was conquered by China and Silla soon afterward because one of those sons even defected to the Chinese side. North Korea literally thinks of themselves as the successors of Goguryeo. That's why they have such an independent spirit (Juche) and have an IDGAF attitude even toward the most powerful country in the world.
Now South Korea OTOH is like Silla, the ancient Southern Korean kingdom. Silla was more concerned with things like trade, culture, and material wealth. They used alliances with bigger powers (Tang dynasty can be compared to the US) to achieve their goals. Silla was highly diplomatic compared to Goguryeo's militaristic nature
 
Kaka underground bunker za hapa duniani hazitosaidai,mwenyewe unakiri kuwa dunia haitakuwa na uhai for several decades.....
Na kuhusu kwenda Mars, ni ngumu sana with the available technology it will take years for the fastest plane or whatever rocket to reach Mars
ktk miaka 30,marekani amekuwa akitest bunjers ktk vita na muarabu kwa mafanikio makubwa sana.nchi ndogo km sweden,finland, norway, israel wamekuwa na bunker za kutosha raia wao, na maghala ya chakula kuweza support watu kwa zaidi ya miaka 5. Pia wana hifadhi mbegu nyingi wanazojua zitaangamizwa in case of nuclear winter. Urusi na marekani wan amitambo ambayo ikikosa mawasiliano ya binadamu kwa dkk kadhaa ,basi ilipue makombora yaliyo mwezini, ardhini kwa ardhi kufunguka na kuruhusu makombora kupiga preset targets.
 
Kweli kaka ni 000 si 00 kama nilivyokosea.
US+Russia =15000+ nukes enough nukes kuchoma dunia na mwezi wake, sasa sijui atakae win ataenda wapi??
Au atahamia sayari ya Utaridi[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tatizo Nukes haziwezi kutumika kizembe kama mnavyodanganywa kwenye vijiwe vya kahawa!
Sio kila vita Nukes zinatumika!

Nakupa mifano.
Warusi waliburuzwa vibaya na Mujahidina kwenye Vita ya Soviet v Afghanstan..mbona hakutumia izp nukes japo alishindwa vibaya?? Ama unazani hakua nazo tena miaka hiyo ya 1979??

America ilipigwa vibaya tena kwa aibu na Vietnam mbona haikutumia izo nukes..ama unazani haikua nazo labda unahisi alivyozitumia kwa Imperial Japan mwaka 1945 ziliisha??

Moral: Sio kila ukiona kichaka unakunya, vingine unajambia tu inatosha!
 
anayeweza kukoleza pambano sio NK, bali ni iran na Russia hizi inchi hazitamwacha mmarekani salama lazima zitamsumbua sana.... mara zote Russio huingikia ugomvi kama huu akimpinga mmarekani na hapo ndio patakuwa hatari zaidi.... Ingekuwa ni NK peke yake hilo wala sio la kuwaza ni chuma kimoja tu panakuwa kimya.
hii sio vita ya kuombea hata kidogo, maana haitakuwa ya bunduki na waathirika watakuwa ni wengi kuliko inavyotazamiwa.
Huyo Iran hana uwezo wa kusumbuana na America hata kidogo.
Huyo Saddam Hussein kwenye vita ya 1980-88 alimsumbua uyo Iran sembuse America??
 
ktk miaka 30,marekani amekuwa akitest bunjers ktk vita na muarabu kwa mafanikio makubwa sana.nchi ndogo km sweden,finland, norway, israel wamekuwa na bunker za kutosha raia wao, na maghala ya chakula kuweza support watu kwa zaidi ya miaka 5. Pia wana hifadhi mbegu nyingi wanazojua zitaangamizwa in case of nuclear winter. Urusi na marekani wan amitambo ambayo ikikosa mawasiliano ya binadamu kwa dkk kadhaa ,basi ilipue makombora yaliyo mwezini, ardhini kwa ardhi kufunguka na kuruhusu makombora kupiga preset targets.
Acha stori za kwnye vijiwe vya kahawa.
 
Wambie hawa,...kuna watu hawafaham mambo,wakiskia haya watakwambia ni stor za kawaha...tell em
 
Back
Top Bottom