Marekani itakachoifanyia Korea kaskazini

Marekani itakachoifanyia Korea kaskazini

Kama kuna mtu hapendi au hakubali kushindwa basi ni mmarekani, kama kuna mtu wa visasi na malipizi basi ni mmarekani... Wao na waingereza wana SLOGAN yao moja WE DO BAD THINGS TO BAD PEOPLE....
5c019a11be74f6d5b70b64bba853235e.jpg

Dogo kiduku Mr Missile man anamuendesha puta mzungu, kamshika nyeti kisha kamfunua kabisa....! HASIRA YAKE HIYO HAIPIMIKI.....
Bahati mbaya sana kwa marekani ni ngumu kupenyeza mamluki Korea kaskazini labda ROADMAN- THE NIGGER [emoji15] [emoji144] Kipenzi wa dogo kiduku
Hila zote ni ngumu hata za kutuma virusi vya magonjwa....! Kiduku yuko njema sana na anamjua mmarekani vilivyo....!!!
Option iliyobaki ni moja tu kwa sasa... Kutuma undersea missiles za nyuklia rasi ya Korea kaskazini zitakazosababisha tetemeko kubwa la ardhi na chini ya uso wa bahari litakaloathiri vinu vya nyuklia ya Korea kaskazini, miundombinu na wakazi wake....!!!!
Sidhani kama kuna mbinu mpya kwa sasa zaidi ya hiyo kwa bwana visasi..... Muda utasema tuwe na subra
4db519eeaabaf5b809582544ea01f9cb.jpg
Mkuu unataka kusema Mr. Rocket Man mwenyewe hajakiwaza hiki ulichokiwaza? Na je kama kakiwaza bado hajachukua hatua zozote za kukabili?
 
W
Ni kweli Mkuu Russia wana zana nzuri sana tu sema siwaamini sana Russians ktk vita...kumbuka ile vita ya Warusi na Afghanstan umeona Warusi walivopigwa na Mujahidina ambao ni hao intake ya kina Bin Laden??
Tatizo kubwa la Warusi na Wamarekani ktk vita wanakuaga na morali ndogo sana...tofauti na Asians..
Angalia vita ya Vietnam, america alishindwa sio km hana zana anazo za kutosha kila kitu tatizo hawana mzuka...sasa compare waVietnam na WaKorea uone walivo na mizuka.

Bila MORALE huezi kushinda
Wajeda wenyewe wanasukumizwa miti unadhani watapata wapi mzuka,shoga hawezi mikiki mikiki ya wanaume wa ukweli
 
Iyo kuWipe dunia eti ianze moja sijui blah blah ni story za kwenywe vijiwe vya kahawa. Hapa sio hapa sio mahali sahihi.

Hivyo ulivosema ni kuhusu America ni kweli na vinaaaply kwa nchi yoyote...kama Marekani angekua ivo unavodai mbona hakushinda vita Ya Vietnam?? Mbona hakushinda vita ya Korea ya 1950-53??

Marekani ana kila kitu kinachohitajika ktk vita ila anakosa kitu kimoja muhimu MORALI !
Hao wakomunisti "wamekunywa maji ya chama"....wewe ata ukienda na AK-47 yeye ana MANATI still atakubutua tu! Morale! Morale!

Kuhusu Nukes... fatilia zaidi ujue Nukes zinatumika wakati gani.

Kumbuka 1945, IMPERIAL Japan ilikua haikamatiki ktk WW2 bila kutumia Nukes Marekani ingekua colony la IMPERIAL JAPAN!
Ilikua ngumu sana kwa Imperial Japan kusurrender ile vita ambayo alikua ameicontrol...wengi wao waliishia kujiua badala ya kusurrender!

ASIANS wana morali sana!
Nasikia Japanese alimpiga usa vibaya mno kama sio kutumia nuclear angeshindwa ile vita
 
anayeweza kukoleza pambano sio NK, bali ni iran na Russia hizi inchi hazitamwacha mmarekani salama lazima zitamsumbua sana.... mara zote Russio huingikia ugomvi kama huu akimpinga mmarekani na hapo ndio patakuwa hatari zaidi.... Ingekuwa ni NK peke yake hilo wala sio la kuwaza ni chuma kimoja tu panakuwa kimya.
hii sio vita ya kuombea hata kidogo, maana haitakuwa ya bunduki na waathirika watakuwa ni wengi kuliko inavyotazamiwa.
Iran kiboko yake Israel, na si unajua Israel ana nuclear
 
America ana air superiority over DPRK but when it gets onto the Ground, that shit will be a bloody mess.
I cant wait to witness the WW3.

Ila mimi nataka America aanze kuishambulia DPRK ili China aingilie kati...mana China ameweka wazi kua kama DPRK akilianzisha yupo mwenyewe ila America akilianzisha China lazima aingilie kati. Kumbuka Vita ya Korea 1950-53.

So tuimagine America ndo kalianzisha...so ngoma itakua hivi

North Korea feat China& Russia vs United States feat United Kingdom, France, Canada Japan South Korea Italy etc

Sasa sio WW3 hiyoo?
Patamu Apoo!
Ila mimi binafsi, based on history , Natabiri "Technical Win' kwa hao Wa-Communist'
Naona mnamtaja China kila sehemu, vita gani Mchina alishiriki Upande wowote? Kama unakwenda vitani kumtegemea Mchina Jua uko peke yako
 
Naona mnamtaja China kila sehemu, vita gani Mchina alishiriki Upande wowote? Kama unakwenda vitani kumtegemea Mchina Jua uko peke yako
Inaonekana hujui unachoandika!
Vita ya Korea ya 1950-53 ilikua kati ya Korea Kaskazini na China na Soviet Union kwa mbaali dhidi ya United States na washirika wake!
China chini ya Mao Zedong walisaidia sana kwenye vita ile.

Kwenye Vita ya Vietnam, China alikua upande wa nani labda?? Iyo assignment nakuachia.
Acha kuandika usilolijua.
 
Iran kiboko yake Israel, na si unajua Israel ana nuclear
naona Israel wametulia tu kama hawapo vile, wanamwona Iran anavyoiga NK na yeye kuanza kurusha rusha vifaa vyake huku akijinadi kuwa anaweza kurusha kombora likafika Israel, ... Ninapowapendea Israel ni hapo tu, hawaongei sasa
 
Israel kabla hujafikiria ye alishafikiria, never try this nation
 
Nasikia Japanese alimpiga usa vibaya mno kama sio kutumia nuclear angeshindwa ile vita
Imperial Japan ilikua ni habari nyingine aisee.
Ile Pearl Harbour attack yenyewe tu Walikufa Wamarekani 2164 wakati Walikufa Wajapan 64 tu sasa pata picha hapo...
 
We njoo na porojo zako kwanini miaka yote wanaishia kuweka vikwazo na kubweka tu ?..yaani hydrogen, makombora yote yanaelekezwa south na Japan halafu tuone nani atashinda
....North hatoguswa na ataendelea na development zake
..
hayo makombora makubwa ya kuweza kupiga japani kwa kiasia cha kumaliza makombora ya kutungulia hizo rocket.Ni zaidi ya uchumi wa hao wachovu wako wa kijamaa. Ni wapuuzi wa kijamaa tuu ktk hii nchi ndio kila siku wandanganywa na watu wanaoaminiana nao. Mlisema hivyo hivyo kwa Saddam, baadae kwa ghaddafi. Mpo very desperate kutafuta heroes in wrong places. Kinachozuia hapo ri risk tuu, na timing ya siasa za dunia na wananchi. Tatizo hapa wajamaa wapo tayari ku risk kila kitu just kupata sifa tuu kuwa nao wameweka fight.
 
Hakuna vita hapo. Tufikirie mambo mengine,
Hii tamthilia itadumu wakati wote.
 
Marekani anakupiga bila wewe kujua km unapigwa ukija kujua ujue yupo mlangoni. Mi namkubali sana Mmarekani ana mbinu zote za Kijeshi na Kiintelijensia
 
Kiduku kaifunza dunia uanamme ndivyo inavyotakiwa kuwa sio Mme mwenzio anakutishia unalegea dogo kakaza msuli sio kitu cha kawaida US kwenda na carriers, melivita lakini dogo akamwambia ole risasi itue NK ikabidi waelekee south korea kupiga tizi dogo kaonyesha maajabu ni sawa na kupata division 1.7 shule ya sekondar nyamitwebile au lukamundula yaan huo sio msuli ni turubai
 
hayo makombora makubwa ya kuweza kupiga japani kwa kiasia cha kumaliza makombora ya kutungulia hizo rocket.Ni zaidi ya uchumi wa hao wachovu wako wa kijamaa. Ni wapuuzi wa kijamaa tuu ktk hii nchi ndio kila siku wandanganywa na watu wanaoaminiana nao. Mlisema hivyo hivyo kwa Saddam, baadae kwa ghaddafi. Mpo very desperate kutafuta heroes in wrong places. Kinachozuia hapo ri risk tuu, na timing ya siasa za dunia na wananchi. Tatizo hapa wajamaa wapo tayari ku risk kila kitu just kupata sifa tuu kuwa nao wameweka fight.
Uko sahihi kabisA Mkuu
 
Kiduku kaifunza dunia uanamme ndivyo inavyotakiwa kuwa sio Mme mwenzio anakutishia unalegea dogo kakaza msuli sio kitu cha kawaida US kwenda na carriers, melivita lakini dogo akamwambia ole risasi itue NK ikabidi waelekee south korea kupiga tizi dogo kaonyesha maajabu ni sawa na kupata division 1.7 shule ya sekondar nyamitwebile au lukamundula yaan huo sio msuli ni turubai
Then ikishathibitika kuwa ni mwanamume itamsaidia nini?Itakuza uchumi wake?Osama nae alikuwa mwanamume,kasaidia nini kwa waislam? Sifa za kijinga ni za wajamaa tuu, kwa vile matisho ndio njia pekee ya kushikilia watu ktk woga. Hayo mamilioni ya kuchakachua na kupiga makombora kizembe ktk nchi ya dunia ya 3,unajua wangeweza fanya nini ktk uchumi?Wajamaa mna nini hadi mjifanye kuwa nyie tuu ndio dunia nzima ni adui yenu? Mbona kusini wana maendeleo makubwa na raia wana enjoy, na hawa jisikii kuwa na adui mwingine zaidi ya majambazi ya kijamaa.
 
What things?try to be analytical,..cant waste my time here..i gave u the facts,vividly,..now u come up wit crapy stuffs et they r plantin things,..what things?[emoji23][emoji23],get ua shit together bro or take a nap.

Obvious you didn't give him the facts, you just handed him a plate full of unanswered questions. Unless you go back and answer your questions, then you should edit this posts.
Waiting for these answers.
Kwanza ulishawai ona speech ya kennedy 1961 aliongea nin kuhusu space mission,..na ulishawai jiuliza kwa mwaka US wanatumia pesa ngap kwa project hzo?na ulishawai jiuliza ni attempt ngap zmewai fanywa kufika huko ,na unajua kua kuna matajir marekan wame invest privately kwenye space mission na wanaplan za kufanya shugul za utalii huko,na ulishawai ona images z kutoka huko mwenzio niliziona nilipokua form1..unajua huko kuna stations had za kujaza mafuta ya spaceships zao,..y doin all these,na mengne meeng ambayo kwakua huyajui wala kuskia nkisema hapa ndo utaona porojo kabsaa,bora usiyajuage tuu
 
Back
Top Bottom