MKuu naona haya mambo huyajui...Wakati ukuta.. !!! Ukishindana nao utaumia..... America's sun is going down to Chiolu
Wakati ukuta.. !!! Ukishindana nao utaumia..... America's sun is going down to Chiolu
ukweli mchungu huuWakati ukuta.. !!! Ukishindana nao utaumia..... America's sun is going down to Chiolu
MKuu naona haya mambo huyajui...
Kama nchi ikishindwa kupenyeza majasusi ndani ya nchi nyinigne ni ngumu sana kupata data za ki intelijensia, na ujue kabisa nyuma yakiduku yupo mrusi na unajua kabisa mrusi ana hasira mbaya sana na mmarekani tokea enzi za cold war!! pia yuko mchina ambaye ana hasira na mmarekan kumuuzi silaha yule mwanamke wa taiwan kama sijakosea!!
Unajua nini kilimkuta USA kwenye vita ya vietnam??
Kiduku amerusha kombora kwenye anga la japan je marekan amefanya nini??
Sadam alipigwa baada ya kuunguza silaha zake,kiduku anajua madhara ya kuharibu silaha zake so hawezi fanya makosa!!
Mawazo ya kurithi kwa mababu zakoMarekani ndio wanaimiliki hii dunia,chezea vyote usicheze na Marekani.
kwa kuongezea tu, wao sio tu wana majeshi ya ardhin au makombora pia wana cyber army, so ukizingua wanakudukua kama kawaida!!
Somalia walifanywaje? Walikatwa mpaka korodani hapo tu somalia..marekani vitokoo tuHaitakaa wamuweze mmarekani. Wapo wanamlia timing kile kiduku kitachambuka kama brush ya chachandu
Oooh u wishHaitakaa wamuweze mmarekani. Wapo wanamlia timing kile kiduku kitachambuka kama brush ya chachandu
Na somaliaUnadhani huko chini ya bahari kwenye rasi ya korea kaskazini
hakuna ulinzi? ....Nikwambie kitu mmarekani anaogopa kumvaa
kichwa kichwa huyo dogo kwa kuwa hana information za kutosha
mmarekani hawezi kukupiga kama hakujui atabaki akibweka tu.Ile
vita ya vietnam ambayo kimsingi alipigwa ...alijifunza mengi
Hahahaha,mpe hi af piga nae selfieThis is totally outta topic ila nipo kwenye gari la Kariakoo kuna mtu kafanana na Maalim Seif balaa
Ndio hivyo Mkuu...Mim ni shabik namba1 wa US,ila huyu kiduku ananinyima usingiz kabsaa,hii jeur anaitoa wap,..yaan hii kitu haijawai tokea toka ulimwengu uumbwe,..huyu atakua kichaa huyu,..huyu kwel anaeza lipua nuclear huyu...daah,sina matumain tena..
Mwenyewe kishakwambia hana cha kupoteza.Katika vitu nimejifunza kwa Kiduku,
Hasikii mikwara ya USA. Naamini wakimuendea kifara tu, dunia tutadhurika.
Yaani Kiduku haoneshi wasi wasi yoyote. Yuko tayari kwa lolote litakalotokea.