SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,336
- 4,695
Iyo kuWipe dunia eti ianze moja sijui blah blah ni story za kwenywe vijiwe vya kahawa. Hapa sio hapa sio mahali sahihi.
Hivyo ulivosema ni kuhusu America ni kweli na vinaaaply kwa nchi yoyote...kama Marekani angekua ivo unavodai mbona hakushinda vita Ya Vietnam?? Mbona hakushinda vita ya Korea ya 1950-53??
Marekani ana kila kitu kinachohitajika ktk vita ila anakosa kitu kimoja muhimu MORALI !
Hao wakomunisti "wamekunywa maji ya chama"....wewe ata ukienda na AK-47 yeye ana MANATI still atakubutua tu! Morale! Morale!
Kuhusu Nukes... fatilia zaidi ujue Nukes zinatumika wakati gani.
Kumbuka 1945, IMPERIAL Japan ilikua haikamatiki ktk WW2 bila kutumia Nukes Marekani ingekua colony la IMPERIAL JAPAN!
Ilikua ngumu sana kwa Imperial Japan kusurrender ile vita ambayo alikua ameicontrol...wengi wao waliishia kujiua badala ya kusurrender!
ASIANS wana morali sana!
umeongea kitu muhimu sana! Morale ndiyo "manati" Daudi aliyompiga nayo Goliathi.Molale ni nguvu ya uumbaji na ndio uumbaji wenyewe. Mungu ameumba Ulimwengu na vyote kwa morale. Morale ndio driving force ya kila kitu. Wenye nayo wana historia ya mlolongo wa mambo ya kutisha na kuvutia.Yesu aliweza kuhimili mateso sababu ya morale.