Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,504
- 6,199
Mimi mfuasi wa Mzee Meko wa pale MagogoniNakuona mfuasi wa kim. Na avatar yako nadhani ni mjukuu wake
Mimi mfuasi wa Mzee Meko wa pale MagogoniNakuona mfuasi wa kim. Na avatar yako nadhani ni mjukuu wake
Kisa kiduku akunyime usingizi? "Boomer" moja ikiwa imepaki Phillipines inatosha kuisambaratisha NK yote kuwa majivu.Mim ni shabik namba1 wa US,ila huyu kiduku ananinyima usingiz kabsaa,hii jeur anaitoa wap,..yaan hii kitu haijawai tokea toka ulimwengu uumbwe,..huyu atakua kichaa huyu,..huyu kwel anaeza lipua nuclear huyu...daah,sina matumain tena..
Mbona vyote ulivyo andika ndio nilivyo visema kwenye hiyo comment yangu uliyo ikwoti........Moja,Kwa kukusaidia North Korea hana uwezo na hatakuja kua na uwezo wa kua na ICBM zinazoweza kupiga LA, California sembuse uko East Coast New York, kacheki ramani vizuri ujue New York iko sehem gani ya AMERICA naongelea Mainland America hapa!
Akijitahidi sana ICBM zake zinaweza kuigusa pwani ya Hawaiii ama Honolulu!
Pili, Japan ni kweli anachukiwa na karibu kila nchi ya South East Asia mana Imperial Japan ndo alikua mkoloni wao na aliwatesa haswaa!
Tatu, kasome historia ya KOREA vizuri..kwa kifupi..Korea yani Korean Peninsula ilikua koloni la Imperial Japan...
sasa baada ya Japan kushindwa ktk vita ya pili ya dunia... Soviet Union na America ndo wakaamua wagawane hilo koloni la KOREA... waSoviet wakachukua North ambapo kuna North Korea na WaMarekani wakachukua South ambapo kuna South Korea,
Hapo ndo izo nchi mbili zilizaliwa ila mwanzoni ilikua nchi moja!
Kwa hili nakuunga mkono usemalo nikweli kuhusu hii vita ni ya wababe wa dunia kiduku ni chambo tuu.MKuu naona haya mambo huyajui...
Kama nchi ikishindwa kupenyeza majasusi ndani ya nchi nyinigne ni ngumu sana kupata data za ki intelijensia, na ujue kabisa nyuma yakiduku yupo mrusi na unajua kabisa mrusi ana hasira mbaya sana na mmarekani tokea enzi za cold war!! pia yuko mchina ambaye ana hasira na mmarekan kumuuzi silaha yule mwanamke wa taiwan kama sijakosea!!
Unajua nini kilimkuta USA kwenye vita ya vietnam??
Kiduku amerusha kombora kwenye anga la japan je marekan amefanya nini??
Sadam alipigwa baada ya kuunguza silaha zake,kiduku anajua madhara ya kuharibu silaha zake so hawezi fanya makosa!!
Afadhali umenisaidia mkuu.Mawazo ya kurithi kwa mababu zako
kula laiki Mkuu [emoji106] [emoji106] [emoji106]Moja,Kwa kukusaidia North Korea hana uwezo na hatakuja kua na uwezo wa kua na ICBM zinazoweza kupiga LA, California sembuse uko East Coast New York, kacheki ramani vizuri ujue New York iko sehem gani ya AMERICA naongelea Mainland America hapa!
Akijitahidi sana ICBM zake zinaweza kuigusa pwani ya Hawaiii ama Honolulu!
Pili, Japan ni kweli anachukiwa na karibu kila nchi ya South East Asia mana Imperial Japan ndo alikua mkoloni wao na aliwatesa haswaa!
Tatu, kasome historia ya KOREA vizuri..kwa kifupi..Korea yani Korean Peninsula ilikua koloni la Imperial Japan...
sasa baada ya Japan kushindwa ktk vita ya pili ya dunia... Soviet Union na America ndo wakaamua wagawane hilo koloni la KOREA... waSoviet wakachukua North ambapo kuna North Korea na WaMarekani wakachukua South ambapo kuna South Korea,
Hapo ndo izo nchi mbili zilizaliwa ila mwanzoni ilikua nchi moja!
unamaanisha pamoja na wao wakiwemo humoUS has 700+ nukes on stock Russia more than 900,
Hesabu ni rahisi North Korea is provoking the US so that the US hit back Mr Kiduku this will make the US seen as the Aggressor, Mr Kiduku will then seek(obvious)support from Rassia and China.
Kitu ambacho Marekani hatoweza pigana hiyo vita.... pia hata urusi na china hawatotaka ifike huko kwasababu, US with its 700+ nukes and other bombs their enough to burn half of the world. Russia na China nao pia wakirusha yao they will burn two world.
Dunia yooote itakua ashes....
We si unafatilia mainstream media na history uliyofundishwa form 1 sjui six,..ndomana hutokuja nielewa...wenzio tuko out f the box,tunaelewa wats goin on dunian hapa,..na ndomana nakwambia sabab za WW1,WW2, na hii WW3 ni zile zile sema hiv,we huzijui na hutozijua sabab ni mviv wa elim.Wingi wawajinga nchi hii ndio nafuu kwa raisi na ccm yake,nawewe ludi shule kidogo ,acha kuishi kwa kukalili hata wwwi na www2 sababu zakutokea zilikuwa tofauti hii inatokana na time so even diplomatic policy znabadilika according to time, hata hii ikitokea sababu zake zitakuwa tofauti na ww1 na Ww2,now china na Iran wapo
Aiseee kama nukes 15k+ zikidetonet the world wont be habitable,unamaanisha pamoja na wao wakiwemo humo
Hapatakuwa na vita, hesabu zote zinagoma..........Lakini mwisho wa siku marekani itashinda....time will tell
You guy you are very shallow kwenye history ya dunia that's why you are so busy to proud your self, in fact nikushauri usome sana ili next time uje hojaWe si unafatilia mainstream media na history uliyofundishwa form 1 sjui six,..ndomana hutokuja nielewa...wenzio tuko out f the box,tunaelewa wats goin on dunian hapa,..na ndomana nakwambia sabab za WW1,WW2, na hii WW3 ni zile zile sema hiv,we huzijui na hutozijua sabab ni mviv wa elim.
We njoo na porojo zako kwanini miaka yote wanaishia kuweka vikwazo na kubweka tu ?..yaani hydrogen, makombora yote yanaelekezwa south na Japan halafu tuone nani atashindaMarekani wanaweza piga electronic bomb.Hii inakaanga mifumo yote ya mawasiliano ikiweo na mitambo ya umeme.Marekani wana laser device ktk space zikiwepo satelite, zinaweza choma makombora yakiwa njiani. Pia usidhani yale makombora ya kudungulia mengine hayafanyia kazi ?waulize urusi kwa nini walikomaa na obama hadi hakuweka georgia na ukrani?Alikiri itapunguza nguvu ya russia kushambulia. Kisha wanapiga mengine kadhaa, korea km itafutuka basi watatoka ktk vumbi na watalaani sana vita. Na pengine wataamua kuwa hasira za kazi km japan, Ujerumani. Rodman anafanya kazi vyema. Sasa hivi dili ipo mezani ktk mazungumzo na urusi, uchina . Hawa jamaa ni wajamaa, wajamaa ni watu wa hovyo sana,kwa mnaojua tazamani katoto kao ka kambo CCM. Wapo tayari kuua nchi ili tuu wasifiwe jeshi lao ni nouma duniani, sijui ile elimu ya kutafuta sababuz a kushindwa wanayoohadihiana( hawafanyi tafiti wala kusoma ila kupigiana soga tuu) akina kabudi. Uchina anadanganywa kila siku kuwa atavumiliwa, hatodhalilishwa hadharani ili raia wake waogope serikali ili wasijaribu ipindua, huku mlango wa nyuma wanawapa amrekani kila kitu wanachotaka.
Urusi sio rafiki na uchina kihivyo, nae kajidhatiti sana dhidi ya uchina, ktk historia uchina na india wapo ktk war na walishazichapa india kamchapa mchina. Urusi na uchina pia wapo ktk state of war.Wanakuwa marafiki ktk adui mmoja marekani. Kibaya zaidi mrusi na mmarekani,wana uadui ila warusi wanaotawala wazungu wenye utamaduni uliochafuliwa.Ila kila kitu wanashare na wenzao wa magharibi.Hii ina maana gani?Hii ndio ilifanya dunia haikuishia ktk nuclear. Kwa vile bado hawa jamaa walibaki na akili kidogo na wakajua kabisa. Vita yoyote itaishia ktk mutua distructin km sio wao wenye kuisha.Hapo ndipo wakakubali kukaa mezani. Warusi sasa hivi ndio wanasukuma sana wenzao wa magahribi kuanza dhibiti tamaduni nyingine haribifu na zinazoweza kuja haribu uhai wa utamaduni wao.Na walianza kwa kushawishi Trump aingie,ili waongee lugha moja na sio akina obama waliopo busy kutetea magaidi, wapo busy na biashara ya ushoga na mwngine. Urusi sasa hivi wanapiga marungu majamaa ya ccm yaliyozamia eti kwa ndugu.Wakati walifilisi hzo nchi kwa misaada isiyo na faida.
kwa muda huu, akina japani wanajipanga kuweka stock ya batteries za kutosha kudungua mabomu ya korea, south korea hivyo hivyo, urusi anaingizwa line tuu km ilivyokuwa Iraq akija amka tayari jamaa kachapwa anaachwa akitoa matamko yeye na uchina. Uchina hana ubavu wa kutupa kombora marekani. uchina anajua hasara kwa marekani ina maana marekani wata freeze mikopo, na uwekezaji mkubwa w auchna ktk nchi yao km fidia ya hasara. Mchina anajua kuwa marekani anaweza zuia meli zake zote za kubeba feki za kuuza duniani, na kuingiza mali ghafi . Marekani kanunua nchi jirani na uchina zote na ana miaktaba ya ulinzi nao.Anaweza zuia bahari ya uchina mbayo kwa vipimo china bila kuteka kisiwa kimoja km sisi na zenji, hawezi toka bila kuingilia bahari. Marekani anaweza ziba kwa kupanga manowari tuu jinsi zilivyo nyingi.China hana hata manowari 10, na kanunua nje model za zamani.Modeli mpya yake ni kopi ya wengine ya zamani na bado haijaweza fikia viwango ktk majaribio.Bado ni km gari la nyumbu.
CrapYou guy you are very shallow kwenye history ya dunia that's why you are so busy to proud your self, in fact nikushauri usome sana ili next time uje hoja
HahahahaMarekani kitoko tu ..si ajaribu..mbona syria kamuogopa Russia ..aanze vita NK aone atavyotimuliwa vooozzz
Atatimuliwa vooozz mpaka ajishangae jinsi via vya uzazi vitakavyo chanikaHahahaha
OkeyAtatimuliwa vooozz mpaka ajishangae jinsi via vya uzazi vitakavyo chanika
Sent from my VIE-L09 using JamiiForums mobile app
Wakati anafanya hayo DOGO kiduku Yuko wapi[emoji15]Kama kuna mtu hapendi au hakubali kushindwa basi ni mmarekani, kama kuna mtu wa visasi na malipizi basi ni mmarekani... Wao na waingereza wana SLOGAN yao moja WE DO BAD THINGS TO BAD PEOPLE....![]()
Dogo kiduku Mr Missile man anamuendesha puta mzungu, kamshika nyeti kisha kamfunua kabisa....! HASIRA YAKE HIYO HAIPIMIKI.....
Bahati mbaya sana kwa marekani ni ngumu kupenyeza mamluki Korea kaskazini labda ROADMAN- THE NIGGER [emoji15] [emoji144] Kipenzi wa dogo kiduku
Hila zote ni ngumu hata za kutuma virusi vya magonjwa....! Kiduku yuko njema sana na anamjua mmarekani vilivyo....!!!
Option iliyobaki ni moja tu kwa sasa... Kutuma undersea missiles za nyuklia rasi ya Korea kaskazini zitakazosababisha tetemeko kubwa la ardhi na chini ya uso wa bahari litakaloathiri vinu vya nyuklia ya Korea kaskazini, miundombinu na wakazi wake....!!!!
Sidhani kama kuna mbinu mpya kwa sasa zaidi ya hiyo kwa bwana visasi..... Muda utasema tuwe na subra
![]()