Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

Ukishasema rural inakuwa sio 'sub-urban' tena, hakuna access to high end amenities. Kubali hii lifestyle sio culture ya wachina, ni Kwa matajiri wakubwa sana na wachache wanaoweza kuafford such kinda life in China wakati Marekani ni middle class lifestyle.
Kwanza lazima ujue kuwa population ya China ni kubwa mara 4 ya Marekani

Marekani watu wamesambaa sehemu karibu zote tofauti na China

94% ya population ya China wanaishi Mashariki ya China na ndiko yaliko majiji makubwa ya China. Kwa hiyo kuishi kwenye rent house za maghorofa ni sawa.

Utawezaje kuwa na single family houses za kuaccomodate watu wote hao ambao ni karibu sawa na idadi ya watu wote wa China?

Na kwenye hayo majiji apartments nyingi ziko vizuri na gharama nafuu hii imefanya Wachina wengi wawe home owners.

Lakini unapotoka nje ya majiji hayo makubwa unapata watu wanaishi kwenye single family houses na zinazidi kuongezeka kadiri maeneo ya mbali ya China yanaunganishwa na HSR na highways.

Imekuwa rahisi kwa watu kuishi nje ya majiji kwenye single family houses kwenda kwenye majiji makubwa kufanya kazi na kurudi. Jaribu kugoogle ujionee

Na uzuri kwa wastani Wachina wengi wanaweza kuafford kumiliki nyumba kuliko Wamarekani
20250917_114156.jpg
 
Kwanza lazima ujue kuwa population ya China ni kubwa mara 4 ya Marekani

Marekani watu wamesambaa sehemu karibu zote tofauti na China

Na 94% ya population ya China wanaishi Mashariki ya China na ndiko yaliko majiji makubwa ya China. Kwa hiyo kuishi kwenye rent house za maghorofa ni sawa.

Utawezaje kuwa na single family house za kuaccomodate watu wote hao ambao ni karibu sawa na idadi ya watu wote wa China?

Na kwenye hayo majiji apartments nyingi ziko vizuri na gharama nafuu hii imefanya Wachina wengi wawe home owners.

Lakini unapotoka nje ya majiji hayo makubwa unapata watu wanaishi kwenye single family houses na zinazidi kuongezeka kadiri maeneo ya mbali ya China yanaunganishwa na HSR na highways.

Imekuwa rahisi kwa watu kuishi nje ya majiji kwenye single family houses kwenda kwenye majiji makubwa. Jaribu kugoogle ujionee

Na uzuri kwa wastani Wachina wengi wanaweza kuafford kumiliki nyumba kuliko Wamarekani
View attachment 3473929
Kuhusu population hakuna asiyejua hilo,

Unaposema kwamba 94% ya wachina wamekusanyika mashariki ya China 'kwakuwa ndipo yalipo majiji makubwa' Je inamaana kuwa wamarekani 'kusambaa Marekani nzima' ni kwasababu majiji makubwa ya marekani yamesambaa Marekani nzima? Kama ndivyo basi KUDOS Marekani

"Unapotoka nje ya majiji" unamaanisha nini? Rural Kama ulivyosema awali au unamaanisha 'city limits' or rather 'edge of the city'?

"
Imekuwa rahisi kwa watu kuishi nje ya majiji kwenye single family houses kwenda kwenye majiji makubwa. Jaribu kugoogle ujionee". Unadhihirisha kuwa hilo ni tatizo na wanajaribu kulitua, automobile na traffic issues za China tayari nazifahamu na huo mjadala mwingine.

Wachina wengi kuwa na uwezo wa kuafford nyumba hilo ni Jambo la kupongezwa kabisa!

China kama Mataifa mengine HAIJAKAMILIKA.
 
Kuna madogo wako Marekani hawajui jinsia yao kwa sababu ya kutapakaa mafundisho kuwa kuna jinsia zaidi ya mbili. Kuna mambo ya ajabu sana Marekani!
US kinachowamaliza ni huo ujinga wao wa mambo ya ajabu... Halafu watu wapo too sensitive.. eti ukilitukana shoga hadi watu wanaandamana na unafungwa..🤣🤣🤣

Kizazi chao kinazidi kuharibika...

Acha wavune walichopanda...
 
Unaposema kwamba 94% ya wachina wamekusanyika mashariki ya China 'kwakuwa ndipo yalipo majiji makubwa' Je inamaana kuwa wamarekani 'kusambaa Marekani nzima' ni kwasababu majiji makubwa ya marekani yamesambaa Marekani nzima? Kama ndivyo basi KUDOS Marekani
KUDOS ya nini ikiwa kila jiji lina homeless wanaoshindwa kuafford house rent ukilinganisha na majiji ya China
 
Sio China tu, kuna watu wengi wapo Nondo nje ya China na Usa,

Mfano Taiwan hapo kwenye Tsmc kuna wapo wapo vizuri sana dunia hii, wakati Usa ana mforce Tsmc afungue factory Usa kuna maneno aliropoka Founder wa Tsmc Akawaita Engineer wa Marekani "Giant babies"

Long story short Usa na China siasa nyingi sana ila project ngumu ngumu duniani hazitoki kwao wote.
Zinatoka wapi ?
 
Zinatoka wapi ?
Sehemu mbalimbali duniani, ila most of time ni Japan na Eneo la katikati pale Ulaya.

Mfano hawa ASML, ni waholanzi
images-24.jpeg

Hii mashine yao inaitwa EUV, kidunia ni mashine hio pekee inaweza kutengeneza vifaa vya kitechnology vya kisasa kwa udogo wa nanomita 4, 3, 2 etc wana absolute monopoly na vitu vyote vya ki electronic vya kisasa kama Gpu za Nvidia, Cpu za Intel, Apple etc zinategemea hizo Machine. Kwa watu ambao wanafuatilia mambo ya Technology wanaiweka EUV level moja na maajabu ya Dunia mengine.

Mimi nilikua mpenzi sana wa Nokia wakati kampuni inauzwa Usa mwaka 2013 wale jamaa wengi hawakwenda USA walibaki pale pale Finland na walikua wakigombaniwa kama pipi, imagine kampuni kubwa kubwa kama Huawei, Microsoft, Xiaomi, Apple etc wote wakawachukua, cha ajabu hizo kampuni zimewafuata Finland na kujenga R&D pale pale tena majengo yale yale ya Nokia. So unapoona Huawei, Xiaomi, Oppo, Vivo, Apple etc wana Camera kali asili yake ni kikundi kama cha watu 40 pale Finland.

Same kwa Japan utaona stori hizo hizo, hakutengenezwi Boeing bila wao, Hizo semiconductor mchanga mwepesi kabisa wa quality ya juu wanatengeneza wao, vinu vya nyuklia ambavyo haviungwi chuma etc ni wao, ukienda hapo Usa utakuta Nyuklia yao yamepewa makampuni kama Hitachi na Toshiba.
 
Sehemu mbalimbali duniani, ila most of time ni Japan na Eneo la katikati pale Ulaya.

Mfano hawa ASML, ni waholanzi
View attachment 3474063

Vitu vya kawaida sana hivi mkuu hakuna vitu vya ajabu hapa ajabu ni kwamba vina mkono wa U.S kwenye ufanikishaji wake ni sawa na programs nyingi tu za Israel
 
Kwenye EUV machine Marekani hana mkono, hiyo mashine ni moja ya maajabu ya dunia. ASML wamemonopoly
 
EUV na DUV machines ni kitu kingine

Leo Wachina (SMIC) kwa mara ya kwanza wamefanya majaribio ya mashine yao ya DUV

Inasemekana itaweza kutengeneza chips hadi za 7nm-5nm

China litakuwa taifa la kwanza duniani kutengeneza DUV machine nje ya Mholanzi ASML
 
Wenzetu wanasoma jamani sie tupo bize kufukuana mitaro maana ndio habari ya mjini
 
Vitu vya kawaida sana hivi mkuu hakuna vitu vya ajabu hapa ajabu ni kwamba vina mkono wa U.S kwenye ufanikishaji wake ni sawa na programs nyingi tu za Israel
Kuclaim EUV na ASML ni kitu cha kawaida unatakiwa ukafanye homework yako vizuri, as of now makampuni kumi tajiri duniani ni
img_1_1758185404207.jpg

Ukitoa Aramco Waliobakia wote directly utajiri wao umetokana na ASML kwa kiasi kikubwa.

Nvidia alikua hata hayupo kwenye list ya makampuni Tajiri kutokana na AI na node za Tsmc kashoot no 1, Microsoft na Amazon Wamefika hapo sababu ya Azure na Aws data centre, same kwa Meta na Alphabet etc.

Serikali Duniani zina matrilioni ya Dola wanafanya research za maana ila so far hakuna aliefanikiwa ku replicate wanachotengeneza hao jamaa.
 
Mkuu umefuatili kwa makini nafasi ya marekani kwenye ASML ?
Moja ya sababu hadi leo ASML haina alternative ni kwamba hawaja outsource manufacturing, ni EU technology na hata supplier ukiangalia ni hapo hapo Ulaya wale muhimu, mfano optics zao wanatumia Carl Zeiss, laser zinatoka Trumpf, Cymer, etc

Yes Usa ana tech zake ASML ila sio major contributor ki technology, nguvu kubwa ya Usa kwa ASML ni kiuchumi kwamba yeye makampuni yake mengi yanategemea hapo, otherwise siku nyingi tu ASML ingeshakua kampuni ya Usa.
 
Umesema vyema
 
Screenshot_20250920_173158_Chrome.jpg

Kule kuna miaka minne ya trump , huku kuna mitano ya kizimkazi

H-1b wanataka dollar laki 1
 
Back
Top Bottom