Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

Marekani ina uhaba wa wataalamu waliobobea kwenye kutengeneza bidhaa za 'high technology'

View attachment 3476699


Kule kuna miaka minne ya trump , huku kuna mitano ya kizimkazi

H-1b wanataka dollar laki 1
H-1B visas=Critical people

Critical people=American innovation

No H-1B visas; No Tesla, No Space X, No hundreds of other companies that made America strong.

Sema hiyo fee ya $ 100,000 parefu
 
  • Thanks
Reactions: Lax
H1B visas=Critical people
Critical people=American innovation

No H1B visas; No Tesla No Space X No hundreds of other companies that made America strong

Seme hiyo fee ya $ 100,000 parefu
Naam ni kuangalia tu hali itaenda vipi
 
Wakubali tu kwamba China ndio aliwapiga kwenye mshono bila ya wao kujua kwasababu low production cost inajumuisha wataalamu wenyewe na mazingira yote ya uzalishaji ikiwemo mali ghafi na miundo mbinu.
Marekani bila kurekebisha hapo kwenye gharama za maisha hawatoboi kwenye hili soko, na sio yeye tu, Ulaya nzima imebaki mdomo wazi na kushika kichwa. Angalia Ujerumani na industry yake ya magari.

Nje ya Mada
Kwa upande mwingine marekani ni nzuri sana kimandhari, zile master planned communities ziko kwenye hali ya juu mno. China watu wanaishi zaidi maghorofani, sijaona kabisa wakiishi kwenye free standing homes
Sasa watu wanaishi magorofani wakining'inia kama popo ndo uwafananishe akili na watu wanaoishi kwenye planned areas!
 
Back
Top Bottom