Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,830
- 4,329
Hutaki kumpigania allah upate mito ya pombe na mabikira 600?We tulizana tu msubiri Yesu aje achukue dhambi zako ndio ufe 😄 🤣 Vichaa kweli wafusi ws Paulo
Hutaki kumpigania allah upate mito ya pombe na mabikira 600?We tulizana tu msubiri Yesu aje achukue dhambi zako ndio ufe 😄 🤣 Vichaa kweli wafusi ws Paulo
Ayatola ww anakuona kafiri kama kafiri wengine kipenzi Chako kwa sasa ni WariobaHawa makafirs USA wanataka kumnyoa udevu Ayatollah Khamenei bila poda.Masikini kipenzi chetu Ayatollah!
Hizo ni story za wafuasi wa mkosa nyumba aliye lala kwenye junction ya Damascus to JerusalemHutaki kumpigania allah upate mito ya pombe na mabikira 600?
Takbiiiiiiiirrrr acha tumpiganie tupate tiketi za vip sijui madude kama sanchoka yapo huko....takbiiiirHizo ni story za wafuasi wa mkosa nyumba aliye lala kwenye junction ya Damascus to Jerusalem
So wewe wajua zaidi ya wanaoplan mashambulizi? Hiyo haitakuwa vita bali ni mashambuliziWewe unadhani resistance ya Iran dhidi ya uvamizi inaweza kuwa na athari gani kwenye eneo la mashariki ya kati? Iran ni taifa kubwa sana na lenye nguvu kuliko yote mashariki ya kati. Kuivamia kijeshi ni hasara kuliko faida hata kwa wavamizi wenyewe. Hiyo jamii sio ya waarabu. Kuivamia Iran ni kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati kwenye vita ambavyo hawataweza kuvimaliza.
Hawakuweza kupata vipuri kwa ajili ys regular service kwa sababu ya sanctions.......... Cha kushangaza na ndipo rais wao akafariki kwenye ajali akiwa ndani ya ndege moja kuukuu ya Marekani sijui hizo za Iran zilikuwa wapi siku hiyo angezipanda.😛😛😛😛😛
..inakwenda subsonic speedIran-israel 2000km+,vyuma vilitumia dk 8,hiyo ndege 15k juu itachukua dk ngapi?
Kwanini US anataka kuingia vitani na Iran?Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.
Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.
Uzuri wa Marekani hatumii uwanja wa nyumbani (nchi yake) kama sehemu ya vita, anatumia nchi jirani (mambubumbu) na adui yake, halafu pia lazima aite timu nzima kitaa kwaajili ya kwenda kupigana na mtu mmoja... Kifupi ni muogaNani huwa anakudanganya ndugu yangu?Hao "Ajemizz bloody turbuns" wawasumbue Amerika? That's bloody pipe-dream!
Iran kashatoa angalizo kambi zote za US Middle East zitakua majivu ikiwemo na Israel..mbona walitii amri ya mazungumzo, ni us ndyo waliwa summon Iran waende Oman, hakuna silaha ya IRAN inaweza fika USA, lakini USA sasa wanacheza karibu na mwambao wa Iran
The little Israel last time kameenda Iran kuchumbia, kakafanya yake aliyoyapenda yote (destroying selected targets) na kurudi Israel unchallenged, ndyo atamuweza GOLIATH the great?Iran kashatoa angalizo kambi zote za US Middle East zitakua majivu ikiwemo na Israel
- Israel maintains military supremacy. Besides Israel's operational and intelligence advantage over Iran, it also has a nuclear deterrent, experts said
- The US has a whopping total of 12 304 aircraft while Iran has only 850.
- The United States also has 57 Fighters, 2 192 Multirole aircraft and 587 Attack planes.
- Much as Iran's armed forces are known for their valour, their weapons and military size are dwarfed by those of the US, which is the world's number one military power. By comparison, Iran sits on the 14th place in the list.
- The fact remains that the US is far too powerful an adversary for Iran
The US dominates in the count of soldiers, with nearly 1.3 million active personnel on duty while Iran has around 560,000 soldiers (less than 50% of US active personnel
Iran has no nuclear warheads, while USA has a whooping 70,000 nuclear warheads!!!
View: https://youtu.be/lHjRA-hwc54
Wale waliosema hamasi wameisha? Lakini mpaka Sasa wamepotea njia hawaijui pakutokea? Ni kuua madaktari na kila wanaemuona mbele Yao na kuharibu visima vya maji, ndio hao unaamini wameingia anga LA mtu mbadi ayatola?The little Israel last time kameenda Iran kuchumbia, kakafanya yake aliyoyapenda yote (destroying selected targets) na kurudi Israel unchallenged, ndyo atamuweza GOLIATH the great?
..sijakuelewa kabisa, halafu ulichoniuliza hakina uhusiano wowote na nilichoandika, tumalize kwanza jambo nililoandika kuhusu nani zaidi US vs IRANWale waliosema hamasi wameisha? Lakini mpaka Sasa wamepotea njia hawaijui pakutokea? Ni kuua madaktari na kila wanaemuona mbele Yao na kuharibu visima vya maji, ndio hao unaamini wameingia anga LA mtu mbadi ayatola?
Sattelite mbona ni kitu cha kawaida sana, wamechelewa sana, hata wewe unaweza miliki satellite, jirani zetu Kenya wanayo moja na wanampango wa kurusha zingineIran hana haja na ndege ata Moja nyie mue nazo Hata million yeye saivi ni kurusha TU satellite angani kuongeza shabaha zake. Ogopa Sana mtu anaweza kumkwangua sisimizi sebuleni kwako bila kugusa chochote narudia Iran sio fala
Ishu sio satellite elewa bro! Hata sisi tunaweza kuwa nayo ila za muirani ni Kwaajili ya missile program zake kuongeza accuracy ya makombora. Kiasi anaweza kufagia nzi Kwenye shati lako akiwa Tehran bila wewe kufa inamaana Kama ni mguu Kuna nzi utaenda mguuu huo tuSattelite mbona ni kitu cha kawaida sana, wamechelewa sana, hata wewe unaweza miliki satellite, jirani zetu Kenya wanayo moja na wanampango wa kurusha zingine
Kenya launched its first operational earth observation satellite, named Taifa-1.
Au wewe sattelite unamaanisha ni silaha za maangamizi?? 😛
Namanisha Israel ni waongo media zao..sijakuelewa kabisa, halafu ulichoniuliza hakina uhusiano wowote na nilichoandika, tumalize kwanza jambo nililoandika kuhusu nani zaidi US vs IRAN
Technology ya kawaida sana hiyo, kumbe bado hakuwa nayo?? akina GOLIATH na Israel wanazo in hundreds, specific for military applicationsIshu sio satellite elewa bro! Hata sisi tunaweza kuwa nayo ila za muirani ni Kwaajili ya missile program zake kuongeza accuracy ya makombora. Kiasi anaweza kufagia nzi Kwenye shati lako akiwa Tehran bila wewe kufa inamaana Kama ni mguu Kuna nzi utaenda mguuu huo tu