Marekani imeanza ku-test Mitambo

Marekani imeanza ku-test Mitambo

Hizi ndege wana tishika nchi za kajamba nani kama Tz vile sio Iran
 
Kwa kuwa Taqiyyah ni msingi wa dini yenu endelea kufuatia kuwa Israel haijaipiga Iran wakati Iran wenyewe walikili hilo wewe Mmatumbi mwenzangu unabwabwaja ovyo ovyo tu!! Wakati mwingine uache uongo utakuja kuchom wa motoni na baba yenu Shetani
Iran aliombwa awachie Israel apige sehemu ambazo hazina hata military impact sababu alimuaibisha Israel vibaya sana. Tena alipewa pesa we baki unaota kama Israel alipiga sehemu za Military Strategy.
 
NI nchi ngapi za kiarabu zimepakana na Israel ambazo ni washirika wake?
Nchi zote washirika wa marekani au western ni washirika wa Israel kwa taarifa yako. Kuna ushirika wa direct na wa indirect
 
Huo ni msingi wa imani
Iman za kikristo kwa kumzulia Yesu ni Mungu. Bibilia zenu zinasema Mungu habadiliki sa nyie mnatuambia 1=3 hamuoni imani zenu zakinafiki.

Paulo hata Yesu haja wahi muona afu mnasema mtume 😄 🤣
 
Iman za kikristo kwa kumzulia Yesu ni Mungu. Bibilia zenu zinasema Mungu habadiliki sa nyie mnatuambia 1=3 hamuoni imani zenu zakinafiki.

Paulo hata Uesu jajamuona afu mnasema mtume 😄 🤣
Haya kajilipue uwahi safari laga za bure mbinguni
 
Iran aliombwa awachie Israel apige sehemu ambazo hazina hata military impact sababu alimuaibisha Israel vibaya sana. Tena alipewa pesa we baki unaota kama Israel alipiga sehemu za Military Strategy.
Kati ya wajinga na wapumbavu humu ni wewe!! Israel ilipewa pesa ili isipige penyewe!! Endeleeni kudanganya watu
 
Iran kisha mjibu hakuna nchi duniani inauweza wakupiga Iran's nuclear sites.

US ataibishwa vibaya sana ndio sababu unaona Trump hajashambulia Iran, wanaijua Iran sio mchezo wacheni zile kelele Israel alijidai kapiga viwanda vya kutengeneza Missiles zote zile ni propoganda tu, hakuna hata ndege ya Israel ilinusa anga la Iran.
Kwa hiyo tukuamini wewe jihadist kama chombo cha habari kutoka masjid ubwabwa.
 
Kati ya wajinga na wapumbavu humu ni wewe!! Israel ilipewa pesa ili isipige penyewe!! Endeleeni kudanganya watu
Ujinga sometimes ni nema, kuna wajinga wengine wamefanikiwa, kuliko kujifanya too much knows kama we wakati hujui lolote 🤣
 
Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.

Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.

Ndege zenyewe mbona zina mwendo wa konokono. Si ni Bora hata ze bombardier za Magu!!!
 
Haya kajilipue uwahi safari laga za bure mbinguni
Nani anaye kuambia kufa ndio basi tena, we hujui maisha ya kaburini ni ya mda mrefu kuliko duniani. Kufa kama huna dhambi ni nema kubwa sana Yarab nisamehe madhambo yangu semeni amiiini.

Kufa hamna wakukwepa nyie wakristo dhambi zenu simmeisha mzulia Yesu kazibeba, haya subirini mkisha fika kaburini ndio mtafahamu Paulo kawauza.
 
Nchi zote washirika wa marekani au western ni washirika wa Israel kwa taarifa yako. Kuna ushirika wa direct na wa indirect
Kama kuna ushirika wa direct na indirect kwanini usijue pia kuna uadui wa direct na indirect? Geopolitics haiko hivyo unavyodhani. Marekani ni mshirika wa Nato ambayo ipo kwa ajili ya kukabiliana na nguvu ya Russia na ambapo Uturuki ni mwanachama wake lakini kati ya Russia na Marekani nani ni mshirika mkubwa kwa Uturuki?
 
Nani anaye kuambia kufa ndio basi tena, we hujui maisha ya kaburini ni ya mda mrefu kuliko duniani. Kufa kama huna dhambi ni nema kubwa sana Yarab nisamehe madhambo yangu semeni amiiini.

Kufa hamna wakukwepa nyie wakristo dhambi zenu simmeisha mzulia Yesu kazibeba, haya subirini mkisha fika kaburini ndio mtafahamu Paulo kawauza.
Shida kufa kwani..............ishu kuwahi babu watu wanamaliza kreti huko na wale shombeshombe wote aka wakina ngozi ya mtume wanawahiwa we endelea kuchelewa tu
 
Shida kufa kwani..............ishu kuwahi babu watu wanamaliza kreti huko na wale shombeshombe wote aka wakina ngozi ya mtume wanawahiwa we endelea kuchelewa tu
We tulizana tu msubiri Yesu aje achukue dhambi zako ndio ufe 😄 🤣 Vichaa kweli wafusi ws Paulo
 
Back
Top Bottom