Marekani imeanza ku-test Mitambo

Marekani imeanza ku-test Mitambo

Takbiiiiiiiirrrr acha tumpiganie tupate tiketi za vip sijui madude kama sanchoka yapo huko....takbiiiir
We endelea kufanya utani na takbirii unadhani hauta kufa au unadhani Yesu atakuokoa sawa endelea kuota mchana. Ukisha fika kaburini ndio utawakumbuka unao watania
 
Hawakuweza kupata vipuri kwa ajili ys regular service kwa sababu ya sanctions
Mbona jihadists humu wanawasifia kwamba wana teknolojia sasa kwa nini kila siku wanalialia vikwazo. Hawana lolote hao magaidi.
 
Kama kuna ushirika wa direct na indirect kwanini usijue pia kuna uadui wa direct na indirect? Geopolitics haiko hivyo unavyodhani. Marekani ni mshirika wa Nato ambayo ipo kwa ajili ya kukabiliana na nguvu ya Russia na ambapo Uturuki ni mwanachama wake lakini kati ya Russia na Marekani nani ni mshirika mkubwa kwa Uturuki?
Ukijua kwanini rais wa misri alitolewa madarakan na jeshi ndio utajua haujui
 
Uwezo wa marekano kuivamia Iran ni mdogo sana jeshi la Marekani ni dhaifu usidanganyike na muvi ....
As we speak USA maintains AIR POWER Supremacy and NAVAL dpminqnce over the world. You can not refute Iran invasion....

It might no be ground military but air bombardment can not be ruled out.
 
Kwenye vita lolote linaweza kutokea. Mwaka 1991 wakati wa vita vya Ghuba Iran alimshinda Mmarekani na Rais Bush (senior) alinyoosha mikono juu. Ni miaka mingi sasa imepita na Mmarekani ameendelea kujipanga lakini Iran naye anaendelea kujipanga so yeyote aliyechanga karata zake vizuri, ana nafasi ya kumshinda mwenzie
 
Mbona jihadists humu wanawasifia kwamba wana teknolojia sasa kwa nini kila siku wanalialia vikwazo. Hawana lolote hao magaidi.
jihads, wana literal translation kuwa hii ni vita kati ya ISLAMIC NATION na KAFIR (USA, ISRAEL and allies), ndyo wana exaggerate uwezo wa Iran (Islamic super power), kwamba it can fight with US and Israel simultaneously and win the war 😡
 
We endelea kufanya utani na takbirii unadhani hauta kufa au unadhani Yesu atakuokoa sawa endelea kuota mchana. Ukisha fika kaburini ndio utawakumbuka unao watania
Takbiiir ......acha woga we fanya fasta tukawahi mbususu na mvinyo wa buree takbiiir
 
As we speak USA maintains AIR POWER Supremacy and NAVAL dpminqnce over the world. You can not refute Iran invasion....

It might no be ground military but air bombardment can not be ruled out.
Meli vita zinafanya kazi kwa nchi dhaifu tu, sana Iran inauwezo mkubwa sana wa kuziripua meli zote za marekani....ndege pia zinafanya kazi vizuri kwenye nchi dhaifu wewe ujiulizi kwanini urusi ana midege kibao ila atumii ni kwa sababu Ukraine anapewa nyenzo bora za vita ....nakuakikishia kua marekani aiwezi kuishinda irani kijeshi labda atumie nuclear bombs ...njia pekee ambayo marekani ilitakiwa kutumia kwa Iran ni kufanya fitina za kidini na kisiasa ili serikali ya kiislamu ya Iran iangushwe na raia wake.
 
Too

Emotional than facts!!

How many Iranian missiles capable of closing 5,200 km between Diego Garcia Americn base Station in American B-21 spirit bombers and Iran??

The only possible solution for Iran to fend off Aggression is attacking the naval flotilla and American bases around!!

I don't think is feasible!! Iran is capable of fending off F-16, flF-22, F- 35 to enter Iranian air space for a while!! I don't think it can withstand nightmare like B-21 spirit bombers capable of devastating Iranian military installation without entering Iranian Airspace.

The Advantage of Iran, if it can fend off intrusion on its Airspace, American can not deliver bankerbuster bombs from a long distance in this case it can secure its underground missile and nuclear sites. Otherwise will be a nightmare.
 
Irani inazo submarine inazo ndege vita kinacho fanyika ni kusogezwa kwa kombora kwa kutumia ndege qu submarine.....mimi siyo muislamu nakuakikishia kwa asilimia 100% marekani awezi kutoboa Iran.kwanza siraha za irani zimeifadhiwa chini sana ya ardhi ambapo mabomu ya marekani ya kulipua underground ayawezi kuzifikia na viwanda vyake muhimu vipo chini ya ardhi na wanaendelea kusuka mitandae ya chini ya ardhi siku kwa siku. Tofauti kabisa na Iraq siraha zao zilikuwa juu juuardhini.
 
Ujinga sometimes ni nema, kuna wajinga wengine wamefanikiwa, kuliko kujifanya too much knows kama we wakati hujui lolote 🤣
Kati ya wajinga na wapumbavu humu JF ni wewe!! Ulisema kuwa Iran hakupigwa na Israel hapo Oct 26,2024 nikakuwekea ushahidi kuwa alipigwa ukasema tena kuwa Israel walipewa pesa ili wasimpige anapopaswa kupigwa kitu ambacho hakiingii akili labda kwa mjinga na mpumbavu kama wewe!! Wote wanaoamini UHARO wako nawapa pole sana maana unawaingiza choo cha kike kila siku!!
 
Kwanini US anataka kuingia vitani na Iran?
Israel haipakani na Iran cha ajabu Oct 01.2024 Iran ilidiriki kuishambulia Israel ilirusha makombola zaidi ya 400 na mengi kati ya makombola yake hayo yaliangukia sehem za wazi ambazo hazina watu na mengine yaliweza kupopolewa na Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Kibaka mmoja tu wa kiarabu ndiye aliuwawa na mabaki ya kombola lililopopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Sasa kwa uchokozi huo kuishambulia nchi ambayo hampakani nayo huo ni uhalifu wa hali ya juu sana. Iran sasa hivi inapambana kupata silaha za ki Nuclear kwa hali hiyo Iran inaweza kuwa hatari kwa nchi zingine kama itaweza kumiliki zana za ki nuclear na ndiyo maana Marekani anasema kama mazungumzo yatashindikana basi Iran lazima ishambuliwe ili kuondoa kitisho hicho.
 
Meli vita zinafanya kazi kwa nchi dhaifu tu, sana Iran inauwezo mkubwa sana wa kuziripua meli zote za marekani....ndege pia zinafanya kazi vizuri kwenye nchi dhaifu wewe ujiulizi kwanini urusi ana midege kibao ila atumii ni kwa sababu Ukraine anapewa nyenzo bora za vita ....nakuakikishia kua marekani aiwezi kuishinda irani kijeshi labda atumie nuclear bombs ...njia pekee ambayo marekani ilitakiwa kutumia kwa Iran ni kufanya fitina za kidini na kisiasa ili serikali ya kiislamu ya Iran iangushwe na raia wake.
ndoto za alinacha, we fikiria the little ISRAEL wali-visit iran unopposed (kama vile walienda kutoa posa 😀), na kuchagua target za ku-obliterate, mission was accomplished 100%, na mpaka sasa Iran haijalipiza kisasi, sasa je colabo ya USA na Israel inakuwaje??
kui-elevate Iran ukailinganisha na USA huo ni upofu au kukosa elimu na ufahamu wa mambo, ni ushabiki wa ki-JIHAD
ebu pitia hizi facts, ujue jinsi Iran inavyopigwa kimtindo kabala ya shambulio la kijeshi:
  • The sanctions imposed on Iran at the beginning of 2012 "had persistent and significant effects on the Iranian economy (HIYO NI VITA AMBAYO HAWEZI FANYA RETALIATORY ATTCKS, hapo amepigwa KO)
  • Israel’s recent military success has left Iran uniquely vulnerable, anaother KO mpaka leo hajajibu, Netanyau anamsubiri kwa hamu, shambulio lilikuwa ni utekenyaji tu
  • Iran’s primary deterrent against attacks on its nuclear facilities — the threat of retaliatory strikes by proxy forces — has been crippled.
  • Iran’s unsuccessful October attack, Israel has proven it can absorb Iran’s best shot.
  • Iran’s attack exposed that its arsenal is less of a deterrent for Israel
 
Israel haipakani na Iran cha ajabu Oct 01.2024 Iran ilidiriki kuishambulia Israel ilirusha makombola zaidi ya 400 na mengi kati ya makombola yake hayo yaliangukia sehem za wazi ambazo hazina watu na mengine yaliweza kupopolewa na Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Kibaka mmoja tu wa kiarabu ndiye aliuwawa na mabaki ya kombola lililopopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Sasa kwa uchokozi huo kuishambulia nchi ambayo hampakani nayo huo ni uhalifu wa hali ya juu sana. Iran sasa hivi inapambana kupata silaha za ki Nuclear kwa hali hiyo Iran inaweza kuwa hatari kwa nchi zingine kama itaweza kumiliki zana za ki nuclear na ndiyo maana Marekani anasema kama mazungumzo yatashindikana basi Iran lazima ishambuliwe ili kuondoa kitisho hicho.
israel ilijibu mapigo kwa kuitembelea IRAN kwa fighter jets, wakapata utovu wa kuchagua targets, wakazilipua, na kurudi ISRAEL bila pingamizi, ISRAELwakawa wamesha note weaknesses za Iran hasa air defence system yake ni obsolete (kizamani), mpaka leo Iran haijalipiza kisasi licha ya kuahidi kufanya hivyo😀
 
Irani inazo submarine inazo ndege vita kinacho fanyika ni kusogezwa kwa kombora kwa kutumia ndege qu submarine.....mimi siyo muislamu nakuakikishia kwa asilimia 100% marekani awezi kutoboa Iran.kwanza siraha za irani zimeifadhiwa chini sana ya ardhi ambapo mabomu ya marekani ya kulipua underground ayawezi kuzifikia na viwanda vyake muhimu vipo chini ya ardhi na wanaendelea kusuka mitandae ya chini ya ardhi siku kwa siku. Tofauti kabisa na Iraq siraha zao zilikuwa juu juuardhini.
Israel have modern submarines, they are most effective and feared in the region:
  • Israel’s submarines have been refitted to carry missiles armed with nuclear weapons for the country to maintain a survivable second-strike option.
  • Israel remains the only state in the Middle East with nuclear weapons
 
Back
Top Bottom