Marekani imeanza ku-test Mitambo

Marekani imeanza ku-test Mitambo

Iyo midege yao sio kwa IRAN ANGA LA IRAN akuna cha F-35 wala F-22 wanaogopa kupeleka vindege vyao wanajua Soko linakwenda kupukutishwa !!!@

kama kawa Washadanganywa watu kila aina ya uwongo kuusu izo ndege kumbe mibati bati tu ayana technology yyte ya kulingia!!!! Bei kubwaaa wizi tuu.
 
Kati ya wajinga na wapumbavu humu JF ni wewe!! Ulisema kuwa Iran hakupigwa na Israel hapo Oct 26,2024 nikakuwekea ushahidi kuwa alipigwa ukasema tena kuwa Israel walipewa pesa ili wasimpige anapopaswa kupigwa kitu ambacho hakiingii akili labda kwa mjinga na mpumbavu kama wewe!! Wote wanaoamini UHARO wako nawapa pole sana maana unawaingiza choo cha kike kila siku!!
Wapi nimesema Israel kapewa pesa, nimesema Iran alipewa pesa awachie badhi ya missiles zikapige godauni ili ionekane Israel ame retaliate
 
Wapi nimesema Israel kapewa pesa, nimesema Iran alipewa pesa awachie badhi ya missiles zikapige godauni ili ionekane Israel ame retaliate

Taqqiyah ndio nini?
Kwa sababu Adiosamigo hajakuambia ukweli mimi sasa inabidi nikuelezee ukweli kama ifuatavyo:
Katika Uislamu, Taqiyyah(pia huitwa Taqiya) ni neno la Kiarabu linalomaanisha "kujihifadhi" au "kujikinga na aibu uislamu usichekwe, kwa kujificha imani ya kweli au kuepuka kusema ukweli kuhusu imani yake kwa ajili ya kulinda maisha yake, mali, au usalama wa wengine. Mara nyingi hutumika katika mazingira ambapo Mwislamu anaweza kuwa katika hatari ya kuteswa, kushindwa Katika vita,kushambuliwa, au kuuawa kwa sababu ya imani yake.

Maana na Matumizi:
1. Asili Taqiyyah inatokana na Quran, hasa katika Sura 3:28 na 16:106, ambapo inaruhusiwa kwa Mwislamu kukana imani yake kwa nje (kwa maneno) ikiwa anaogopa madhara makubwa, mradi moyoni mwake anaendelea kuwa na imani thabiti.

2. Madhehebu- Taqiyyah ni maarufu zaidi miongoni mwa Waislamu wa Kishia, ambao waliitumia kihistoria kama mkakati wa kujikinga dhidi ya mateso kutoka kwa watawala au makundi yanayowapinga. Hata hivyo, Waislamu wa Kisunni pia wanaweza kuitumia katika hali za hatari, ingawa si kwa kiwango cha Kishia.

3. Mifano ya Matumizi
- Mwislamu anaweza kusema yeye si Mwislamu au kuficha desturi zake za kidini ikiwa anaishi katika mazingira yanayomzuia au kumudu. Vitani anaweza kusema wanashinda hata kama wanashindwa hii ni kwa ajili ya kuuinua uislamu popote
- Katika historia, Waislamu waliotumia Taqiyyah walifanya hivyo ili kuepuka mateso ya kidini au kujiunga na jamii inayowapinga kwa usalama wao.

4. Tafsiri za Kisasa Taqiyyah wakati mwingine imetafsiriwa vibaya na baadhi ya watu wasio Waislamu kama "udanganyifu" au "kusema uwongo" kwa makusudi. Hata hivyo, katika Uislamu, Taqiyyah inaruhusiwa tu katika hali za dharura na si kama zana ya kudanganya kwa maslahi binafsi.

Muhtasari:
Taqiyyah ni mkakati wa kujilinda unaoruhusu Mwislamu kuficha imani yake au kusema kinyume na imani yake kwa nje ili kujiepusha na madhara makubwa, huku akihifadhi imani yake moyoni. Ni kanuni inayotumiwa kwa uangalifu na kwa mazingira maalum, hasa wakati wa hatari hata wakati wa vita wanaruhusiwa kusema uongo ili tu uonekane uislamu umeshinda hata kama wanashindwa.

Hii ndiyo maana waislamu wengi ni waongo sana wanafanya hivyo kulinda uislamu wao!! Kitu ambacho huwasababishia kutokuaminika kama ilivyo Aljazeera yao!!!
 
Taqiyya ni uwongo, uwongo ni haramu, na chochote kinacho jumuisha kitendo kilicho haramishwa ni haramu.

Taqiyya haihusiani na uwongo kila mara, kwani taqiyya inaweza kuwa ni ujumbe wa ukimya, ambapo ndani yake hakuna maneno unayoweza kuyakuta ya uwongo.

Kuna lingine
Taqiyyah ni kusema uongo kuulinda uislamu usionekane vibaya na ndiyo maana wewe nawę umeshakuwa muongo kumbe lengo lako ni kuulinda uislamu wako usidharaulike!!
 
Taqiyyah ni kusema uongo kuulinda uislamu usionekane vibaya na ndiyo maana wewe nawę umeshakuwa muongo kumbe lengo lako ni kuulinda uislamu wako usidharaulike!!
Hizo story umezipata kwenye Google sio zinandikwa na Wakristo 😄 🤣

Mimi nimeisha kueleza uislam hauwendani na uwongo hata siku moja.
 
Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.

Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.

Wewe pumbavu kwelikweli.Nilifikiri unasema wameshambulia kumbe wametoa onyo.Nonsense.
 
Lini nilisema uwongo
Jana ulisema uongo kuwa Iran aliyewaroga pesa ili aachie israel impige wakati ni uongo kama bado unasema ni kweli tupe ushahidi wa kuwa Iran ilihongwa ili ipigwe
 
Jana ulisema uongo kuwa Iran aliyewaroga pesa ili aachie israel impige wakati ni uongo kama bado unasema ni kweli tupe ushahidi wa kuwa Iran ilihongwa ili ipigwe
Siasa inataka akili sio lazima watu waseme tulimpa Iran pesa lakini watasema tumemuambia Iran Israel ata retaliate kidogo hapo ujuwe kisha bandikwa pesa.
 
Siasa inataka akili sio lazima watu waseme tulimpa Iran pesa lakini watasema tumemuambia Iran Israel ata retaliate kidogo hapo ujuwe kisha bandikwa pesa.
Endelea na TAQIYYAH uchwara zako!!
 
Hawa makafirs USA wanataka kumnyoa udevu Ayatollah Khamenei bila poda.Masikini kipenzi chetu Ayatollah!


Ni waafrika tu wanatawaliwa kipumbavu lakini dunia nzima kwa sasa haitaki tena Watu wenye imani za kigaidi kwa sababu Mabilionea wote wamewekeza Dubai ambayo ni nchi ya Kiislam na ya Kiarabu .
Ukiendeleza Imani kali nchi za Kiarabu ambazo ni jirani na Dubai na Saidia Arabia basi kuna siku watalipua katikati ya jiji la Abudhabi . Sasa dawa yao ni kuwapiga kokote walipo kipigo cha mbwa koko .

Kwa hiyo kwa sasa Makafiri na Waarabu wameungana kuwanyoa ndevu magaidi wa kiislam kokote huko mashariki ya kati .

Magaidi wa kiislam sasa wakatumia nchi za kiafrika zenye viongozi dhaifu na ombaomba kujihifadhi na kuanzisha harakati zao kwa mgongo wa misaada ya kidini huku wakianza taratibu kutengeneza chuki za kidini .

Muda sio mrefu ugaidi utaimarika sana Afrika hasa Afrika mashariki kwa sababu wamefanikiwa sana kuwatanguliza Wafanyabiashara wao kupitia mgongo wa dini na pesa nyingi wanayosema ni mikopo isiyo na riba na sadaka .

Mtu yupo Tanga viwanda kwa mamia vimekufa halafu anatoa mapesa mabilioni ambayo yangetosha kufufua viwanda kumi na kuajiri vijana Elfu 20 .Sasa unapinga unajua hizi ni pesa za rushwa ya Utangulizi wa ugaidi na ukoloni mambo leo
 
Israel haipakani na Iran cha ajabu Oct 01.2024 Iran ilidiriki kuishambulia Israel ilirusha makombola zaidi ya 400 na mengi kati ya makombola yake hayo yaliangukia sehem za wazi ambazo hazina watu na mengine yaliweza kupopolewa na Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Kibaka mmoja tu wa kiarabu ndiye aliuwawa na mabaki ya kombola lililopopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Sasa kwa uchokozi huo kuishambulia nchi ambayo hampakani nayo huo ni uhalifu wa hali ya juu sana. Iran sasa hivi inapambana kupata silaha za ki Nuclear kwa hali hiyo Iran inaweza kuwa hatari kwa nchi zingine kama itaweza kumiliki zana za ki nuclear na ndiyo maana Marekani anasema kama mazungumzo yatashindikana basi Iran lazima ishambuliwe ili kuondoa kitisho hicho.
Ni kitu gani kilipelekea Iran imrushie makombora Israel?
 
Mimi nilifikiri uko uchi maana huko nyuma unatoa harufu mbaya sana!!
Naona hata aina ya lugha unayoitumia unaonekana ni empty headed.Watu wa aina yako mmesamehewa hata kusali kwa sababu hamtajua hata mnachokiomba.
 
As we speak USA maintains AIR POWER Supremacy and NAVAL dpminqnce over the world. You can not refute Iran invasion....

It might no be ground military but air bombardment can not be ruled out.
It's a reality NOW, huu ndiyo ulikuwa mpango wa kweli. Baada ya Israel kuanza kama chambo, Marekani anaingia vitani soon enough, Iran is gone for sure!!
 
Back
Top Bottom