Marekani imeanza ku-test Mitambo

Marekani imeanza ku-test Mitambo

Uwezo wa marekano kuivamia Iran ni mdogo sana jeshi la Marekani ni dhaifu usidanganyike na muvi ....
Can US fight China, Iran and Russia at the same time?
The United States army, air force, navy and special units are quite adept and able when it comes to war-like situations, after having one of the most experienced combat troops in the world, who have served in battle zones in Afghanistan, Iraq, Syria and many parts of the Middle East.
 
Niamini marekani Iran atoboi ana chapika vibaya sana tatizo lenu mnadhani irani ya miaka ya 90 ndiyo hiiya sasa ...nguvu ya irani ya sasa ni mara 80 ya nguvu ya Iraq ya sadam hussein tena bado miaka 6 tu Iran itakuwa na nguvu kamili ya kupigamabomu hadi USA
 
ukilinganisha Iran na jirani zake okay, tuache ushabiki just because u treat USA as KAFIR;
 
Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.

Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.

Hayo ma bomber ya kizamani naona anataka yakatunguliwe yaishe toka mwaka miaka ya 50 hadi Leo yameshapitwa na wakati
 
ukilinganisha Iran na jirani zake okay, tuache ushabiki just because u treat USA as KAFIR;
Wewe ni mbishi wa kidini....subiri uone marekani utegemea sana nchi washirika tena ufanikiwa kwa zile nchi zisizo na backup ya nchi zenye nguvu ni ujinga kudhani marekani atashinda hiyo vita.
 
sijasema hivyo, ila ni US ndyo ili summon Iran for talks or face consequences, wa katii amri
Waandishi wa majarida ya israel wanaamini ni janja ya kidiplomasia ya iran ambayo watatumia kufanya mazungumzo hadi term ya Trump iishe
 
Niamini marekani Iran atoboi ana chapika vibaya sana tatizo lenu mnadhani irani ya miaka ya 90 ndiyo hiiya sasa ...nguvu ya irani ya sasa ni mara 80 ya nguvu ya Iraq ya sadam hussein tena bado miaka 6 tu Iran itakuwa na nguvu kamili ya kupigamabomu hadi USA
  • Israel maintains military supremacy. Besides Israel's operational and intelligence advantage over Iran, it also has a nuclear deterrent, experts said
  • The US has a whopping total of 12 304 aircraft while Iran has only 850.
  • The United States also has 57 Fighters, 2 192 Multirole aircraft and 587 Attack planes.
  • Much as Iran's armed forces are known for their valour, their weapons and military size are dwarfed by those of the US, which is the world's number one military power. By comparison, Iran sits on the 14th place in the list.
  • The fact remains that the US is far too powerful an adversary for Iran
  • The US dominates in the count of soldiers, with nearly 1.3 million active personnel on duty while Iran has around 560,000 soldiers (less than 50% of US active personnel

  • Iran has no nuclear warheads, while USA has a whooping 70,000 nuclear warheads!!!

View: https://youtu.be/lHjRA-hwc54
 
Wewe ni mbishi wa kidini....subiri uone marekani utegemea sana nchi washirika tena ufanikiwa kwa zile nchi zisizo na backup ya nchi zenye nguvu ni ujinga kudhani marekani atashinda hiyo vita.
mimi sina dini, na US almost kama hawana msisitizo wa kuji-adentfy kwa dini (huo ni ujima uliokithiri), ila niko objective nguvu unayoiamini ya IRAN dhidi ya US haipo

View: https://youtu.be/lHjRA-hwc54

The B-52 Stratofortress can reach a maximum altitude of 50,000 feet (15,166.6 meters). It is a long-range, heavy bomber capable of flying at high subsonic speeds at that altitude. The B-52 can also carry nuclear or precision-guided conventional ordnance and has worldwide precision navigation capabilities

😛
ndyo uzitungue kwa vikombora ambavyo ni manually operated?
Hizo ndege kwa sasa ni show of force, dunia ya sasa huwezi mtshia mtu B52s,
 
yanatumika sana, hata houths capability yao imekuwa obliterated, any way nisikukatishe tamaa kwa imani uliyonayo ndyo inakupa amani, kuwa IRAN ni fellow military power wa USA
 
Hata aircraft carriers hivi sasa wanayatumia kama show of force, ndio maana houthis ni kikundi cha migambo lakini wana makombora ya kupiga battleships, juzi hapa wamepiga drone...

Inabidi kukubali ukweli dunia imebadilika, silaha zilizotumika WW2 kwa dunia ya leo ufanisi wake ni mdogo, na vifaa vya kijeshi na silaha za leo baada ya miaka 30/50 na zaidi zitakua hazina ufanisi...

Meli vita na ndege vita kwa dunia ya leo si kitu..
 
Waajemi sio wa mchezo mchezo. Wamepigana vita kabla Yesu hajazaliwa sembuse Marekani iliyogunduliwa juzi na akina Columbus!
Siipendi Iran na viongozi wake. Ikishambuliwa na Marekani kwangu ni jambo la heri kabisa, lakini kwa Marekani ya leo chini ya Mhuni Trump, kwanza siamini kama Wamarekani watakubali kwenda vitani wakijua Rais ni Trump. Pili siamini kama Vyombo vingine Senate, Congress, Federal Court, National Security Council na wananchi watakubali Trump awaongoze kwenye hiyo vita ilihali wakijua HANA AKILI!
 
Hata aircraft carriers hivi sasa wanayatumia kama show of force, ndio maana houthis ni kikundi cha migambo lakini wana makombora ya kupiga battleships, juzi hapa wamepiga drone...

Inabidi kukubali ukweli dunia imebadilika, silaha zilizotumika WW2 kwa dunia ya leo ufanisi wake ni mdogo, na vifaa vya kijeshi na silaha za leo baada ya miaka 30/50 na zaidi zitakua hazina ufanisi...

Meli vita na ndege vita kwa dunia ya leo si kitu..
Mh!! we unaishi dunia ya wapi, hata TZ hatutumii silaha za WWWII

The United States has a significantly more advanced and powerful military compared to Iran. While Iran possesses a strong military, it is not on par with the U.S. in terms of technology, budget, and global reach.
 
Hukunielewa, nimetoa mfano wa WW2 kuaanisha miaka inavyokwenda na dunia inabadilika katika nyanja tofauti, siala zilizokuwa vizuri miaka 20 au 30 nyuma kwa leo hazitokua na ufanisi zaidi kama kipindi zinatoka...

Leo hii kuna silaha kama hypersonic mbayo inaweza kupiga aircraft carriers, thamani ya carrier ni kubwa sana ukizingatia inakuwepo team nzima ya kuendesha hilo carrier.
 
The B-52 Stratofortress can reach a maximum altitude of 50,000 feet (15,166.6 meters). It is a long-range, heavy bomber capable of flying at high subsonic speeds at that altitude. The B-52 can also carry nuclear or precision-guided conventional ordnance and has worldwide precision navigation capabilities

😛
ndyo uzitungue kwa vikombora ambavyo ni manually operated?
Iran-israel 2000km+,vyuma vilitumia dk 8,hiyo ndege 15k juu itachukua dk ngapi?
 
Hukunielewa, nimetoa mfano wa WW2 kuaanisha miaka inavyokwenda na dunia inabadilika katika nyanja tofauti, siala zilizokuwa vizuri miaka 20 au 30 nyuma kwa leo hazitokua na ufanisi zaidi kama kipindi zinatoka...

Leo hii kuna silaha kama hypersonic mbayo inaweza kupiga aircraft carriers, thamani ya carrier ni kubwa sana ukizingatia inakuwepo team nzima ya kuendesha hilo carrier.
..factor muhimu hapo kwa any powerful military power ni..technology, budget, and global reach USA hapo wako vizuri kuzidi
 
Back
Top Bottom