Marekani imeanza ku-test Mitambo

Marekani imeanza ku-test Mitambo

Wewe unadhani resistance ya Iran dhidi ya uvamizi inaweza kuwa na athari gani? Iran ni taifa kubwa sana na lenye nguvu kuliko yote mashariki ya kati. Kuivamia kijeshi ni hasara kuliko faida kwa wavamizi wenyewe. Hiyo jamii sio ya waarabu.
Who cares bro. Hiv unafikir mzungu anajali hilo. Sema sisi ndio tutakufa kabisa kiuchumi
 
Sio kuweza tu lakini kila mmoja apate heshima yake.
Nataka ujue kuwa moja ya sababu Iran inaona ujinga kuambiwa ikatii kuwa isiwe na nyuklia ni hiyo.
Inajiuliza ikiwa ni ubaya na hatustahiki kuwa nazo mbona sisi ndio wa mwanzo kuanza michakato ya kikemikali kama hiyo.Kwanini tumuwachie mwengine atupande juu ya vicwa vyetu.
Muhimu tu wakubai kuvumilia kipigo kama walivyo Hamas na hatimae wataibuka washindi.
Jamaa muongo wewe,dah!Kwa nini hawakuwa nazo kabla hizo nukes?
 
Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.

Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.

Jamani mnaonaje sasa tukijikomboa kifikra. Kuna mengi yanayotuhusu sisi waafrika na bara letu, tuyajadili, tuyazungumze na kujivunia. Pia tupunguze kuwashobokea wazungu.

Anyway ndivyo tulivyo tangu enzi na enzi na ndio maana Kalumanzila anasema yeye anaitwa brother K.

Yaani mtu upo hapa Kitunda ila unajisikia raaaaaha kuwa Mmarekani kuliko hata Mmarekani wa Washington
 
Wewe unadhani resistance ya Iran dhidi ya uvamizi inaweza kuwa na athari gani kwenye eneo la mashariki ya kati? Iran ni taifa kubwa sana na lenye nguvu kuliko yote mashariki ya kati. Kuivamia kijeshi ni hasara kuliko faida hata kwa wavamizi wenyewe. Hiyo jamii sio ya waarabu. Kuivamia Iran ni kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati kwenye vita ambavyo hawataweza kuvimaliza.
Inaonekana hujaelewa maana ya marekani na nini Nia yake.tofautisha kuvamiwa na kushambuliwa ni vitu viwili tofauti marekani haijasema kuvamia marekani itashambuli hasa kwenye vinu vyake vya ki Nuclear!!
 
Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.

Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.

B52, Iran anakuwa ni mwali mchumba tu,
 
Wewe unadhani resistance ya Iran dhidi ya uvamizi inaweza kuwa na athari gani kwenye eneo la mashariki ya kati? Iran ni taifa kubwa sana na lenye nguvu kuliko yote mashariki ya kati. Kuivamia kijeshi ni hasara kuliko faida hata kwa wavamizi wenyewe. Hiyo jamii sio ya waarabu. Kuivamia Iran ni kuliingiza eneo zima la mashariki ya kati kwenye vita ambavyo hawataweza kuvimaliza.

Mnapenda kuipa Iran ukuu ambao haijawahi kuwa nao.

Jiulize, Iran ilipigana na Iraq kwa miaka mingapi? Hivi unafahamu kuwa airan ilidhibitiwa na Iraq kwenye mapigano mpaka kufikia kuomba msaada kwa Israel?

Soma hapa ndiyo utaona usivyo na uelewa:

Israel supported Iran during the Iran–Iraq War. Israel was one of the main suppliers of military equipment to Iran during the war. Israel also provided military instructors during the war, and in turn received Iranian intelligence that helped it carry out Operation Opera against Iraq's Osirak nuclear reactor.

Waajemi sio wa mchezo mchezo. Wamepigana vita kabla Yesu hajazaliwa sembuse Marekani iliyogunduliwa juzi na akina Columbus!
Vita vya Kale, man to man combat, sasa vita ni hightech, Iran atamweza US? ambaye ameshasogeza silaha upenuni kwake
 
Hizo ndege hata makomandoo wetu wavunja matofali pale taifa wanaweza kuzidungua Kwa RPG na kusambaratika kama maji
The B-52 Stratofortress can reach a maximum altitude of 50,000 feet (15,166.6 meters). It is a long-range, heavy bomber capable of flying at high subsonic speeds at that altitude. The B-52 can also carry nuclear or precision-guided conventional ordnance and has worldwide precision navigation capabilities

😛
ndyo uzitungue kwa vikombora ambavyo ni manually operated?
 
Mnapenda kuipa Iran ukuu ambao haijawahi kuwa nao.

Jiulize, Iran ilipigana na Iraq kwa miaka mingapi? Hivi unafahamu kuwa airan ilidhibitiwa na Iraq kwenye mapigano mpaka kufikia kuomba msaada kwa Israel?

Soma hapa ndiyo utaona usivyo na uelewa:

Israel supported Iran during the Iran–Iraq War. Israel was one of the main suppliers of military equipment to Iran during the war. Israel also provided military instructors during the war, and in turn received Iranian intelligence that helped it carry out Operation Opera against Iraq's Osirak nuclear reactor.

Kwa hapo Wafuga Midevu na Majini akina Webabu mdogoye Adiosamigo na Bwana wao Ritz umewaumbua sana!!
 
Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.

Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.

Ajaribu aone atajutaa
 
Mitambo inayotestiwa waajemi waliposilimu ndio wahusika wakuu wa kuivumbua.
Wanasayansi kibao waliogundua madawa ya kutengenezea mabomu na kujishughulisha na mambo ya anga waliotokea maeneo ya Iran na jirani yake.
Umeanza tena kuandika ujinga.
 
Marekani imeshaanza ku-test mitambo baada ya kuona Iran a nataka kuleta za kuleta.

Wakati mazungumzo yanayotarajiwa kuendelea huko Oman kati ya Marekani na Iran Marekani imetoa onyo la awali kuwa endapo mazungumzo hayo Iran itayavuruga basi itarajie nguvu za kijeshi zitatumika kuwanyoosha.

Ndege rahisi sana kudungua hizo labda wakapigane burundi huko
 
USA anautemi wa kipumbavu yaani majadiliano yanafanyika lakini unalazimishwa uyakubali hata km hayana maslahi kwa taifa lako bahati mbaya kamkuta anaemtisha sio muoga wa vita na alikuwa anajiandaa zaidi ya miaka 30+ alikuwa anajua
 
this time they mean business
unaamini USA anaweza kuanzisha vita na iran? kwa level ya technology ya iran aliyofikia sasa hv asitegemee hyo vita atashinda km iraq hzo warship zake zote itabidi azirudishe nyumbani zikapumzike asizitumie kwenye hyo vita yatakua makaburi
 
USA anautemi wa kipumbavu yaani majadiliano yanafanyika lakini unalazimishwa uyakubali hata km hayana maslahi kwa taifa lako bahati mbaya kamkuta anaemtisha sio muoga wa vita na alikuwa anajiandaa zaidi ya miaka 30+ alikuwa anajua
..mbona walitii amri ya mazungumzo, ni us ndyo waliwa summon Iran waende Oman, hakuna silaha ya IRAN inaweza fika USA, lakini USA sasa wanacheza karibu na mwambao wa Iran
 
Back
Top Bottom