Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Mkuu wewe ni mgeni Dunia hii? Mali ya nchi Fulani ikitengenezwa nchi tofauti ni maslai ya kampuni husika... Hilo jambo trump ndio halitaki anataka kampuni zote za Marekani zirejeshe viwanda vyake Marekani au viface adhabu na trump akifanikiwa amerika itazidi kuwa juu maana hivyo viwanda vinagawana mapato na nchi tofauti haswa China. Kahawa na zabibu zetu zinatamba ulaya even,Tanzanite ya Tanzania inayotamba inatambulika ni ya Kenya na India
Hayo yote uliyosema ni sawa ....sasa nashangaa unakataa nn. Kumbe unatambua kwamba makampuni mengi ya kimarekani yanazalishia bidhaa China.... Na kampuni za kichina zinashalishia.... Nani atakusanya kodi nyingi.... Marekani au China? Huko ndo kuporomoka kwa America.
 
Na hakuna inaweza kamlazimisha mfanyibiashara kwamba lazima afanye biashara kwenye nchi fulani... Hizo ni kampeni za kutafutia kura tu... Kama vile alivyosema atajenga ukuta baina ya nchi yake na Mexico... Trump msanii tu... Lakini kwa sababu zangu binafsi I prefer trump over Hillary.
 
Hayo yote uliyosema ni sawa ....sasa nashangaa unakataa nn. Kumbe unatambua kwamba makampuni mengi ya kimarekani yanazalishia bidhaa China.... Na kampuni za kichina zinashalishia.... Nani atakusanya kodi nyingi.... Marekani au China? Huko ndo kuporomoka kwa America.
Asante GT
 
It happened to coincide with my initials... That's why I was a bit about my privacy
 
Kuna kitu kimenishangaza wale wanawake walioenda kuzalia watoto kule marekani ili watoto wawe raia na walio ukana uraia wa Tanzania nchi yetu na kuchukua uraia wa marekani au nchi yeyote , wakiamua kuishi hapa nchini kwetu kwa kufanya biashara au shughuli yeyote ya kipato, na wala sio illegal, Ardhi, upepo, maji, moto, mbao na chuma! Haviko upande wao yaani wao ni kuwandamwa na mibalaa na minuksi ya kila aina lakini wakiamua kukaa huko huko hawana neno, hata wakimilikwisha ardhi ni sawa sawa na zero tu! Na watoto nao wanakuwa vituko kweli kweli! Inatisha!
 
America ilibarikiwa, ubaya wao wakaenda against the nature!
 
United States of America ni kwishney walahi!
 
Back
Top Bottom