Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

kijeshi imedrop kidogo,kiuchumi imeshuka mno
Unailinganisha na taifa gani unapotumia vipimo na vigezo vipi? Muachege upotoshaji msioufahamu... Marekani anasaidia almost Dunia nzima
 
Ni kweli marekani itaanguka lakini anguko lake bado.
Swali taifa gani kwa sasa lipo juu ya marekani kwa nguvu za kiuchumi na kijeshi?? Utaona marekani bado iko namba one both economically na military.
Marekani itaanguka lakini baadae sio miaka hii michache.
umeongea sawia humu watu wanajifanya watabiri tu hawana lolote walijualo.. Makapuku
 
AS IT WAS IN THE BEGINNING SO IT SHALL BE AT THE END . ...AFRICA IS RAISING AGAIN . ..NEVER GIVE UP HOPE
Africa ina rising again!!!!? Lini ilikuwa juu we mburula... Hamuachagi ujinga na uongo? Kila kitu mnategemea America acheni tuone mtakavyo survive! Au mkuu unatokea Zimbabwe? Au somalia? Nitajie nchi ya Africa iliyowahi kuwa juu.... Na Mimi nitakuelezea hicho cha juu wapi kilitokea.... Labda safari za kutumia ungo..
 
13b2a12da2198acc06b1491cae5f2595.jpg
hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?
ac36854e0a3d7656dab9ede60aba2345.jpg
itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!
kuna watu waliulizwa lini Marekani ilikuwa great ! Majibu yao yalikuwa ni vichekesho vitupu... Sasa same maswali mnaulizana huku Tanzania... Majibu ya wamarekani ilikuwa America haijawahi kuwa great wao ni wapambanaji miaka yote... Walianza kupigana na red indians,Spanish,French British haswa baada ya kodi nyingi za ajabu ajabu hadi wakapata Uhuru, wakapigania haki za mwanamke,haki za watumwa n.k kuunganisha majimbo,civil war n.k world war ya kwanza na ya pili ,vita Vietnam n.k yaani haijawahi kuwa great...nyingi ni kama watambikaji tu hamna tofauti na kina she he Yayha tu.... Unapozungumzia Marekani tambua ni states nyingi moja ikiteteleka inanyenyuliwa na zingine faster... Wanasaidia karibu Dunia nzima ardhini na angani... Assets walizo nazo zinawaingizia faida kwa kila secunde matrilllion
 
Mdogomdogo ndugu huu ni mjadala kila mtu anatoa mawazo yake kulingana na uelewa wake
 
Africa ina rising again!!!!? Lini ilikuwa juu we mburula... Hamuachagi ujinga na uongo? Kila kitu mnategemea America acheni tuone mtakavyo survive! Au mkuu unatokea Zimbabwe? Au somalia? Nitajie nchi ya Africa iliyowahi kuwa juu.... Na Mimi nitakuelezea hicho cha juu wapi kilitokea.... Labda safari za kutumia ungo..
Hahahaha. ...KWELI WEWE NI KICHAA NA UNATAKIWA KUWA MIREMBE. ...JINGA KABISA
 
Kwa taarifa yako Africa ingeungana ingekua ni dola kubwa,swala la kuifikia America lingekua ni swala la nyakati,kadri siku zinavyokwenda na mipango mkakati + bidii tungetoka,hata wao America wametoka mbali,miaka ya 1800 huko walianza kupiga hatua,na sisi tungeungana mafanikio yangeonekana hata kwa vitukuu vyetu japo tutapata vikwazo lakini tunaweza kuvishinda kwa sababu ni dola kubwa.inawezekana bhana.
Kuunganisha Afrika haihitaji siasa na maneno maneno. Ni lazima kuwe na wanaohitaji huo muunganiko na wapige vita vikuu kutiisha wote wataogoma.

Niambie taifa lolote kubwa lililoungana bila vita na likaendelea kuwepo.

Hapa afrika mashariki tu inakua ngumu maana kila upande unaanza kufikiria maslahi yao. Sasa tuseme Tanzania angekua na nguvu angetandika wengine wote hadi wakubali kukaa meza ya mazungumzo na hapo ndipo umoja unakuja. Na wakishaungana maslahi ya Tz ndo yatakayotangulizwa hadi kieleweke.
 
Mnajidanyanya nyingi....wapo watu Serikali ya America wanawaza baada ya miaka 50 america itakuwaje....mmekalia humu Jamiiforum porojoporojo hata hujui hatma yako Kesho itakuwaje....
Kufikiria wanafikiria sana..... Lakini na wezao pia wanafikiria na wanachapa kazi.... Kama hufahamu kufikia mwaka 2011 China ilikuwa mbele kwa teknolojia ya anga za juu kwa miaka 3 ukilinganisha na America.
 
Marekani uchumi uko juu mtani. Ungesema labda wataporomoka kiuchomi but Trump aiangushe siyo rahisi. Pale hata Rhihana or anybody anaweza kuwa President na taifa lisiyumbe
Hivi Unajua marekani andaiwa kiasi ni China? Hebu iulize google. Mnajifurahisha lakini IMF ilisha-declare miaka 3 nyuma kwamba America is no 2 behind china. Huyu kaka Obama amejitahidi kuzuia gari lisizidi kuporomoka. Na warusi ni wajanja. Wamemsapoti Trump kwa maksudi wakijua ni incompetent ili was wazidi kukaa wakati marekani inatambaa.
 
Hahahaha. ...KWELI WEWE NI KICHAA NA UNATAKIWA KUWA MIREMBE. ...JINGA KABISA
Hahaha kumbe nimekuumbua... Hasira zimekupanda umepaniki.... Nadhani ningekuwa karibu ungenipiga ngumu... Huwezi hoja wewe sababu huna ujualo... Zaidi watu wakiongolea kitu unashabikia tu.. Ukiulizwa kitu unakosa jibu unakunja ngumu...
 
kuna watu waliulizwa lini Marekani ilikuwa great ! Majibu yao yalikuwa ni vichekesho vitupu... Sasa same maswali mnaulizana huku Tanzania... Majibu ya wamarekani ilikuwa America haijawahi kuwa great wao ni wapambanaji miaka yote... Walianza kupigana na red indians,Spanish,French British haswa baada ya kodi nyingi za ajabu ajabu hadi wakapata Uhuru, wakapigania haki za mwanamke,haki za watumwa n.k kuunganisha majimbo,civil war n.k world war ya kwanza na ya pili ,vita Vietnam n.k yaani haijawahi kuwa great...nyingi ni kama watambikaji tu hamna tofauti na kina she he Yayha tu.... Unapozungumzia Marekani tambua ni states nyingi moja ikiteteleka inanyenyuliwa na zingine faster... Wanasaidia karibu Dunia nzima ardhini na angani... Assets walizo nazo zinawaingizia faida kwa kila secunde matrilllion
Hebu tunaomba tujadili kwa data.... Halafu tusiwe na usingizi wa kifikra.... Kama tungekuwa tunafuatilia kampeni za Trump bila tusingepata wa kumpinga mtoa mada... Lakini Inaonekana baadhi yetu tumesoma habari za America miaka 20 iliopita bado tunajiona tunajua marekani. Na Wengine tunaona eti marekani ni mfadhili.Ufadhili wa mwizi anaekupa juice yenye dawa za kulevya ili ulale akuibie. Hebu Tuchangamsheni akili na tuwe wafuatiliaji wa world affairs kabla ya kukimbilia kutoa michango isiyo na utafiti.
 
Hivi Unajua marekani andaiwa kiasi ni China? Hebu iulize google. Mnajifurahisha lakini IMF ilisha-declare miaka 3 nyuma kwamba America is no 2 behind china. Huyu kaka Obama amejitahidi kuzuia gari lisizidi kuporomoka. Na warusi ni wajanja. Wamemsapoti Trump kwa maksudi wakijua ni incompetent ili was wazidi kukaa wakati marekani inatambaa.

Wakati unajadili mambo muhimu ushabiki weka pembeni.Trump ni mpambanaji kuliko Hilary Clinton.Chini ya Trump USA itakuwa imara zaidi kuliko hii ya sasa.Kwa taarifa fupi ni kwamba Kijeshi na Kiteknolojia China ipo nyuma sana kwa Marekani.
 
Sijui mshabiki ni nani kati ya Mimi na wewe... From simple logic vipi adui yako akuchagulie kizuri??? Mimi si mshabiki wa Hillary lakini nahisi wewe mwenzangu hufuatilii mambo yanavyoenda ulimwenguni unakimbilia kutoa hoja kwa kukurupuka. Lakini kwa vile umejiita Farudume sishangai kukurupuka kwako.Teknolojia ziko katika nyanja mimi Nimesema katika uwanja wa anga za juu Marekani ameshaachwa na Mchana. Ukipinga Pinga kwa data.
 
Back
Top Bottom