mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Mchina
Kufikiria wanafikiria sana..... Lakini na wezao pia wanafikiria na wanachapa kazi.... Kama hufahamu kufikia mwaka 2011 China ilikuwa mbele kwa teknolojia ya anga za juu kwa miaka 3 ukilinganisha na America.
Data kivipi? Mtoa Mada kaleta uzushi so anajibiwa anavyostahili... Na kama na wewe pia umekuja kizushi ati watu wamesoma data za Marekani za miaka 20 iliyopita... Na huamini ufadhiri Wa Marekani duniani unauita ni Wa madawa ya kulevya? Wewe ni mzima kweli???? Ukitaka hoja chagua idara yeyote unayotaka tuichambue na tutailinganisha na super power mwenzake... Ila hadi sasa Marekani Bado yupo juu na Bado miaka kadhaa ataendelea kuwa juu... Tatizo lenu hamuielewi Marekani nafasi inayotoa kwa watu wenye akili kuishi na kuifanya iwe juu kila siku mnabaki oh inapitwa oh inaanguka.nkHebu tunaomba tujadili kwa data.... Halafu tusiwe na usingizi wa kifikra.... Kama tungekuwa tunafuatilia kampeni za Trump bila tusingepata wa kumpinga mtoa mada... Lakini Inaonekana baadhi yetu tumesoma habari za America miaka 20 iliopita bado tunajiona tunajua marekani. Na Wengine tunaona eti marekani ni mfadhili.Ufadhili wa mwizi anaekupa juice yenye dawa za kulevya ili ulale akuibie. Hebu Tuchangamsheni akili na tuwe wafuatiliaji wa world affairs kabla ya kukimbilia kutoa michango isiyo na utafiti.
Ila Duduwasha nilitahadharisha kabisa mwanzoni kabisa kuwa kuna watu hili halitawafurahisha na hawatakubaliani namiData kivipi? Mtoa Mada kaleta uzushi so anajibiwa anavyostahili... Na kama na wewe pia umekuja kizushi ati watu wamesoma data za Marekani za miaka 20 iliyopita... Na huamini ufadhiri Wa Marekani duniani unauita ni Wa madawa ya kulevya? Wewe ni mzima kweli???? Ukitaka hoja chagua idara yeyote unayotaka tuichambue na tutailinganisha na super power mwenzake... Ila hadi sasa Marekani Bado yupo juu na Bado miaka kadhaa ataendelea kuwa juu... Tatizo lenu hamuielewi Marekani nafasi inayotoa kwa watu wenye akili kuishi na kuifanya iwe juu kila siku mnabaki oh inapitwa oh inaanguka.nk
Sijui mshabiki ni nani kati ya Mimi na wewe... From simple logic vipi adui yako akuchagulie kizuri??? Mimi si mshabiki wa Hillary lakini nahisi wewe mwenzangu hufuatilii mambo yanavyoenda ulimwenguni unakimbilia kutoa hoja kwa kukurupuka. Lakini kwa vile umejiita Farudume sishangai kukurupuka kwako.Teknolojia ziko katika nyanja mimi Nimesema katika uwanja wa anga za juu Marekani ameshaachwa na Mchana. Ukipinga Pinga kwa data.
Bwa Farudume asante sana.... Umetusaidia kujua nani anaongea kishabiki. Kwa bahati mbaya mtoa mada hakusema kwamba republican (GOP) inaanguka... Amesema America inaanguka... Kwa hio Hillary Clinton pia ni Mmarekani si mtz na Democrat pia ni chama cha kimarekani si cha kitanzania.Hizo ni Propaganda za Democrat.Bado wanamawenge ya kushindwa uchaguzi.
Ukiona mtu anaaza kutoa matusi ujuwe ameishiwa hoja na ujuzi wake ni mdogo (limited exposure to world affairs). Kwa taarifa yako simu ya kimarekani inayotamba iPhone inayotengenezwa na kampuni ya Apple inatengenezwa China.Kweli mtoa post bwege umewaaaaza ukaleta upuuzi humu?unadhani American nikama vijiwe vyenu vya kahawa?jitahid kujiongeza japo kidogo! Ukabun hata jambo litalojenga family yako maana unapiga modal kama maendeleo kumbe unaumiza wenzio! Ushaur Wa bure hata hiyo cm bila hao wanaume ungekuwa unalima Bamia!jihoji ww dunia iliyopo ww sio ya hao Na ndo ukweli !njoo tujadili mipango tufuge bata tutasogea! Take off your attachment!!!!!
Ukiona mtu anaaza kutoa matusi ujuwe ameishiwa hoja na ujuzi wake ni mdogo (limited exposure to world affairs). Kwa taarifa yako simu ya kimarekani inayotamba iPhone inayotengenezwa na kampuni ya Apple inatengenezwa China.
Ana lake la ziada huyo
Aisee hivi una lingine la ziada ama?Kweli mtoa post bwege umewaaaaza ukaleta upuuzi humu?unadhani American nikama vijiwe vyenu vya kahawa?jitahid kujiongeza japo kidogo! Ukabun hata jambo litalojenga family yako maana unapiga modal kama maendeleo kumbe unaumiza wenzio! Ushaur Wa bure hata hiyo cm bila hao wanaume ungekuwa unalima Bamia!jihoji ww dunia iliyopo ww sio ya hao Na ndo ukweli !njoo tujadili mipango tufuge bata tutasogea! Take off your attachment!!!!!
Ukasoma vizuri maandiko ukayaelewa utajua ukweliKwanza sitaki kuamini moja kwa moja hiyo kauli kutoka marekani.kwamba wamedukuliwa katika mfumo wa kumpata mshindi wa uraisi.mbwa mpe jina baya uendelee kumsimanga.
Hii ya utawala kufika kikomo, haliepukiki ila sio kizazi hiki cha karne 21.
go to hell..Amerika haiwezi kuanguka ina baraka za Mungu.

Mi natamani Africa tuungane na kutengeneza mataifa matano tu tukayaita majimbo na tukawa na rais wetu mmoja mwenye nguvu,utaona wazungu watakavyotuamkia shikamoo kila kukicha, UNITE STATE OF AFRICA itatisha

Mkuu wewe ni mgeni Dunia hii? Mali ya nchi Fulani ikitengenezwa nchi tofauti ni maslai ya kampuni husika... Hilo jambo trump ndio halitaki anataka kampuni zote za Marekani zirejeshe viwanda vyake Marekani au viface adhabu na trump akifanikiwa amerika itazidi kuwa juu maana hivyo viwanda vinagawana mapato na nchi tofauti haswa China. Kahawa na zabibu zetu zinatamba ulaya even,Tanzanite ya Tanzania inayotamba inatambulika ni ya Kenya na IndiaUkiona mtu anaaza kutoa matusi ujuwe ameishiwa hoja na ujuzi wake ni mdogo (limited exposure to world affairs). Kwa taarifa yako simu ya kimarekani inayotamba iPhone inayotengenezwa na kampuni ya Apple inatengenezwa China.