Na ugiriki mpaka ikawa omba omba . ..Kama GREATBRITAIN ilianguka sitaona ajabu USA akifa kifo cha mende
Marekani ni taifa lililo pale juu kwa unafiki na umbea tu nothing else, kuchonganisha na kulaghai Marekani ndo kwao lengo likiwa moja tu, kuonekana wao ni great nation.
Marekani ndio superpower ya mwisho duniani ............sasa hivi dunia inakoeleke mataifa mengi yatakuwa na nguvu na hakutakuwa na mtu atakayeandika equation za dunia peke yake tenasiasa za marekani su kama bongo,amn kuwa hakuna taifa lingne kitakalokuwa kubwa zaidi ya marekan
China with their Bauble economy!! no way, China will never rule this world never.China wanakuja kwa nguvu, walifurahi socialism ya urusi na ussr yao kuvunjika sasa wataisoma namba
Kijeshi imedrop kidogo, kiuchumi imeshuka mnoNi kweli marekani itaanguka lakini anguko lake bado.
Swali taifa gani kwa sasa lipo juu ya marekani kwa nguvu za kiuchumi na kijeshi?? Utaona marekani bado iko namba one both economically na military.
Marekani itaanguka lakini baadae sio miaka hii michache.
Ni kweli je iko chini ya taifa gani hadi sasa kiuchumi na kijeshi?kijeshi imedrop kidogo,kiuchumi imeshuka mno
Haya majitu ni makatili kweli kweli . .. halafu walikuwa wameturoga fikra zetu tunawaona kama vimungu mtu mpaka tukawapa jina la WAZUNGU = THE GLORIFIED .. kampuni.. afanalek enough is enough . .. kudadeki !Mnaopenda kujua mrusi alidukua nini ndo mtashangaa mkijua,
kumbe hilaly na group walikuwa wanatoa makafara watoto wadogo wa kike,wanafanya ibada za kishetani.
Nenda thetruthseeker.com
ukajisomee ushangae.
Mwenyewe hilaly anadai ni fake news.
Lakini kuna ushahidi mkubwa tu wa msimamizi wake wa kampeni amehusika kuteka watoto,kuwanajisi na kisha wanauliwa