Marekani haitatamalaki katika utukufu tena

Mnajidanyanya nyingi....wapo watu Serikali ya America wanawaza baada ya miaka 50 america itakuwaje....mmekalia humu Jamiiforum porojoporojo hata hujui hatma yako Kesho itakuwaje....

There is a book titled: The Rise and Fall of Great Powers by Paul Kennedy....read it..I for one I have read it..and I have it...
 
13b2a12da2198acc06b1491cae5f2595.jpg
hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?
ac36854e0a3d7656dab9ede60aba2345.jpg
itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!
If the USA falls or rather it is falling do we have to care??!!
 
Trump aliwaahidi wamarekani kuwa atarejesha utukufu. Sasa ni wazi kuwa kawaletea maafa. Tamaa za vijana wa kizungu zimeyeyuka ghafla. Wameushuhudia ukweli kuwa once you are falling it is not possible to recover half way. You will always land to the ground before you can rise again.

US empire was and still is on downward fall. Soon we will all realize they can no longer tame the world. And everyone will ignore them together with all their whims.
 
Kuna wakati usione kila kitu ni porojo za mitandaoni labda tu kama hufuatilii nini kinaendelea marekani kuanzia marekani ya Bush Jr mpaka kufikia sass
Kama wenyewe wanakiri kuwa mambo si mambo....lakini wewe unasema ni porojo mmh![emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Wewe wayaongea haya huku hujawahi hata kufika Amerika,
Wewe kama Wewe nini Umebadilisha katika nchi yako?
 
Endeleeni na maombi. Hivi mnakuja na data ama hisia zenu tu kuwa US is falling.

Ni sawa mwanzo US ana 98%, anayefuatia ana 31%

Leo US ana 94% anayefuatia ana 27%.

Haiwezekani useme mwenzako ana fall.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Trump aliwaahidi wamarekani kuwa atarejesha utukufu. Sasa ni wazi kuwa kawaletea maafa. Tamaa za vijana wa kizungu zimeyeyuka ghafla. Wameushuhudia ukweli kuwa once you are falling it is not possible to recover half way. You will always land to the ground before you can rise again.

US empire was and still is on downward fall. Soon we will all realize they can no longer tame the world. And everyone will ignore them together with all their whims.

Jr[emoji769]
 
13b2a12da2198acc06b1491cae5f2595.jpg
hii mada itawakera wale wenzangu na mimi wenye mapenzi yaliyopitiliza kwa taifa la marekani! Lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER BE GREAT AGAIN...! what a painful truth!
Akiwa kwenye kampeni za kinyang'anyiro cha urais mgombea wa kiti hicho bwana Trump alirudiarudia maneno haya. '....I want to make America great again...'! Yani ataifanya marekani itamalaki katika utukufu tena! Ndoto za Alinacha hizi...!
Kanuni za maisha zinasema kwamba ni rahisi kuwa namba moja lakini ni vigumu kubakia kwenye nafasi hiyo....
Mmarekani kwa kulitambua hilo alifanya kila namna abaki kileleni lakini WAKATI SI MILELE...! Na kila jambo na majira yake...hii ni Kanuni ya kiasili kabisa
Ahadi ya bwana Trumph ya kutaka kuifanya marekani itamalaki tena katika utukufu ni ushahidi tosha kuwa marekani ya juzi na jana si ya Leo na hapo kesho!
Where is the American pride now? Zile tambo za ....we Americans kwenye kila jambo ziko wapi? Tulichoshuhudia kwa kiwango cha juu kabisa ni kukataliwa kwa bwana Trump kama rais wa marekani japo kura maarufu zimempa urais...tunachoendelea kushuhudia ni dhihaka kejeli matusi na hata tuhuma za udukuzi na kusaidiwa kushinda na mataifa adui!
Leo hii marekani ndio inaongea lugha hizi kweli? Ule ufahari na kujikweza umepotelea wapi? Yale mambo yaliyozoeleka kusikika dunia ya tatu hasa Africa nyakati za chaguzi Leo hii ndio yanasikika marekani? Kweli...!!?
ac36854e0a3d7656dab9ede60aba2345.jpg
itakuwa vigumu kukubaliwa na wengi lakini ukweli mchungu ni kwamba AMERICA WILL NEVER SHINE AGAIN...!!!!
Kwa Sasa ndo nimekuelewa vizuri thread hii ilikuwa na maana gani kuliko kipindi ulipoiwasilisha...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Will a weakened America emerge victorious against communist China?
 
Likianguka hili taifa dunia itapumua angalau
Sio kweli
Binafsi bado natamani dunia iwe na kiranja mkuu vinginevyo chini ya heshima ya kambare mkubwa ndevu mdogo ndevu tutarajie bonge la vita kubwa ya dunia ambayo haitakuwa na mtu atakayekema kumwambia mwenzie aache
 
Will a weakened America emerge victorious against communist China?
Ni kawaida tu, kila akiyeko juu kutabiriwa kuanguka.
( Kuwa mpole hakuna aijuaye kesho, mali ni za kupita tu, utafulia tu)

Na kila aliyeko chini kujitabiria atakuwa juu ( ipo siku tu nitatusua na mimi )

They're just two sides of a coin. Huwezi kumtabiria masikini kushuka wala tajiri kupanda.
 
Back
Top Bottom