The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,113
- 121,544
JF is an open forums,sidhani kama mtu kucheka anakua amevunja sheria yeyote ile ya JF,The Icebreaker mtu akinitukana huwa unafurahi.
Its very strange popote pale mtu anaponi-quote kwa kashfa, lazima uone na reaction yako ni ileile ya kufurahi. Huwa ni organic au kuna mbinu za ziada unatumia.
Nimeicheka comment,kwanza wala hata sikua nimeangalia aliyejibiwa ni nani,imebidi niscroll up ili kuangalia aliyejibiwa alikua ni nani.