Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,510
- 28,529
All angles 🔥🔥🔥
Naam, hakuna mtu hapa
Hakuna aliyesema he was perfect, aliunga mkono vifo vya watoto Gaza n.k ila kwa alichokiamini yaani right wing conservatism alikitendea haki. Ali mobilise sana vijana kwa kuwapigia simu mtu mmoja mmoja ili wakapige kura. That was a lot of sacrificeTrump ni mwendawazimu kama aina hii ya watu ndio walimpigia campaign basi ni mwendawazimu mwenzake
View attachment 3469370
Auawe tuSasa kama mtu ana mitazamo tofauti na yako ndio halali auawe? Huyo jamaa hata mm kuna vitu vingi tunapishana lakini haina maana napaswa kufurahia kuuawa kwake
Kweli nimeamini binadamu wanatisha, tena kuliko viumbe vyote duniani
Hakuna aliyesema he was perfect, aliunga mkono vifo vya watoto Gaza n.k ila kwa alichokiamini yaani right wing conservatism alikitendea haki. Ali mobilise sana vijana kwa kuwapigia simu mtu mmoja mmoja ili wakapige kura. That was a lot of sacrifice
Mtu hua anaangaliwa pande zake zote mbili,Hakuna aliyesema he was perfect, aliunga mkono vifo vya watoto Gaza n.k ila kwa alichokiamini yaani right wing conservatism alikitendea haki. Ali mobilise sana vijana kwa kuwapigia simu mtu mmoja mmoja ili wakapige kura. That was a lot of sacrifice
We pambana na yako bana...Kwa hiyo hiyo 90% ya maoni ya Americans ndio yanapaswa kuoa muongozo wa akili yake kwenye kutoa maoni yake.....??
Kwa hiyo wewe akili yako inafanya maamuzi kutokana na maoni ya wengi au kutokana na fikra zako baada ya kutafakari.....???
Kwa hiyo ni dhambi kuwa na mtazamo tofauti kutoka kwenye maoni ya walio wengi...??
Pambana na ujinga wako....Labda 90% ya Waislamu wenzio na wapumbavu wa Kikomunisti
Yeah lakini haimaanishi ukiwa na mtazamo tofauti na mtu basi ndio inakupa uhalali wa kwenda kumuuaMtu hua anaangaliwa pande zake zote mbili,
Kwa wanaomuangalia kwa mabaya yake wapo sahihi,na wewe unayemuangalia kwa mazuri yake,unaweza ukawa upo sahihi pia,
kila mtu na mtazamo wake,
Huwezi kuwashawishi watu wote wakawa na mtazamo wa aina moja kwa mtu mmoja,
Hata Hittler wapo wanaosema alikua mtu mzuri na wapo wanaosema alikua mtu mbaya.
Ukiwa na akili watu hawawezi kukuchukia au wote wanaochukiwa huwa ni vilaza?Duh!! 90% ya comments za Americans zinaonyesha walikuwa na chuki nae kutokana na misimamo na maoni yake...
Sasa wewe hii akili yake ni ya wapi!?
Kijijini kwenu...?