zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,393
- 40,292
This man was so smart, alimpigia sana campaign trump hasa vyuoni sijui kwanini wamemuua hao wahuni.
Ni akili kubwa, he knows too much sio sheria, economics, geopolitics, diplomacy etc.nilikuwa najaribu kumjibu mdau aliyesema kwamba Kirk alikuwa ni akili kubwa, hakuwa na hiyo akili kubwa kama ambavyo wahafidhina wanataka kumjengea jina.
This man was so smart, alimpigia sana campaign trump hasa vyuoni sijui kwanini wamemuua hao wahuni.
Kwa hiyo hiyo 90% ya maoni ya Americans ndio yanapaswa kuoa muongozo wa akili yake kwenye kutoa maoni yake.....??Duh!! 90% ya comments za Americans zinaonyesha walikuwa na chuki nae kutokana na misimamo na maoni yake...
Sasa wewe hii akili yake ni ya wapi!?
Kijijini kwenu...?
Kuna aina za topic alizokua anatetea neno "smart" kutumika inalets ukakasi sanaKwa hiyo hiyo 90% ya maoni ya Americans ndio yanapaswa kuoa muongozo wa akili yake kwenye kutoa maoni yake.....??
Kwa hiyo wewe akili yako inafanya maamuzi kutokana na maoni ya wengi au kutokana na fikra zako baada ya kutafakari.....???
Kwa hiyo ni dhambi kuwa na mtazamo tofauti kutoka kwenye maoni ya walio wengi...??
Neno "Smart" wewe ndio umelielewa vibaya lakini hata magaidi, majambazi na vibaka lazima wawe "smart" ili kukamilisha mipango yao.....Kuna aina za topic alizokua anatetea neno "smart" kutumika inalets ukakasi sana
NaamHilo suala la ukakasi ni inatokana na wewe nafsi yako inavyoamua kupokea anachokifanya
View attachment 3469339Charlie Kirk, aliyejulikana kama mwanachama mkuu wa mrengo wa kulia na mwanzilishi mwenza wa Turning Point USA, aliuawa kwa risasi tarehe 10 Septemba 2025, katika tukio linalochukuliwa kama moja ya dalili za ongezeko la vurugu za kisiasa nchini Marekani. Tukio hilo linapelekwa kwa uchunguzi wa kina, huku halijulikani mshukiwa halisi bado hayupo mononi mwa polisi
Angalia jinsi alivyouawa kwa risasi. Hii ni screenrecord, kwa hiyo ni heri uzoom ili uone vizuri
View attachment 3469336
Charlie Kirk amefariki baada ya kupigwa risasi tarehe 10 Septemba 2025, wakati akiwa kwenye mkutano wa "American Comeback Tour" katika Utah Valley University, Orem, Utah .
Shambulio lilitokea karibu saa 12:10 jioni (MDT). Risasi ilipigwa na kutoka kwa jengo lililoko takribani mita 200 mbali na jukwaa. Charlie alipigwa shingoni na kuanguka papo hapo .
Kifo kilithibitishwa na Rais Donald Trump kupitia mtandao wake wa Truth Social, akimtaja Kirk kuwa "mkubwa, hata wa kifahari", na kuongeza kuwa ilikuwa ni hasara kubwa kwa vijana wa Marekani .
View attachment 3469337
FBI pamoja na ATF (Bureau of Alcohol, Tobacco, Firearms and Explosives) waliingizwa kwenye uchunguzi wa tukio hilo. Awali kuliripotiwa kuwa mtu alikamatwa, lakini baadaye ukaelezwa mtu aliyekamatwa si mshukiwa, na mshukiwa halisi bado hayupo mkononi mwa polisi .
Tukio hili limechukuliwa kama sehemu ya wimbi la vurugu za kisiasa zinazoongezeka nchini Marekani katika kipindi hiki, likichangia wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa mtu anayeonekana kama kiongozi wa kisiasa .
Charlie Kirk alikuwa mwanzilishi mwenza na mtendaji mkuu wa shirika la kisiasa la Turning Point USA, ambalo liliandaliwa kumshawishi vijana watunge siasa za mrengo wa kulia. Alikuwa na umri wa miaka 31 alipoaga dunia, na aliongoza kupitia sinema maarufu za kisiasa, vituo vya redio na podcasti .
Kwa wasiomjua Charlie Kirk tembeleeni account ya Instagram ya "Turning point USA" Utaona, video zake. Alikuwa anapenda kubishana na wanachuo kuhusu mambo ya siasa
Labda 90% ya Waislamu wenzio na wapumbavu wa KikomunistiDuh!! 90% ya comments za Americans zinaonyesha walikuwa na chuki nae kutokana na misimamo na maoni yake...
Sasa wewe hii akili yake ni ya wapi!?
Kijijini kwenu...?
Alikuwa anapinga dana ushoga na mambo ya Transgender. Angalia hapa, inawezekana trans people wwnahusika kwenye mauaji ya CharlieNimehuzunika jamaa alikuwa ana akili kubwa sana, Mungu ampumzishe pahali pema
Hata trans people pia inawezekana wanahusikaWaislamu wakiungana na Wapumbavu wa Kikomunisti/Kisoshalisti ndiyo waliomuua Charlie Kirk
LGBTQI ni watu hatari sana, Hususani kama unapinga dhana zao wazi wazi.Ni ngumu kusema nani wakina wameamua kumuondoa jamaa ila ni hatari sana kutaka kuangusha mifumo ya kimtazamo. Mfano kundi kama la LGBTQI hao jamaa sio wadogo kabisa. Bado makundi ya kidini na wale wa kilatino