The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,127
- 121,587
Huyo shooter anaonekana sio mtu wa kawaida,yani amelenga sehemu ambayo ni almost sio rahisi kusurvive.Huyo kichwa pumbu amepelekwa panapostahili...
Kudos kwa shooter...
Huyo shooter anaonekana sio mtu wa kawaida,yani amelenga sehemu ambayo ni almost sio rahisi kusurvive.Huyo kichwa pumbu amepelekwa panapostahili...
Kudos kwa shooter...
Majanga yoyote ya kijamii yanatuhusu jamii zoteWe pambana na yako bana...
Yao tuwaachie wenyewe
Aisee inatisha!Safi sana kongole kwa shooter
View attachment 3469373
Alikuwa na kauli za ******* sana huyu janjaView attachment 3469374View attachment 3469375View attachment 3469377
Marekani hata ukisema Mungu yupo utashukiwa na matusi then ukisema jinsia ni mbili tu utashukiwa na mapovu. Lakini je upo sahihi au unatakiwa kufuata upepo wa watu unasemaje?Duh!! 90% ya comments za Americans zinaonyesha walikuwa na chuki nae kutokana na misimamo na maoni yake...
Sasa wewe hii akili yake ni ya wapi!?
Kijijini kwenu...?
Mume wako ameshakufa. PoleMarekani hata ukisema Mungu yupo utashukiwa na matusi then ukisema jinsia ni mbili tu utashukiwa na mapovu. Lakini je upo sahihi au unatakiwa kufuata upepo wa watu unasemaje?
Nenda kamzike mumeo basi.Sasa kama mtu ana mitazamo tofauti na yako ndio halali auawe? Huyo jamaa hata mm kuna vitu vingi tunapishana lakini haina maana napaswa kufurahia kuuawa kwake
Kweli nimeamini binadamu wanatisha, tena kuliko viumbe vyote duniani
Sijakusoma.Yeah lakini haimaanishi ukiwa na mtazamo tofauti na mtu basi ndio inakupa uhalali wa kwenda kumuua
Wewe muafrika wa nzega huko...Majanga yoyote ya kijamii yanatuhusu jamii zote
Shida hata hamjatake trouble kuona alikuwa ni nani...alisema nini...alikuwa na mtizamo gani!?Marekani hata ukisema Mungu yupo utashukiwa na matusi then ukisema jinsia ni mbili tu utashukiwa na mapovu. Lakini je upo sahihi au unatakiwa kufuata upepo wa watu unasemaje?
Kabisa, sio mtandao wa kinyonge kama wengi wanavyodhani.LGBTQI ni watu hatari sana, Hususani kama unapinga dhana zao wazi wazi.
Hawashindwi kukutoa uhai.
Wako tayari ku deal na yeyote atakae jaribu kuwaleta chini katika mambo yao.
Sawa🤣🤣🤣Wewe muafrika wa nzega huko...
😂😂😂😂
Achana na Americans.
Hata hao watu weusi wa US unaowatetea usisahau na wao wanachukia WaafrikaCha ajabu hapa kuna mijitu meusi pye, na nywele za kipilipili na li pua likubwa eti anasikitishwa kufa kwa huyu mbwa aliekuwa anatukana watu weusi wa US,
Wanasema hiii miezi ya karibuni aliwagusia matapeli wa middle east kina Bibi neta kwamba inabidi waanze kuhoji sio kuchukua taarifa zao kama zilivyo