Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,550
- 28,737
Huyu jamaa sijui kwa nini walichelewa kumuua
Tukubali au tukatae replacement inafanyika nchi ya magharibi....nilikuwa najaribu kumjibu mdau aliyesema kwamba Kirk alikuwa ni akili kubwa, hakuwa na hiyo akili kubwa kama ambavyo wahafidhina wanataka kumjengea jina. Siungi mkono kilichompata, mauaji ya aina yoyote hayaleti suluhu kwenye kutofautiana kwa mitizamo.
Jamaa hakutaka tu kuiongelea 2nd amendment bali alihubiri na kutaka kupandikiza mawazo hasi dhidi ya dhahania ya 'replacement'. Na asingeishia hapo, rejea wale wawakilishi wa Minnesota
Hiyo Pete mbona ilikimbilia kidole kidogo kutoka kidole cha ndoa? Yani ilihama?🤣🤣🤣🔥 kmmmk kula chuma hicho Charlie
View attachment 3470093
Ni kama umeanza kumjua Charlie Kirk jana baada ya kusikia kifo chake
Kaiva huyo mwambaSnipers noma
Alichelewa kufa hata hivyo.View attachment 3469339Charlie Kirk, aliyejulikana kama mwanachama mkuu wa mrengo wa kulia na mwanzilishi mwenza wa Turning Point USA, aliuawa kwa risasi tarehe 10 Septemba 2025, katika tukio linalochukuliwa kama moja ya dalili za ongezeko la vurugu za kisiasa nchini Marekani. Tukio hilo linapelekwa kwa uchunguzi wa kina, huku halijulikani mshukiwa halisi bado hayupo mikononi mwa polisi
Angalia jinsi alivyouawa kwa risasi. Hii ni screenrecord, kwa hiyo ni heri uzoom ili uone vizuri
View attachment 3469336
Charlie Kirk amefariki baada ya kupigwa risasi tarehe 10 Septemba 2025, wakati akiwa kwenye mkutano wa "American Comeback Tour" katika Utah Valley University, Orem, Utah .
Shambulio lilitokea karibu saa 12:10 jioni (MDT). Risasi ilipigwa na kutoka kwa jengo lililoko takribani mita 200 mbali na jukwaa. Charlie alipigwa shingoni na kuanguka papo hapo .
Kifo kilithibitishwa na Rais Donald Trump kupitia mtandao wake wa Truth Social, akimtaja Kirk kuwa "mkubwa, hata wa kifahari", na kuongeza kuwa ilikuwa ni hasara kubwa kwa vijana wa Marekani .
View attachment 3469337
FBI pamoja na ATF (Bureau of Alcohol, Tobacco, Firearms and Explosives) waliingizwa kwenye uchunguzi wa tukio hilo. Awali kuliripotiwa kuwa mtu alikamatwa, lakini baadaye ukaelezwa mtu aliyekamatwa si mshukiwa, na mshukiwa halisi bado hayupo mkononi mwa polisi .
Tukio hili limechukuliwa kama sehemu ya wimbi la vurugu za kisiasa zinazoongezeka nchini Marekani katika kipindi hiki, likichangia wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa mtu anayeonekana kama kiongozi wa kisiasa .
Charlie Kirk alikuwa mwanzilishi mwenza na mtendaji mkuu wa shirika la kisiasa la Turning Point USA, ambalo liliandaliwa kumshawishi vijana watunge siasa za mrengo wa kulia. Alikuwa na umri wa miaka 31 alipoaga dunia, na aliongoza kupitia sinema maarufu za kisiasa, vituo vya redio na podcasti .
Kwa wasiomjua Charlie Kirk tembeleeni account ya Instagram ya "Turning point USA" Utaona, video zake. Alikuwa anapenda kubishana na wanachuo kuhusu mambo ya siasa
Ahsante kwa video hii...
Kuna watu hawaelewi
Ninkweli dunia inabadilika kufuata upepo wa siasa za mlengo wa kushoto ambapo kuna mahasi kibao, kwa hiyo unataka tuishi watu tuishi kwa kuwaogopa hao leftists tusiwarithishe watoto wetu misimamo ya kihafidhina au?Ndo mkuu, hata mimi siungi mkono "violence" yoyote ile ila hawa jamaa wa mlengo wa kulia huwa wajitengenezea maadui bila kufahamu madhara ya kujadili masuala mazito.
Dunia yazidi kubadilika kwa kasi sana na sasa hivi ni kuwa makini na kila uongeacho.
Tanzania hakuna leftists, progressive au democrats. CCM, CHADEMA, ACT, CHAUMMA na wengine wote conservativesNinkweli dunia inabadilika kufuata upepo wa siasa za mlengo wa kushoto ambapo kuna mahasi kibao, kwa hiyo unataka tuishi watu tuishi kwa kuwaogopa hao leftists tusiwarithishe watoto wetu misimamo ya kihafidhina au?
Na wewe hizo comments 90% za wamarekani wanaomchikia Charlie umezipimaje? Umetumia metric device ya bibi yako au?Duh!! 90% ya comments za Americans zinaonyesha walikuwa na chuki nae kutokana na misimamo na maoni yake...
Sasa wewe hii akili yake ni ya wapi!?
Kijijini kwenu...?
Sijajua ufahamu wako kuhusiano na uliberali ni kiasi gani, ila kwa maono ya haraka haraka tu watanzania wengi hususani waliosoma soma ukiwemo na wewe mna mentality fulani ya kileberal/ ya kishenzi..Tanzania hakuna leftists, progressive au democrats. CCM, CHADEMA, ACT, CHAUMMA na wengine wote conservatives
Yupo sahihi ila. Kwa nini watu weusi wa Marekani wasijiimarishe wao wenyewe badala ya kulalamikia wazungu?. Marekani imefanya kila namna kuleta usawa kwenye nchi kati ya wazungu na watu weusi lakini bado Black Americans kazi yao ni kulalamika tu. Wao ndio hawajui kuchangamkia fursa. Mtu mweusi Marekani akiwa mchapakazi anaweza kufanya chochote kile ambacho mzungu anaweza kufanya
Yupo sahihi ila. Kwa nini watu weusi wa Marekani wasijiimarishe wao wenyewe badala ya kulalamikia wazungu?. Marekani imefanya kila namna kuleta usawa kwenye nchi kati ya wazungu na watu weusi lakini bado Black Americans kazi yao ni kulalamika tu. Wao ndio hawajui kuchangamkia fursa. Mtu mweusi Marekani akiwa mchapakazi anaweza kufanya chochote kile ambacho mzungu anaweza kufanya
Wewe unaijua China vizuri. China ilitawaliwa na Japan lakini bado watu wake walipopata uhuru wakaanza kuijenga China yao wenyewe. Walijiimarisha mpaka leo China imekuwa taifa lenye nguvu sana duniani. Wasingefanikiwa hili kama wangekuwa na victim mentality ya Black Americans, hakika wachina wasingefanikiwa kama wangeendelea kulaumu Wajapani siku zote
Halafu sio kwamba Charlie Kirk alikuwa smart sana. Ni hao tu wanafunzi wa Marekani wengi wao hawajui kudebate vizuri hata kama wanachotetea ni sahihi. Lakini ukienda nchi ambayo wanafunzi wake ni magenius kama Uingereza majibu ni tofauti
Charlie Kirk aliwahi kwenda chuo cha Cambridge, Uingereza kudebate na wanafunzi na kule alikutana na vipanga balaa. Charlie Kirk aliaibika, kule alishindwa debate hadi na wasichana. Alikutana na both smart girls and smart boys, na walimshinda vizuri tu kwenye debate
Kwa hiyo kama mtu ana opinions tofauti na zako ulipaswa uhakikishe unaweza kutetea hoja zako mbele yake. Hao wanafunzi wa Kimarekani walitakiwa wamprove wrong Charlie kwenye debate kama wanafunzi wa Cambridge walivyofanya. Sio kumuua
Angalia mfano huyu smart student from Cambridge jinsi alivyomhandle Charlie vizuri kwenye debate, na hivi ndio inapendeza.
View attachment 3470230
How? Can you explicate that?WRONGGGGG....
he is a Racist