TANZIA Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi

Yupo sahihi ila. Kwa nini watu weusi wa Marekani wasijiimarishe wao wenyewe badala ya kulalamikia wazungu?. Marekani imefanya kila namna kuleta usawa kwenye nchi kati ya wazungu na watu weusi lakini bado Black Americans kazi yao ni kulalamika tu. Wao ndio hawajui kuchangamkia fursa. Mtu mweusi Marekani akiwa mchapakazi anaweza kufanya chochote kile ambacho mzungu anaweza kufanya
Wewe unaijua China vizuri. China ilitawaliwa na Japan lakini bado watu wake walipopata uhuru wakaanza kuijenga China yao wenyewe. Walijiimarisha mpaka leo China imekuwa taifa lenye nguvu sana duniani. Wasingefanikiwa hili kama wangekuwa na victim mentality ya Black Americans, hakika wachina wasingefanikiwa kama wangeendelea kulaumu Wajapani siku zote

Halafu sio kwamba Charlie Kirk alikuwa smart sana. Ni hao tu wanafunzi wa Marekani wengi wao hawajui kudebate vizuri hata kama wanachotetea ni sahihi. Lakini ukienda nchi ambayo wanafunzi wake ni magenius kama Uingereza majibu ni tofauti
Charlie Kirk aliwahi kwenda chuo cha Cambridge, Uingereza kudebate na wanafunzi na kule alikutana na vipanga balaa. Charlie Kirk aliaibika, kule alishindwa debate hadi na wasichana. Alikutana na both smart girls and smart boys, na walimshinda vizuri tu kwenye debate
Kwa hiyo kama mtu ana opinions tofauti na zako ulipaswa uhakikishe unaweza kutetea hoja zako mbele yake. Hao wanafunzi wa Kimarekani walitakiwa wamprove wrong Charlie kwenye debate kama wanafunzi wa Cambridge walivyofanya. Sio kumuua

Angalia mfano huyu smart student from Cambridge jinsi alivyomhandle Charlie vizuri kwenye debate, na hivi ndio inapendeza.
View attachment 3470230
Angalia kuhusu systematic racism ambayo watu weusi wamepitia, na bado wanapitia ndiyo utafahamu kwa nini imekuwa vigumu sana kwao kujikomboa.
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Angalia kuhusu systematic racism ambayo watu weusi wamepitia, na bado wanapitia ndiyo utafahamu kwa nini imekuwa vigumu sana kwao kujikomboa.
Kuna factor nyingi kwa nini waty weusi ni masikini USA, Systematic Racism ni mojawapo pia, ukijumlisha na victim mentality ndio inakuwa nyingi zaidi
Watu weusi wameonewa sana USA lakini sasa USA inajitahidi kuleta usawa. Ni muhimu watu weusi USA kuelewa kuwa Racism haiwezi kuisha leo, inapungua taratibu as time goes on so ni muhimu sasa kuachana na kulalamika badala yake wafocus kwenye opportunities.

Nchi kama USA ina fursa nyingi sana ndio maana watu wamehama India, China, Africa nk na walipofika tu USA na kuishi miaka kadhaa wakapata maisha mazuri. Maana yake Marekani ina fursa nyingi ambazo huku kwetu ni ngumu kuzipata. Black American Community inapaswa kuchangamkia fursa hizi kama foreigners wanavyofanya. Hakika wataanza kupewa heshima wanayostahili. Hii kulalamikia wazungu haitawafikisha popote
 
Na wewe hizo comments 90% za wamarekani wanaomchikia Charlie umezipimaje? Umetumia metric device ya bibi yako au?

Yaan unasome comments za maliberals kwenye pages zao ambao inafahamika wazi kuwa wanamchukia Charilie na Trump kisha unahitimisha eti wanamchukia Charlie?
Unamjua Charlie?au unaongea tuu , kama wewe ni mweusi utakuwa huna akili
 
Ku.ma la bibi yako, wewe ndio huna akili.

Ninamjua vizuri sana na nimekuwa nikifuatilia vipindi vyake mara kadhaa jinsi anavyowatoa nyongo nyie mashoga hasa wa mlengo wa kushoto/leftists

Charlie hakuwa mnafiki kama walivyo white democrats, yeye alielezea hisia zake za kweli kuhusu watu weusi, hakuogopa kuanika upumbavu na uzembe wao kwamba kwanin waishi kwa kutegemea wellfare, aliyachana mablack americans yaache uzembe na kulia lia kuhusu kuonewa na system na wakati wao kwa wao ndio wanauana.

Sema kwa vile watu weusi wengi wenu akili ni ndogo na mko so sensitive mkaona ni mabuguzi.

R.I.P charlie.
 
Yupo sahihi ila. Kwa nini watu weusi wa Marekani wasijiimarishe wao wenyewe badala ya kulalamikia wazungu?. Marekani imefanya kila namna kuleta usawa kwenye nchi kati ya wazungu na watu weusi lakini bado Black Americans kazi yao ni kulalamika tu. Wao ndio hawajui kuchangamkia fursa. Mtu mweusi Marekani akiwa mchapakazi anaweza kufanya chochote kile ambacho mzungu anaweza kufanya
Wewe unaijua China vizuri. China ilitawaliwa na Japan lakini bado watu wake walipopata uhuru wakaanza kuijenga China yao wenyewe. Walijiimarisha mpaka leo China imekuwa taifa lenye nguvu sana duniani. Wasingefanikiwa hili kama wangekuwa na victim mentality ya Black Americans, hakika wachina wasingefanikiwa kama wangeendelea kulaumu Wajapani siku zote

Halafu sio kwamba Charlie Kirk alikuwa smart sana. Ni hao tu wanafunzi wa Marekani wengi wao hawajui kudebate vizuri hata kama wanachotetea ni sahihi. Lakini ukienda nchi ambayo wanafunzi wake ni magenius kama Uingereza majibu ni tofauti
Charlie Kirk aliwahi kwenda chuo cha Cambridge, Uingereza kudebate na wanafunzi na kule alikutana na vipanga balaa. Charlie Kirk aliaibika, kule alishindwa debate hadi na wasichana. Alikutana na both smart girls and smart boys, na walimshinda vizuri tu kwenye debate
Kwa hiyo kama mtu ana opinions tofauti na zako ulipaswa uhakikishe unaweza kutetea hoja zako mbele yake. Hao wanafunzi wa Kimarekani walitakiwa wamprove wrong Charlie kwenye debate kama wanafunzi wa Cambridge walivyofanya. Sio kumuua

Angalia mfano huyu smart student from Cambridge jinsi alivyomhandle Charlie vizuri kwenye debate, na hivi ndio inapendeza.
View attachment 3470230
Umeelezea vizuri sana hasa hapo ulipowagusia black americans, ni kweli hao watu tatizo lao kuu ni victim mentality na wala sio system kama ambavyo wamekuwa wakidai wao na sio Charlie tu bali hata baadhi ya comedians kama Steve Harvey wamewahi kulisema hilo ila halikuchukuliwa kwa uzito, sababu ni mchekeshaji.

Charlie alikuwa anawachallenge hao african americans kwanin wao ndio wana idadi kubwa ya watu wanaishi kwa kutegemea government handouts? Wanaishia kumtukana na kumuona mbaguzi.
 
Yupo sahihi ila. Kwa nini watu weusi wa Marekani wasijiimarishe wao wenyewe badala ya kulalamikia wazungu?. Marekani imefanya kila namna kuleta usawa kwenye nchi kati ya wazungu na watu weusi lakini bado Black Americans kazi yao ni kulalamika tu. Wao ndio hawajui kuchangamkia fursa. Mtu mweusi Marekani akiwa mchapakazi anaweza kufanya chochote kile ambacho mzungu anaweza kufanya
Wewe unaijua China vizuri. China ilitawaliwa na Japan lakini bado watu wake walipopata uhuru wakaanza kuijenga China yao wenyewe. Walijiimarisha mpaka leo China imekuwa taifa lenye nguvu sana duniani. Wasingefanikiwa hili kama wangekuwa na victim mentality ya Black Americans, hakika wachina wasingefanikiwa kama wangeendelea kulaumu Wajapani siku zote

Halafu sio kwamba Charlie Kirk alikuwa smart sana. Ni hao tu wanafunzi wa Marekani wengi wao hawajui kudebate vizuri hata kama wanachotetea ni sahihi. Lakini ukienda nchi ambayo wanafunzi wake ni magenius kama Uingereza majibu ni tofauti
Charlie Kirk aliwahi kwenda chuo cha Cambridge, Uingereza kudebate na wanafunzi na kule alikutana na vipanga balaa. Charlie Kirk aliaibika, kule alishindwa debate hadi na wasichana. Alikutana na both smart girls and smart boys, na walimshinda vizuri tu kwenye debate
Kwa hiyo kama mtu ana opinions tofauti na zako ulipaswa uhakikishe unaweza kutetea hoja zako mbele yake. Hao wanafunzi wa Kimarekani walitakiwa wamprove wrong Charlie kwenye debate kama wanafunzi wa Cambridge walivyofanya. Sio kumuua

Angalia mfano huyu smart student from Cambridge jinsi alivyomhandle Charlie vizuri kwenye debate, na hivi ndio inapendeza.
View attachment 3470230
Charlie alikuwa mpumbavu mmoja tu aliyepewa hype na Trump na Republicans

Kuhusu kufananisha uvamizi wa Wajapan kwenye ardhi ya China na suala la Afro-Americans na White Americans ni vitu viwili tofauti sana
​
 
Ni kama umeanza kumjua Charlie Kirk jana baada ya kusikia kifo chake
Huyo jamaa ni racist tangu mwanzo na ukileta mifano ya yeye kuwa racist basi ipo mingi mno. Lakini alikuwa tu anabishana na wanachuo kamwe hakuwahi kuwa hatari kwa taifa, meaning sio mtu ambate angefanya uhalifu. Nilikuwa napenda kuangalia mijadala yake, coz napenda kuona debate sasa walivyomuua maana yake nimekosa pa kuangalia debate
Watu walipaswa kumprove wrong kwenye debate. So wameshindwa kumdebate kwa hoja wameamua kumuua, very silly decision
Pole kwa kufiwa. Suala la kuanza kumjua lini sio hoja. Hoja ni kuwa dogo alikuwa mpuuzi mmoja tu. Rest In Hell Charlie​
 
Ku.ma la bibi yako, wewe ndio huna akili.

Ninamjua vizuri sana na nimekuwa nikifuatilia vipindi vyake mara kadhaa jinsi anavyowatoa nyongo nyie mashoga hasa wa mlengo wa kushoto/leftists

Charlie hakuwa mnafiki kama walivyo white democrats, yeye alielezea hisia zake za kweli kuhusu watu weusi, hakuogopa kuanika upumbavu na uzembe wao kwamba kwanin waishi kwa kutegemea wellfare, aliyachana mablack americans yaache uzembe na kulia lia kuhusu kuonewa na system na wakati wao kwa wao ndio wanauana.

Sema kwa vile watu weusi wengi wenu akili ni ndogo na mko so sensitive mkaona ni mabuguzi.

R.I.P charlie.
Lazima Una mental illness wewe, kamwone Daktari
 
Nimemsikiliza Andre Tate leo na yeye anasema anaweza kufuatia kwenye kushambuliwa..
 
Kabisa, hili nimewahi kulisema hata mimi kule x tena kwenye page yake.

Hii dunia ya sasa waafidhina wanachukuliwa kama watu hatari kwenye jamii, watu wa mlengo wa kushoto wanataka kila mtu awe upande wao, mtu yeyote anayejaribu kuhubiri conservatism huyo anakuwa kwenye target.
 
Anasema alishavamiwa nyumbani kwake, nadhani hawakufanikiwa...

Inashangaza... Sijui Dunia inapoenda..
 
Back
Top Bottom