Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,610
- 21,184
Dangote hapangi soko la mafuta bali ni soko la dunia!Masharti ya DANGOTE yanainyima nchi fursa ya kuwa na soko huria la mafuta.
Huyo beberu mweusi anataka auze yeye tuš¤
Dangote hapangi soko la mafuta bali ni soko la dunia!Masharti ya DANGOTE yanainyima nchi fursa ya kuwa na soko huria la mafuta.
Huyo beberu mweusi anataka auze yeye tuš¤
Ndo ivyo hatumtaki beberu mweusi.Dangote hapangi soko la mafuta bali ni soko la dunia!
Kwa hiyo mnamtaka beberu mwarabu?Ndo ivyo hatumtaki beberu mweusi.
Watanzania wengi mnashida katika kufikiri.Sizitaki mbichi hizi. Kama ana hayo masharti alikubaliwa vipi kujenga kiwanda cha cement hapa nchini?
Thamani na Ukubwa wa Mradi
⢠Mradi wetu: Mradi wa Tanga Regional Energy Hub baina ya TPDC, UNOC, na Vitol una thamani ya takribani Dola bilioni 20 (zaidi ya Shilingi trilioni 56).
⢠Mradi wa Dangote: Mradi wake wa kule Lamu, Kenya unakadiriwa kugharimu kati ya Dola bilioni 16 hadi bilioni 17. Kiuchumi na kiundombinu, Tanga inakwenda kuwa mradi mkubwa zaidi wa nishati jumuishi (integrated energy project) katika kanda hii.
Kiwanda cha mafuta nimekuambia hakiwezekani ni utapeli wa wazi. Hizo za cement nimekazia kwa mfano halisi.Watanzania wengi mnashida katika kufikiri.
Sijajua tatizo hasa ni nini ila ningependa kuomba wizara ya afya ifatilie kwa karibu huwendi watoto wengi wanaozaliwa hawalii kwa wakati.
This is absurd, mada inasema kiwanda cha mafuta wewe unaleta stori za jaba hapa.Vipi unaingiza stori za sementi vinahusiana vipiš¤š¤š¤
Una haki ya kuutilia shaka mradi wa Tanga kwa sababu bado upo kwenye hatua ya upembuzi yakinifu wa kiufundi, wakati Kenya wameshaanza kumwaga zege. Sio utapeli, lakini ni kweli kuwa Kenya wametuwahi hatua za mwanzo za ujenzi. Sisi bado tunacheza kwenye makaratasi ya michoro na tafiti za udongo.Huu mradi ni utapeli wa mchana kweupe. Mradi serous ni huo wa Dangote hapo Kenya maana umeshaanza. Huu wa kwenye unaanza lini? Ule wa LNG wa miaka na miaka ni story tupu.
Sio kwenye refinery tu, hata kwenye mradi wa LNG ambao ni WA muda mrefu Bado mko kwenye porojo za michoro na tafiti. Inshort nyie ni wababaishaji.Una haki ya kuutilia shaka mradi wa Tanga kwa sababu bado upo kwenye hatua ya upembuzi yakinifu wa kiufundi, wakati Kenya wameshaanza kumwaga zege. Sio utapeli, lakini ni kweli kuwa Kenya wametuwahi hatua za mwanzo za ujenzi. Sisi bado tunacheza kwenye makaratasi ya michoro na tafiti za udongo.
Vipi bei ya saruji kwa nini iko juu?Wacha wauchukue huo mradi.
Masharti ya Dangote ni ya kibeberu.
šFatilia bei ya mafuta Naijeria ndo utaelewa Kenya kimemlamba.
Ruto analaumiwa bure, wa kulaumiwa ni viongozi wenu wasiokuwa na maono, mmekosa hata bunge lenye akili ! Museveni pamoja na uzee wake wote huo bado amewazidi akili. Nyie endeleeni na siasa zenu tu za k8shenzi za kuwindana na kutafuta vyeo kupitia uchawa.Ninawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu?
Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu ulipotangazwa kwa mara ya kwanza kuwa utatekelezwa Tanga, ni kama kulikuwa na consensus baina ya Tanzania, Kenya na Uganda.
Mabadiliko yaliyofanywa na mwekezaji, Dangote pamoja na Rais Ruto kupeleka mradi Lamu, yameibua mgawanyiko wa dhahiri; Uganda wamesema wao wataendelea na mradi wao wa refinery yao wakati huo watashirikiana na Tanzania kwenye mradi wa Tanga. Wanachama wengine wa EAC kama Rwanda wao wameshathibitisha kushiriki uwekezaji wa Dangote.
Swali linabaki, kama sisi tu watanzania wakawaida tumenuna kwa Rais Ruto kutupiga chenga ya mwili kuchepusha mradi huu kutoka Tanga kwenda Lamu, vipi kwa Rais wetu? Ingawa kidoplomasia tunapeana mikono, kwa jambo kubwa kama hili lenye maslahi makubwa ya nchi, ni wazi litaleta hisia hasi haswa katika ustawi wa mashirikiano yetu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Huu mradi wa LNG kama hautaanza wakati huu wa Trump, ndio hivyo tena tusahau. Democrats wakiingia tu 2028 watabadili plans zote za kufavor FF (fossil fuels).Sio kwenye refinery tu, hata kwenye mradi wa LNG ambao ni WA muda mrefu Bado mko kwenye porojo za michoro na tafiti. Inshort nyie ni wababaishaji.
Boss naona big boys wanataka kuupa huu mradi lifeline, hapa sasa ni wenye maamuzi wafanye kweli isiwe kama Dangoteš.Sio kwenye refinery tu, hata kwenye mradi wa LNG ambao ni WA muda mrefu Bado mko kwenye porojo za michoro na tafiti. Inshort nyie ni wababaishaji.
Ni dhahiri sisi Tz tulileta vikwazo vungi kwa muwekezaji,maisha ni kukimbilia fursa na kwenda na wakati, Kenya alilegeza uzi bila shaka.Ninawaza kwa sauti, hivi ni kweli kabisa Rais Samia atakuwa hajamnunia Rais Ruto kwa kuchepusha uwekezaji wa refinery kutoka Tanga kwenda Lamu?
Nasema hivi kwakuwa mazingira ya namna mradi huu ulipotangazwa kwa mara ya kwanza kuwa utatekelezwa Tanga, ni kama kulikuwa na consensus baina ya Tanzania, Kenya na Uganda.
Mabadiliko yaliyofanywa na mwekezaji, Dangote pamoja na Rais Ruto kupeleka mradi Lamu, yameibua mgawanyiko wa dhahiri; Uganda wamesema wao wataendelea na mradi wao wa refinery yao wakati huo watashirikiana na Tanzania kwenye mradi wa Tanga. Wanachama wengine wa EAC kama Rwanda wao wameshathibitisha kushiriki uwekezaji wa Dangote.
Swali linabaki, kama sisi tu watanzania wakawaida tumenuna kwa Rais Ruto kutupiga chenga ya mwili kuchepusha mradi huu kutoka Tanga kwenda Lamu, vipi kwa Rais wetu? Ingawa kidoplomasia tunapeana mikono, kwa jambo kubwa kama hili lenye maslahi makubwa ya nchi, ni wazi litaleta hisia hasi haswa katika ustawi wa mashirikiano yetu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Lazima. Hustler anamapungufu yake lakini amegundua wawekezaji wanataka incentives lazima ushindane na nchi zingine wanalinganisha nani anatoa incentive kibao, ni kama tu kwa Trump Amazon walivyotaka HQ mpya, States karibu zote walikuwa wanagombania mwisho wa siku Virginia wakashinda.Ni dhahiri sisi Tz tulileta vikwazo vungi kwa muwekezaji,maisha ni kukimbilia fursa na kwenda na wakati, Kenya alilegeza uzi bila shaka.
Sijui mama Wanu alifeli wapiLazima. Hustler anamapungufu yake lakini amegundua wawekezaji wanataka incentives lazima ushindane na nchi zingine wanalinganisha nani anatoa incentive kibao, ni kama tu kwa Trump Amazon walivyotaka HQ mpya, States karibu zote walikuwa wanagombania mwisho wa siku Virginia wakashinda.
Nina uhakika ni watu wanaomzunguka waliona USD 17B wakapita 10% wakajua tayari wana trillions kadhaa za madafušSijui mama Wanu alifeli wapi