Marais wanne wa A. Mashariki wanakutana Kigali, Rwanda

Marais wanne wa A. Mashariki wanakutana Kigali, Rwanda

Japo kuwa mwanachama wa EAC kunakuwezesha kushirikiana na mwanachama wengine kwenye mambo Kama kutomeza ujambazi,kubadilisha taarifa.Nafikiri Tanzania tusiwe na haraka katika kukimbilia kila jambo linaloamuliwa.Ndomaana hadi Leo UK imekataa kujiunga na umoja wa sarafu ya EU japo ni mwanachama
 
Kama hukuelewa gist ya nilichoandika sitakuelezea, am not the type to squeeze a dead wood.
Sijapendekeza KENYA wasaini mkataba na Tanzania, wameshafanya hivyo tayari, na sio mimi wala wewe tulipendekeza hilo. NJAA imewasukuma wafanye hivyo,waziri wao ameona kusaini mkataba na mchi yenye surplus ni njia nuzri ya kuzuia mfumuko wa bei unaotokana na uhaba huko kwao.Nimefafanua kuwa mkataba unaohusu chakula kati ya nchi mbili zisizo na food security ni symbolic at best. hakuna tofauti na TZ kusaini mkataba wa kuuziana zana za kivita na burundi wakati sie wenyewe tunanunua china na russia.UNAELEWA?

Kununua kitu chochote kwa nchi yoyote duniani sio hela yako tu, lazima kuwe na makubaliano ya msingi,Biahsara kati ya nchi na nchi si sawa na wewe kununua blueband kariakoo,kama huelewi hili jifunze, au omba ufundishwe. kama unabisha nenda marekani uwaambie nataka kununua B51,uone kama Hagel atakuruhusu.

China pamoja na kutengeneza kila kitu raisi wao alikuwa korea kuhimiza trade pact na South Korea.Biashara ya Kimataifa sio rahisi hivyo.

Back to your first wrong statement, sio kila nchi ina uhuru wa kusaini mkataba na kila nchi, uhuru mwengine ni implied. Hujui kuwa NK hairuhusiwi kusaini mikataba mingi tu na nchi nyingi tu duniani?unafahamu maaan aya trade embargo?

Hivi rais anapohimiza watu walime vyakula vya kutosha ili vingine viuzwe nje tupate kipato unajua maana yake wewe?!! Watu wanatoa hela zao wewe unaita msaada una akili wewe? Serikali ilipofunga mipaka vyakula visiuzwe nje unajifanya hukusikia wakulima walivyokuwa wanailaani serikali yao. Mkulima analima kwa mahitaji ya chakula na biashara sasa wewe ukifanya biashara unaita umetoa msaada akili imo kichwani wewe? Nasisitiza kila nchi ina uhuru wa kusaini makubaliano na nchi yoyote kisheria na ndo maana sisi tulisaini makubaliano ya siri na china bora hata wao mambo yao yako wazi. Hiyo kununua B51 nikiwa na wala yangu nikakubalia na marekani nani anaweza kuchonga kama unavyofanya wewe kwa cow au kwa tz na kenya hadi unaita msaada?! Mbona hela yetu ilinunua ladar hadi tukapunjwa na serikali ya uingereza ikatusaidia kurudishiwa chenji, kwa akili yako mkataba wa kununua ladar tulisaini serikali ya uingereza eti! Tufanye yetu wafanye yao.
 
Wasio'shoboka' ni selfish leaders tu wa CoW...kaulize wafanya biashara Kenya kama hawana 'shida' na Tz....

Kila mtu ana shida na mwenzie ndo maana crdb iko kigali, bakhresa yupo rwanda, rwandair inatua tz, kcb iko tanzania, nk
Jifunze kuona na umuhimu wa mwenzio kwako, epuka kujifanya wewe ndo kila kitu wakati si kweli
 
Japo kuwa mwanachama wa EAC kunakuwezesha kushirikiana na mwanachama wengine kwenye mambo Kama kutomeza ujambazi,kubadilisha taarifa.Nafikiri Tanzania tusiwe na haraka katika kukimbilia kila jambo linaloamuliwa.Ndomaana hadi Leo UK imekataa kujiunga na umoja wa sarafu ya EU japo ni mwanachama

Umeongea kiutu uzima
 
Kama hukuelewa gist ya nilichoandika sitakuelezea, am not the type to squeeze a dead wood.
Sijapendekeza KENYA wasaini mkataba na Tanzania, wameshafanya hivyo tayari, na sio mimi wala wewe tulipendekeza hilo. NJAA imewasukuma wafanye hivyo,waziri wao ameona kusaini mkataba na mchi yenye surplus ni njia nuzri ya kuzuia mfumuko wa bei unaotokana na uhaba huko kwao.Nimefafanua kuwa mkataba unaohusu chakula kati ya nchi mbili zisizo na food security ni symbolic at best. hakuna tofauti na TZ kusaini mkataba wa kuuziana zana za kivita na burundi wakati sie wenyewe tunanunua china na russia.UNAELEWA?

Kununua kitu chochote kwa nchi yoyote duniani sio hela yako tu, lazima kuwe na makubaliano ya msingi,Biahsara kati ya nchi na nchi si sawa na wewe kununua blueband kariakoo,kama huelewi hili jifunze, au omba ufundishwe. kama unabisha nenda marekani uwaambie nataka kununua B51,uone kama Hagel atakuruhusu.

China pamoja na kutengeneza kila kitu raisi wao alikuwa korea kuhimiza trade pact na South Korea.Biashara ya Kimataifa sio rahisi hivyo.

Back to your first wrong statement, sio kila nchi ina uhuru wa kusaini mkataba na kila nchi, uhuru mwengine ni implied. Hujui kuwa NK hairuhusiwi kusaini mikataba mingi tu na nchi nyingi tu duniani?unafahamu maaan aya trade embargo?

Bwana Kimweri,
Inaoekana uelewa wako kiuchumi ni mdogo,kenya wanachokifanya nikutaka kudhibiti bei ya mahindi lakini sio njaa,na nafikiri unaelewa kitu kinaitwa mubadala,nikusema wakenya hawawezi kufa kwanjaa kwa sababu ya kukosa mahindi kwani wanaweza kuishi kwa mchele hata wa pakistani,na sio tanzania tu kwenye mahindi na unachotakiwa ni kushukuru kenya kuamua kununua mahindi ya majirani sio kuyatafuta kwingine,hii ndio ujirani mwema wa kimaendeleo,haiwezikani kwenda sahemu nyingine wakati watanzania wanamahindi na wanahitaji pesa.
 
Here we go again!!! Kumbe Wanyarwanda kug'ang'ania kwenu kwote kutaka kuingia EAC by hooks and crooks wakati nyinyi kijografia ni watu wa Central Africa - lengo lenu kuu ni kujaribu kufanya njama na mbinu za kuchonganisha wana Africa Mashariki wa kweli!! Mnasukumwa na a blind hatred ya Taifa letu kutokana na msimamo wetu na washiriki wenzetu wapenda amani kuwazuhia wakina PK na like mind wenzake ku-plunder rasilimali za Wacongomani, mligehuza DRC shamba la BIBI kwa muda mrefu.

Kila binadamu mwenye akili timamu anawajua vizuri mlivyo kubuhu kwenye nyanja za majungu, uchonganishi na propaganda za vijiweni - emulating Hitler's Minister of propaganda one "Paul Joseph Goebbels" - Always trying to be bigger than your HEADS, kujifanya mna PANADOL za kutibu matatizo yote katika kanda yetu ya Africa Mashariki!!

Tangu mkaribishwe kuingia EAC mmechangia nini cha maana zaidi ya kuleta TURMOIL na kutaka makao makuu ya EA yahamie Nairobi!! Mnantoa mapendekezo lukuki yasiyo na mantiki yoyote, kila kitu mnataka kiwe fast tracked ili members wasipate muda wa ku-digest hidden agenda zenu za kuhabudu vita - Ukabila wenu na majivuno ya kitoto na vices zenu zote mnataka zihamie kwenye kanda yetu ya Africa Mashariki ili watu wasielewane.

Tell you what? Hamtafanikiwa na crusade zenu, Tanzania is too large a Country, si rahisi wana Africa Mashariki wa kweli na Viongozi wao ku-ignore Taifa letu, wakati wakijua fika kwamba they gotta lot to gain wakishirikiana na Tanzania than a Lilliputian Rwanda.
Watanzania hamjiamini ndio sababu mnaipinga rwanda hata kwa mazuri yake,sasa nikuulize nilini mikataba ya EAC ilikua implemented kama ilivyo sasahivi? na jiulize kwanini sasa hivi EAC inapigwa na mataifa ya ulaya na amerika,jiulize wanaogopa nini?ndugu yangu ukiona wazungu na watu wengine wakitamani kuona EAC inakufa ujue wameishaona kwamba itakua tishio kwao mbeleni kiuchumi na kiulinzi,sasa wewe kalia majungu wao wameisha ona mbele na wameona faida iliyomo katika ushirikiano.
 
We jamaa pumbafu sana Tanzania ingekuwa inashilikiana na FDLR Rwanda isingesalia kabisa ingesha sambaratishwa sikunyingi...JK alikuwa anawashauri tu SOLUTION ya kustop vita sio kupigana bali diplomasia ni njia sahihi kabisa sasa kama ushauri mliopewa mnahisi TZ inashirikiana na FDLR umenoa braza....huyo babu yenu Kagame hana jipya bali amekasirika baada ya kuona mradi wake wa M23 umefilisiwa TZ....

Kwanini watu hamjiheshimu?unaweza tukana tu bila aibu,hii ni kukosa maadili na uungwana,naona wewe unaongea kutaka kumtetea jk lakini hakuna utakacho badili hii ni fact na niaibu kwa tanzania.
 
Kunawakati najiuliza jinsi baadhi ya watanzania wanavyofikiria kuhusu rwanda nashindwa kuwaelewa kabisa,kumbuka rwanda palitokea mauaji makubwa ya kimbali na watu wengi walikufa,sasa rwanda haitaki kitu hicho kurudia tena,sasa hao wa[pinzani unao wasema ni watu waliotaka kukamata madaraka kupitia mapinduzi sio uchaguzi,niambie kama mapinduzi yangefanyika kungetokea nini? kumbuka rwanda bado haijapona majeraha ya vita bado inajijenga,na kingine nataka kuwauliza watanzania hivi pakitokea mtu au watu wanaotaka kuipindua serikali ya tanzania kwa kutumia mtutu mnategemea watahurumiwa? tanzania just watu wanao ikosoa serikali kwa kalamu na mdomo wanauwa na kutolewa kucha sembuse anayetumia mtutu? please muache kupinga just kupinga bila kufikiria.
 
Malizaneni kwanza na maadui wenu ndo mje muongee na smart country yenye mshikamano kama TZ. Sisi tumesimamia uhuru wa nchi nyingi hapa Africa. Huwezi kutuburuza buruza na mipango yenu ambayo ni temporary. Siku kikinuka mnakimbilia porini tena. Wadanganyeni hao akina kenyata. By the way Baba yake ndo alikuwa mwanasiasa. Yeye ni mfanyabiashara. Kama ni siasa ndo anajifunza sasa.........
ahahahhaa Sio tanzania ya sasa hayo yote yalikua wakati wa nyerere,hivi ni tanzania ya wezi na rushwa ndio sababu si ajabu watu kula pesa za interahamwe na kuwa support bila kujali aibu wanayojitia,ushauri nao kupatia ni kwamba mwenye matatizo sio kumtenga bali ni kumsogelea na kumsaidia,kumtenga hakutabadilisha chochote,utaniambia eti jk alitoa ushauri,lakini ukweli nikwamba ushauri wake ulikua wa kinafiki kwani alikua akitoa ushauri wakati akitoa support kwa FDLR,hiyo amani unayoisema ni kwamba wengi wamesinzia na wachache wako macho hiyo ndio anmani ya tanzania sasa siku wakiamuka ndio utajua ukweli wa amani ya tanzania.
 
Hatuna wivu tuna hasira na upuuzi wenu. Last time i check maiti zilikuwa za watutsi na wahutu zilikuwa zinatiririka pale Ngara, mpakani na Tanzania na ni hii nchi ndio ilibeba mizigo ya nyie wakimbizi na sio hao Kenya au Uganda. Kwa hiyo kuwa adabu ukiongea na sisi kwa sababu kwa style ya KP anatengenza another genocide i hope mtakumbuka dharau zenu na hamtakimbilia mipakani kwetu cause tukiwambia msuluhishe na wahutu wenzenu mnaanza kuleta jeuri. Endeleni kuwakandamiza hao majority wenu na utaniambia tu in near future kama ushauri wa JK haukuwa wa maana. Ukabila sio dili, acheni mentality za misituni.
Unaweza niambia hao unaowaita majority wanakandamizwaje?kwa sasa ID za rwanda hakuna muhutu ,mtusi au mtwa kama ilivyo kua zamani,wanyarwanda wote wanahaki sawa ya kusoma,wanahaki sawa ya matibabu,wanahaki sawa ya kazi,wanahakisawa katika siasa,tofauti na zamani sasa huko kukandamizwa kuko wapi? please punguzeni ushabiki wa interahamwe na chuki dhidi ya watusi,nachokuambia sasa hivi rwanda ni ya wanyarwanda wote tofauti na rwanda ya zamani.
 
watutsi na wahutu wanajuana, tena nyinyi english speakers mliokuja na kagame ndio mna-standout kabisa.
 
ahahahhaa Sio tanzania ya sasa hayo yote yalikua wakati wa nyerere,hivi ni tanzania ya wezi na rushwa ndio sababu si ajabu watu kula pesa za interahamwe na kuwa support bila kujali aibu wanayojitia,ushauri nao kupatia ni kwamba mwenye matatizo sio kumtenga bali ni kumsogelea na kumsaidia,kumtenga hakutabadilisha chochote,utaniambia eti jk alitoa ushauri,lakini ukweli nikwamba ushauri wake ulikua wa kinafiki kwani alikua akitoa ushauri wakati akitoa support kwa FDLR,hiyo amani unayoisema ni kwamba wengi wamesinzia na wachache wako macho hiyo ndio anmani ya tanzania sasa siku wakiamuka ndio utajua ukweli wa amani ya tanzania.

Kagame anawapa vyeo FDLR seniors serikalini kwake (ref: Rwakarabije etc), wale fighters wadogo wanapewa lands and money, JK kashauri mazungumzo anatishiwa kupigwa, unaelezeaje huu undumilakuwili? is FDLR a group of killers or an opposition party?
 
A group of killers
 
Hahahaha. Don't make me laugh.
 
kama tanzania ingechukua maoni ya watu wa kagera na kigoma kuhusu kuruhusu nchi ya rwanda na burundi kujiunga na eac haya yote yasingetokea kwan taft znaonesha wananch wa mikoa hyo walpnga vikal kwan wanawajua vizur,wakimbiz hao
 
Ahaa Mukamasimba hebu tuseme kweli hivi tuone wivu kwa lipi Kagame yuko bize na kukandamiza wahutu, Mseveni ndio hofu tupu mpaka amerukia ajenda ya mashoga ili apate sapoti ya watu wa dini, Uhuru na stress za The Hague. Sie tumesubstitute business partner kutoka Rwanda kuimarisha Congo. Hivi sie tuwaonee wivu kwa maana ipi maana kwanza ni sie ndio hatutaki hamjatukataza nyie. Hatutaki kutumiwa kienyeji kwa maslahi ya madikteta mara sijui Defence protocol, Fast track Federation sisi hatutaki kugeuzwa ngao ya kagame.

Wewe umenena vyema. Alichofanya kikwete ni kuangalia fursa. Congo kuna fursa zaidi kwa Tanzania kukuza uchumi kuliko Rwanda. Me nafikiri ni good move kwa President Kikwete. Ukitaka kupata mali shirikiana na wenye mali. Ushirikiano na Rwanda wa nini zaidi ya kuiingiza nchi na wananchi wake matatizoni.
 
Kagame anawapa vyeo FDLR seniors serikalini kwake (ref: Rwakarabije etc), wale fighters wadogo wanapewa lands and money, JK kashauri mazungumzo anatishiwa kupigwa, unaelezeaje huu undumilakuwili? is FDLR a group of killers or an opposition party?
Bwana Jmali,
Hata ukiambiwa ukweli huwezi elewa,hawa waliopewa vyeo na pesa ni wale walioachana na ideology ya mauaji ya kimbali na system ya kuwarejesha na kutoa msamaha kwa FDLR ilianza zamani hata kable kikwete kufikiria kwamba kuna FDLR duniani,lakini baadaye kuna watu wengi wa magharibi na baadhi ya vibaraka wao kwa sababu za kutompenda pk walifanya juhudi za kukwamisha hilo zoezi na kuwapatia silaha na kuwazuia kurejea kwao kwa matumaini ya kuwatumia kuundoa utawala wa pk,sasa haya yote ya ushauri ni unafiki tu,rwanda hajaomba msaada wowote kuhusu amani yake na rwanda kuna amani kuzidi hata tanzania.
 
kama tanzania ingechukua maoni ya watu wa kagera na kigoma kuhusu kuruhusu nchi ya rwanda na burundi kujiunga na eac haya yote yasingetokea kwan taft znaonesha wananch wa mikoa hyo walpnga vikal kwan wanawajua vizur,wakimbiz hao
Wewe ndio uko usingizini,DRC na EAC vinahusiana vipi? kwani rwanda kutokua EA kungewezaje kuizuia rwanda kuingia kongo wakati wote ikihitaji? kweli watu wenye fikira fupi hawakosi sababu.
 
watutsi na wahutu wanajuana, tena nyinyi english speakers mliokuja na kagame ndio mna-standout kabisa.
Jmali, wewe unatatizo la kuchukia watusi tu,nimekueleza haki walionayo wahutu sasa nchini rwanda ni sawa na haki waliokuanaya watusi wakati wa serikali yenu ya habyarimana?
 
hao watu wa magharibi na vibaraka wao kwanini hawampendi PK, kuna interest yoyote wanaitaka from rwanda? as far as i know nchi yenu hakuna oil hakuna madini hata gesi hakuna, sidhani kama watamchukia tu bila sababu.
Kama kazi anapiga vizuri sana tunaona, sasa sababu ni ipi ya watu kumuandama tu, it seems kuna tatizo analifanya watu wanashindwa livumilia.
Me naona presdaa wenu ndio ana shida.
 
Back
Top Bottom