wrong! hapo ndipo unapothibitisha kuwa Rwanda ni dictatorship. Institution gani au nguvu za kuamua nani ashitakiwe na nani asishtakiwe anazo nani? Judiciary? Bunge? au kagame personally? Kagame anaamua vipi yeye kuwapa baadhi ya FDLR vyeo halafu hapo hapo aseme wale ambao ameshindwa kuwanunua kutokana na misimamo yao ni wauaji wasiostahili hata kusikilizwa hoja zao?
Reconciliation kwa juu juu kila mtu anaona ni kitu kizuri. Lakini reconciliation gani hiyo inayotaka wahutu waombe msamaha forever, kwa makosa ya wahutu wachache wa interahamwe, tena waliokuwa wakiongozwa na mtutsi Robert kajuga ndani ya siku 100, lakini reconciliation hiyo ikatae kata kata uhalifu wa kagame/RPA from 1990 to 1994? 1994, 1998, 2000 kuwaua wahutu ndani ya Rwanda na Congo DRC? Hiyo unadhani ni reconciliation au upuuzi? wahutu wote walioko Rwanda hawawezi kusema haya niliyoandika kwa sababu no doubt watauawa au wataishia gerezani. FDLR wakiwa DRC congo wako huru kusema haya, ndio maana Kagame hataki wawe DRC, anataka wawe Rwanda ambapo anaweza kuwamonitor anavyotaka na kubana uhuru wao wa kusema (refer: divisionism laws, revisionism, negative ideology blah blah).
Najua unashabikia tu kwa sababu probably wewe ni mtutsi wa nje ya Rwanda, but let me tell you, watutsi ninaoongea nao nikiwa Rwanda wanaogopa sana mtazamo wa kagame towards wahutu kuwa utakuja kuwaadhibu wao one day. Watu kama nyinyi make it hard kwa watutsi wote dunia nzima. Angalia tu hata hapa JF mitazamo yenu ilivyoleta negative image kwa watutsi wote kwa ujumla.
the so called reconciliation is one sided, everyone can see that. Wewe haukuwapo Rwanda 94, watutsi waliokuwapo akina kizito mihigo na kupoteza everything including wazazi, wanajua what happened, na sasa kagame kawafunga kwa kuimba ukweli kuwa RPF waliua kama vile interahamwe, wewe mtutsi english speaker uliyekulia bongo ndio unajifanya unajua?
Kutokana na hii mistreatment, mhutu aliyezaliwa leo si anaweza hata kuona maybe interahamwe were right?