Marais wanne wa A. Mashariki wanakutana Kigali, Rwanda

Marais wanne wa A. Mashariki wanakutana Kigali, Rwanda

Hivi rais anapohimiza watu walime vyakula vya kutosha ili vingine viuzwe nje tupate kipato unajua maana yake wewe?!! Watu wanatoa hela zao wewe unaita msaada una akili wewe? Serikali ilipofunga mipaka vyakula visiuzwe nje unajifanya hukusikia wakulima walivyokuwa wanailaani serikali yao. Mkulima analima kwa mahitaji ya chakula na biashara sasa wewe ukifanya biashara unaita umetoa msaada akili imo kichwani wewe? Nasisitiza kila nchi ina uhuru wa kusaini makubaliano na nchi yoyote kisheria na ndo maana sisi tulisaini makubaliano ya siri na china bora hata wao mambo yao yako wazi. Hiyo kununua B51 nikiwa na wala yangu nikakubalia na marekani nani anaweza kuchonga kama unavyofanya wewe kwa cow au kwa tz na kenya hadi unaita msaada?! Mbona hela yetu ilinunua ladar hadi tukapunjwa na serikali ya uingereza ikatusaidia kurudishiwa chenji, kwa akili yako mkataba wa kununua ladar tulisaini serikali ya uingereza eti! Tufanye yetu wafanye yao.

samahani, inaonekana unajadili vitu vilivyokuzidi uwezo wa kuvielewa.Sheria za kimataifa zinazuia mahusiano na baadhi ya nchi,sheria za WTO zinazuia nchi zisizo wanachama kusaini makubaliano na wanachama, hujui kuwa hakuna aliyekuwa na ananunua bidhaa P.R.C kabla ya 71?hujui nguvu iliyotumia P.RC kuingia WTO?inawezekana umri wako hauruhusu kujadili hili, ila ni mfano mzuri wa ulichokiandika.na unaonesha ni jinsi gani uko WRONG.

dunia sio bush league, kila mtu anafanya atakavyo.kuna viranja wake,unafanya vile viranja wanashauri.ukileta ubishi wanakutenga.cue NK.

Kwani "misaada" ya uchina hamuilipi kama nchi?unafahamu tofauti ya loan na grants?hiyo mikataba 19 zaidi ya 15 ni loans,italipwa na waliopewa misaada hiyo.

Kuuza nafaka nje ya nchi sio right ya wakenya, ni priviliedge ambayo imekuwa awarded kwao,priviledge hii inaweza kuondolewa muda wowote, na ndio sababu ya kusaini mkataba kulinda "priviledge" hiyo.Chakula walichouziwa Kenya kimetoka National Reserve.Ni mali ya Taifa. Unafahamu utaratibu wa voucher unavyofanya kazi?kwa hiyo wewe ukajua kuwa sasa kuna mkenya atakuja na pesa kashika mkononi kununua mahindi pale iringa au rukwa?how old are u?

kwa uwezo wako wa kufikiri,unaamini kuwa upungufu wa Mahindi unatatuliwa na Mchele?kama vile upungufu wa maji unavyotatuliwa na Juice?kwa kuwa vyote ni vimiminika?ndugu,hauko sahihi.

Kenya wamefanya kilicho ndani ya uwezo wao,na hicho ni kununua mahindi Tanzania,vilivyobaki ni hypotheticals,kama vile ukileta hypotheticals za -kama bongo ingekuwa kama NY-
 
Bwana Kimweri,
Inaoekana uelewa wako kiuchumi ni mdogo,kenya wanachokifanya nikutaka kudhibiti bei ya mahindi lakini sio njaa,na nafikiri unaelewa kitu kinaitwa mubadala,nikusema wakenya hawawezi kufa kwanjaa kwa sababu ya kukosa mahindi kwani wanaweza kuishi kwa mchele hata wa pakistani,na sio tanzania tu kwenye mahindi na unachotakiwa ni kushukuru kenya kuamua kununua mahindi ya majirani sio kuyatafuta kwingine,hii ndio ujirani mwema wa kimaendeleo,haiwezikani kwenda sahemu nyingine wakati watanzania wanamahindi na wanahitaji pesa.

Mimi sio mchumi, sitegemei kuwa na uelewa mkubwa wa uchumi, ninachokifanya kwa miaka zaidi ya 25 bado siwezi jiita ni na uelewa mkubwa wa hicho kitu,ndio maana najifunza zaidi kila siku.nimefurahi kukutana na wewe mwenye uelewa mkubwa, si vibaya ukatoa mafundisho-muhimu tu yawe sahihi na sio hisia zako.

nikirudi kwenye mada,kilichotokea ni Kenya Ku-preempt NJAA,kwani wakati wa njaa haimaanishi hakuna chakula kabisa, bali kinakuwepo kwa bei aghali kushinda bei ambayo mtu wa chini anaweza kununua.Mwenye pesa hata Kenya nzima wasipolima miaka kumi anaweza ishi kwa kula vyakula imported.lakini sio maskini mkulima wa huko lamu au naivasha.

Hoja yangu haikua kupinga uuzwaji wa mahindi kenya, bali kuwaonesha watu kuwa, wale watanzania mnaowaita wavivu, ndio hao wanalima hadi vinabaki vya kuwauzia majjirani zake. MKIKUTANA kutwa kucha kutuita wavivu,wakati national reserve tuna tani milioni 58.kenya tani milioni 2 tu tatizo hadi wazifuate TZ. sasa hapa mvivu nani?

naamini moja ya sababu ya kutokuwepo umoja endelevu wa EA ni kukosekana adabu kwa mataifa mengine towards TZ, mnatuita slow, mnatuita wavivu, majanga yakija mnataka msaada wetu.sasa kama sio utaahira ni nini?COW wanaamini watasonga mbele bila TZ in vizuri wakafanya hivyo bila kuendelea kui-bad mouth Tanzania.
 
samahani, inaonekana unajadili vitu vilivyokuzidi uwezo wa kuvielewa.Sheria za kimataifa zinazuia mahusiano na baadhi ya nchi,sheria za WTO zinazuia nchi zisizo wanachama kusaini makubaliano na wanachama, hujui kuwa hakuna aliyekuwa na ananunua bidhaa P.R.C kabla ya 71?hujui nguvu iliyotumia P.RC kuingia WTO?inawezekana umri wako hauruhusu kujadili hili, ila ni mfano mzuri wa ulichokiandika.na unaonesha ni jinsi gani uko WRONG.

dunia sio bush league, kila mtu anafanya atakavyo.kuna viranja wake,unafanya vile viranja wanashauri.ukileta ubishi wanakutenga.cue NK.

Kwani "misaada" ya uchina hamuilipi kama nchi?unafahamu tofauti ya loan na grants?hiyo mikataba 19 zaidi ya 15 ni loans,italipwa na waliopewa misaada hiyo.

Kuuza nafaka nje ya nchi sio right ya wakenya, ni priviliedge ambayo imekuwa awarded kwao,priviledge hii inaweza kuondolewa muda wowote, na ndio sababu ya kusaini mkataba kulinda "priviledge" hiyo.Chakula walichouziwa Kenya kimetoka National Reserve.Ni mali ya Taifa. Unafahamu utaratibu wa voucher unavyofanya kazi?kwa hiyo wewe ukajua kuwa sasa kuna mkenya atakuja na pesa kashika mkononi kununua mahindi pale iringa au rukwa?how old are u?

kwa uwezo wako wa kufikiri,unaamini kuwa upungufu wa Mahindi unatatuliwa na Mchele?kama vile upungufu wa maji unavyotatuliwa na Juice?kwa kuwa vyote ni vimiminika?ndugu,hauko sahihi.

Kenya wamefanya kilicho ndani ya uwezo wao,na hicho ni kununua mahindi Tanzania,vilivyobaki ni hypotheticals,kama vile ukileta hypotheticals za -kama bongo ingekuwa kama NY-

Sasa naanza kupata wasiwasi na uelewa wako! Inaonekana unajua kusoma lakin kuelewa ni shida ndo maana una dharau lakin inaweza isiwe dharau bali uelewa wako mdogo. Katika coment yangu uliyoijibu ebu jaribu kuusoma huu mstari hata mara 10 ama 20 ili uelewe afu rudia kucoment

'Nasisitiza kila nchi ina uhuru wa kusaini makubaliano na nchi yoyote kisheria na ndo maana sisi tulisaini makubaliano ya siri na china bora hata wao mambo yao yako wazi.'

Sijaweka jf app kwa phone yangu ningekubadilishia rangi haka kaneno 'kisheria' ili nikusaidie zaidi make hata class wanafunzi wa aina yako huwa wapo.
Kinachotia matumaini sasa husemi msaada unasema walinunua, hongera kwa hilo.
 
its quite obvious you are immature.
i have better things to correspond to, most likely someone more patient will be able to come down to your level and help you , am no such type.
Adios
 
Kwanini watu hamjiheshimu?unaweza tukana tu bila aibu,hii ni kukosa maadili na uungwana,naona wewe unaongea kutaka kumtetea jk lakini hakuna utakacho badili hii ni fact na niaibu kwa tanzania.

Pumbavu sio tusi ni majina waitwao watu wanaopost ujinga kama nyie.....wewe kwa akili yako toka lini JK akishilikiana na waasi...wewe nonsense kabisa
 
Kunawakati najiuliza jinsi baadhi ya watanzania wanavyofikiria kuhusu rwanda nashindwa kuwaelewa kabisa,kumbuka rwanda palitokea mauaji makubwa ya kimbali na watu wengi walikufa,sasa rwanda haitaki kitu hicho kurudia tena,sasa hao wa[pinzani unao wasema ni watu waliotaka kukamata madaraka kupitia mapinduzi sio uchaguzi,niambie kama mapinduzi yangefanyika kungetokea nini? kumbuka rwanda bado haijapona majeraha ya vita bado inajijenga,na kingine nataka kuwauliza watanzania hivi pakitokea mtu au watu wanaotaka kuipindua serikali ya tanzania kwa kutumia mtutu mnategemea watahurumiwa? tanzania just watu wanao ikosoa serikali kwa kalamu na mdomo wanauwa na kutolewa kucha sembuse anayetumia mtutu? please muache kupinga just kupinga bila kufikiria.

Kwaiyo wataka kusema dawa ya moto ni moto sio??? So solution ni kupigana nao sio?
 
Thats exactly what we want. Hayo megine yoooote ni blah blah tu.

it won't change their stand though, bado wanaamini utawala wa paul kagame/rpf ni wa kidhalimu, hivyo watalobby international community for a dialogue, watarudi Rwanda, uchaguzi huru ukija.....
 
Bwana Jmali,
PK ni mtu muungwana sana kama angehitaji kuwafungulia mashitaka watu wote walioshiriki mauaji ya kimbali nafikiri 80% ya wanyarwanda wangekua gerazani,na hii ndio watu wengi walitamani ifanyike hivyo ili reconciliation ishindikane lakini pk aliliona hilo ndio maana watu walioua watu na kuomba msamaha wengi waliachiwa na kupokelewa kama raia wa rwanda na hata hao FDLR wameisha rudi wengi,nafikiri kama pk angekua muuaji nafikiri angeanzia kwa hao wauaji kwani alikua nahaki ya kulipiza kisasi lakini ilibidi achukue hatua ngumu kama hiyo ili wanyarwanda waweze kuishi pamoja,hao FDLR walio nje ambao hawajarudi ni mateka wa hao wafaransa wakisaidiwa na nchi jirani zisizoitakia rwanda amani wanao endekea kuwang'ang'ania ili kuvunja amani ya rwanda hilo linajulikana sana,sasa wewe usitake kudanganya watu hapa kwasababu ya chuki yako dhidi ya watusi.

wrong! hapo ndipo unapothibitisha kuwa Rwanda ni dictatorship. Institution gani au nguvu za kuamua nani ashitakiwe na nani asishtakiwe anazo nani? Judiciary? Bunge? au kagame personally? Kagame anaamua vipi yeye kuwapa baadhi ya FDLR vyeo halafu hapo hapo aseme wale ambao ameshindwa kuwanunua kutokana na misimamo yao ni wauaji wasiostahili hata kusikilizwa hoja zao?
Reconciliation kwa juu juu kila mtu anaona ni kitu kizuri. Lakini reconciliation gani hiyo inayotaka wahutu waombe msamaha forever, kwa makosa ya wahutu wachache wa interahamwe, tena waliokuwa wakiongozwa na mtutsi Robert kajuga ndani ya siku 100, lakini reconciliation hiyo ikatae kata kata uhalifu wa kagame/RPA from 1990 to 1994? 1994, 1998, 2000 kuwaua wahutu ndani ya Rwanda na Congo DRC? Hiyo unadhani ni reconciliation au upuuzi? wahutu wote walioko Rwanda hawawezi kusema haya niliyoandika kwa sababu no doubt watauawa au wataishia gerezani. FDLR wakiwa DRC congo wako huru kusema haya, ndio maana Kagame hataki wawe DRC, anataka wawe Rwanda ambapo anaweza kuwamonitor anavyotaka na kubana uhuru wao wa kusema (refer: divisionism laws, revisionism, negative ideology blah blah).
Najua unashabikia tu kwa sababu probably wewe ni mtutsi wa nje ya Rwanda, but let me tell you, watutsi ninaoongea nao nikiwa Rwanda wanaogopa sana mtazamo wa kagame towards wahutu kuwa utakuja kuwaadhibu wao one day. Watu kama nyinyi make it hard kwa watutsi wote dunia nzima. Angalia tu hata hapa JF mitazamo yenu ilivyoleta negative image kwa watutsi wote kwa ujumla.
the so called reconciliation is one sided, everyone can see that. Wewe haukuwapo Rwanda 94, watutsi waliokuwapo akina kizito mihigo na kupoteza everything including wazazi, wanajua what happened, na sasa kagame kawafunga kwa kuimba ukweli kuwa RPF waliua kama vile interahamwe, wewe mtutsi english speaker uliyekulia bongo ndio unajifanya unajua?
Kutokana na hii mistreatment, mhutu aliyezaliwa leo si anaweza hata kuona maybe interahamwe were right?
 
Nafikiri jibu unalo,kwanini wasingojee uchaguzi?

uchaguzi wa sasa:
1. vyama vya upinzani vyote vinalazimishwa kuungana na RPF kama vile CCM ilivyoungana na CUF.
2. Viongozi wa upinzani wanafungwa, wanauawa, wana-disappear kusikojulikana
3. kagame anashinda kwa 90%! jambo ambalo haliwezekani kwenye democracy yoyote popote pale.

wanachotaka wao ni uchaguzi wa huru na wa haki.
 
it won't change their stand though, bado wanaamini utawala wa paul kagame/rpf ni wa kidhalimu, hivyo wata lobby international community for a dialogue, watarudi Rwanda, uchaguzi huru ukija.....

its their right to do so. ila ukae unajua kuwa hao wauaji wamebaki 4,000 hawawezi kuwasemea wananchi zaidi ya milioni 10 wa rwanda.
 
shauri lenu!!
mnajifanya hamuoni tatizo dunia nzima inaliona
 
uchaguzi wa sasa:
1. vyama vya upinzani vyote vinalazimishwa kuungana na RPF kama vile CCM ilivyoungana na CUF.
2. Viongozi wa upinzani wanafungwa, wanauawa, wana-disappear kusikojulikana
3. kagame anashinda kwa 90%! jambo ambalo haliwezekani kwenye democracy yoyote popote pale.

wanachotaka wao ni uchaguzi wa huru na wa haki.
Mbona hayo yote hata tanzania yapo mbona sijasikia CHADEMA wakitaka kufika madarakani wakitumia mtutu? inabidi hata hao wapinzani wa rwanda wapitie njia zinazo kubalika,unajua tatizo lako unafikiri kiukabila eti kwanini pk anapata 90% wakati watusi ni 15%,ndugu yangu sikuhizi wanyarwanda wameugundua ukweli sikuhizi hawachagui kwa kigezo cha ukabila wanachagua mtu kutokana na atayowafanyia na kuwaendeleza.
 
its quite obvious you are immature.
i have better things to correspond to, most likely someone more patient will be able to come down to your level and help you , am no such type.
Adios

Uwezo wako wa kufikir uko chini sana, afu jifunze kuienzi lugha yako ya taifa hata kwa kuiongea na kuandika.
Pia una tatizo la kujivuna sana, kama ni mhays sio kosa lako lakin kama sio mhaya na ujinga wako.
 
Back
Top Bottom