Marais wanne wa A. Mashariki wanakutana Kigali, Rwanda

Marais wanne wa A. Mashariki wanakutana Kigali, Rwanda

Patrick Elias

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2011
Posts
332
Reaction score
108
Ni marais wa Kenya, Rwanda, Uganda na Sudani kusini. Wamesaini mkataba wa kubadilishana bidhaa za kilimo na ufugaji, maeneo ya kushirikiana yaongezeka toka 8 hadi 16, marais wasema hadi sasa hawajakutana na kikwazo chochote, mh Uhuru Kenyatta na Paul Kagame washuhudia mabadiliko na manufaa ya haraka yanayotokea, Ethiopia yashiriki kwa mara ya kwanza kama mtazamaji. Baadae watahudhuria sherehe za maadhimisho ya ukombozi wa Rwanda.
 
Huo mkutano si wa Afrika Mashariki, South Sudan bado haijawa Afrika Mashariki. Nchi za Afrika Mashariki hazizuiwi na jumuiya kushiriki mipango ya kimaendeleo na nchi nyingine zisizo Afrika Mashariki.
 
Ni marais wa Kenya, Rwanda, Uganda na Sudani kusini. Wamesaini mkataba wa kubadilishana bidhaa za kilimo na ufugaji, maeneo ya kushirikiana yaongezeka toka 8 hadi 16, marais wasema hadi sasa hawajakutana na kikwazo chochote, mh Uhuru kenyatta na Paul Kagame washuhudia mabadiliko na manufaa ya haraka yanayotokea, Ethiopia yashiriki kwa mara ya kwanza kama mtazamaji. Baadae watahudhuria sherehe za maadhimisho ya ukombozi wa rwanda.

Du! fulu umbea.
Sasa ukombozi wa rwanda ndo kitu gani? Kwani rwanda ilikuwa imetekwa?? hahahhaha!
Hakuna cha biashara wala nini, hapo chenga tu.
 
Huo mkutano si wa Afrika Mashariki, South Sudan bado haijawa Afrika Mashariki. Nchi za Afrika Mashariki hazizuiwi na jumuiya kushiriki mipango ya kimaendeleo na nchi nyingine zisizo Afrika Mashariki.

Tafautisha afrika mashariki na jumuiya ya afrika mashariki sawa
 
Tanzania na Ethiopia ziliwakilishwa ili kushuhudia, hivyo sielewi ugomvi unaoanza ku-load hapa ni wa nini. Wabongo mshatubariki sisi tusepe na tufanye yetu, sasa mbona chuki na matusi kila mara CoW tunapokutana.
 
Du! fulu umbea. Sasa ukombozi wa rwanda ndo kitu gani? Kwani rwanda ilikuwa imetekwa?? hahahhaha! Hakuna cha biashara wala nini, hapo chenga tu.

PK anajua sana kuwachezea akili viongozi wa Kiafrica wasio ona mbali, Rwanda iliachwa kutawaliwa na wakoloni kwenye miaka ya SITINI, na wakoloni waliondoka bila ya kupigana vita; sasa hii agenda ya kusherekea kukombolewa kwa RWANDA inatoka wapi? Yanarudi yale yale ya kupalilia UKABILA as far as PK and his lieutenants are concern tafsiri ya UKOMBOZI ni RWANDA kutawaliwa na a Minority (TUTSIS) basi!!! Makabila mengine yeye anawaona ni HAMNAZO, hii inaweza ku-set a very bad precedence.

Miafrica tulivyo wa ajabu! Si ajabu viongozi walio halikwa huko hawata-question suala hilo, kama mwenzangu anavyo sema hapo juu, hakuna cha biashara wala nini? - Hapo wanafanya michezo ya kuigiza kwa kurudia rudia kuchezea karata za genocide miaka nenda rudi kama njia ya ku-legitimize kikundi kidogo kuendelea kutawala majority miaka yote mpaka YESU arudi - kisa? Wenyewe ndio wana amini Mungu aliwapa haki miliki ya KUTAWALA wengine - nimesoma nao nawajua sana mindset zao zilivyo, ziko highly scewed kweli kweli and they can do anything to prove a POINT - labda niseme sio wote lakini wengi wao wako wired hivyo! Govt ya Rwanda inacho fanya ni ku-copy na ku-paste tactics za Wayahudi kuhusu HOLOCAUST, oh yes emulating JEWS tacticts to the letter ili wafanye wapendalo kwa binadamu wenzao bila ya kujali au kuogopa Dunia itasemaje.
 
Do you want to be begged to attend?
I hope you didn't take one too many past midday, Did U or Did U not? I trust veryly that you are fine from the neck UP - consequently you can't expect a MIGHTY TANZANIA to gate crash into a shotgun wedding.
 
Du! fulu umbea.
Sasa ukombozi wa rwanda ndo kitu gani? Kwani rwanda ilikuwa imetekwa?? hahahhaha!
Hakuna cha biashara wala nini, hapo chenga tu.

Hebu toka usingizini,Rwanda ilikua imekandamizwa nyanja zote,kwanza rwanda ya wakati huo walikua wakijiona kama ka mkoa ka ufaransa,palikua na ubaguzi wa kikabila,mtusi yeye hakuruhusiwa kupata kazi jeshini,serikalini kama kiongozi,shule ndio usiseme,hata wahutu wa maeneo mengine ya mashariki,kusini,magharibi hawakupewa haki sawa na wahutu wa kwao na habyarimana,katika miaka 30 kufikia 1994 rwanda ilikua na wasomi wa universty 2200 wakati sasa rwanda ina wasomi wa universty zaidi 70000 katika miaka 20 tu,kwa sasa wanyarwanda bila kujali kabila wote wanahaki sawa katika nyanja zote kinacho angaliwa ni uwezo sana sana katika mgawanyo wa kazi,ukombozi anayeujua kwa sana ni mnyarwanda wewe kama mtanzania huwezi tambua.
 
Dili za kubadilishana bidhaa za kilimo? kweli mna utani na biashara. Au dili la kuadhimisha ukombozi hewa wa Rwanda.
Hawezi kikwete kuhudhuria kijiwe cha watu wenye stress!

Watanzania niwatu wa wivu sana,mlifikiri kwamba bila tanzania hakuna EA sasa tangu kutengwa kwa tanzania mipango imeshika kasi kamavile hakuna kilichobadilika,na hii imeathiri sana mapato ya tanzania,sasa hii kelele yote ni hasira na wivu tu wakiswahili,mmekubali kutumiwa na wazungu kuuvunja muungano wa EAC lakini hawajamaa wamelijua hilo sasa endeleeni majungu mtashituka mnaburura mkia kimaendeleo.
 
@MUKAMASIMBA, Koborer, lawmaina78, Bukyanagandi, Kibona, Patrick Elias, bornagain,

..ama kwa hakika "ngoma ya watoto haikeshi."

..Tanzania inaitwa "mtakuja", kama unavyoona hapa chini.

..hawa wote wakizidiwa na njaa, wakianza kuuwana, wanakimbilia Tanzania.

..ona hapa chini.



KENYA IN DEAL WITH TANZANIA TO COOL RAISING MAIZE PRICES:

Kenya has inked a deal to buy 2.4 million bags of maize from Tanzania’s strategic reserves in an attempt to cool down runaway maize and flour prices.
Agriculture secretary Felix Koskei and his Tanzanian counterpart Christopher Chiza on Thursday signed a memorandum of understanding which allows traders to tap Tanzania’s National Food Reserve for maize destined for Kenya.

The traders will buy the commodity at Sh2,650 and Tanzania has committed to ferry the grains to Nairobi and Mombasa at Sh300 for every 90kg bag.

A biting maize shortage has raised the cost of a 90 kilogramme bag in Kenya to Sh3,200, up from Sh2,900 in April and Sh2,500 in October. This has seen the price of a two-kilogramme packet of flour rise by Sh12 since April to an average of Sh122.

Maize millers have been warning that Kenyans will continue to dig deeper into their pockets for the staple food until the harvest season in August.

Mr Koskei said the Tanzanian maize will land before Kenya’s harvest season as the country races to manage rising inflation and boost food security.

“The consignment that we will get from our neighbours will play a major role in bringing down the cost of flour that is currently beyond the reach of majority of Kenyans,” said Mr Koskei at a press briefing.

The price of flour milled at posho mills has also increased to Sh48.97 per kilogramme from Sh42.76 last year and Sh46.54 in May, according to the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS).

Frequent poor weather has hit Kenya’s farm-based economy hard and officials warn that the delayed rains may cut maize production by five million bags against the targeted 40 million this year.

Kenya’s strategic maize reserve held at the National Cereals and Produce Board (NCPB) has dropped to half of the optimum level of five million bags, underlining the food crisis facing the country.

Last month, NCPB said it was holding 2.5 million bags, adding that delayed settlement of Sh5.9 billion owed to it by the government had made it difficult to buy maize from farmers this year.

Currently, millers are relying on maize stocks from Uganda. They claimed that some farmers were hoarding the grain in anticipation of higher prices in the coming months.

Diamond Lalji, the chairman of Cereals Millers Association which comprises nearly 30 major millers in Kenya, welcomed the deal which was initiated on June 5.

“This move will go a long way in containing high prices of maize in the country, hence reduce the cost of flour,” said Mr Lalji. Unlike Kenya, Tanzania posted a bumper harvest this year.

“Tanzania harvested 5.3 million tonnes (58 million bags) of maize this year, hence registering a huge surplus. As a result, the government of Kenya requested that we sell them part of our stocks in order to curb the shortage,” said Mr Chiza.



SOURCE:
Kenya in deal with Tanzania to cool rising maize prices - News - www.theeastafrican.co.ke
 
Watanzania niwatu wa wivu sana,mlifikiri kwamba bila tanzania hakuna EA sasa tangu kutengwa kwa tanzania mipango imeshika kasi kamavile hakuna kilichobadilika,na hii imeathiri sana mapato ya tanzania,sasa hii kelele yote ni hasira na wivu tu wakiswahili,mmekubali kutumiwa na wazungu kuuvunja muungano wa EAC lakini hawajamaa wamelijua hilo sasa endeleeni majungu mtashituka mnaburura mkia kimaendeleo.
MUKAMASIMBA,

..hebu acha dharau na matusi.

..huwezi kujenga JUMUIYA huku mioyoni mwenu mmejaa DHARAU na CHUKI.

..Tanzania, Kenya, na Uganda, zimewakaribisha kwenye Jumuiya, sasa tayari mmeshakuwa wenyeji kiasi cha kutukana waanzilishi wa jumuiya???

..Tanzania tungekuwa wavivu tusingewafurumusha askari wa Rwanda/m23 toka ktk ardhi ya Congo.

..tungekuwa wavivu tusingekuwa tunawalisha Kenya kila wanapopatwa na njaa.

..hivi vituko vyote mnavyofanya ni kwasababu ya kupigwa kule Congo, na kushauriwa mfanye mazungumzo ya amani na mahasimu wenu.

..Raisi wenu ameshakubali yaishe, amesema sisi ni ndugu. Nyinyi raia wake kwanini mnaendekeza vinyongo, matusi, na dharau?

cc bornagain, lawmaina78, Bukyanagandi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom