PK anajua sana kuwachezea akili viongozi wa Kiafrica wasio ona mbali, Rwanda iliachwa kutawaliwa na wakoloni kwenye miaka ya SITINI, na wakoloni waliondoka bila ya kupigana vita; sasa hii agenda ya kusherekea kukombolewa kwa RWANDA inatoka wapi? Yanarudi yale yale ya kupalilia UKABILA as far as PK and his lieutenants are concern tafsiri ya UKOMBOZI ni RWANDA kutawaliwa na a Minority (TUTSIS) basi!!! Makabila mengine yeye anawaona ni HAMNAZO, hii inaweza ku-set a very bad precedence.
Miafrica tulivyo wa ajabu! Si ajabu viongozi walio halikwa huko hawata-question suala hilo, kama mwenzangu anavyo sema hapo juu, hakuna cha biashara wala nini? - Hapo wanafanya michezo ya kuigiza kwa kurudia rudia kuchezea karata za genocide miaka nenda rudi kama njia ya ku-legitimize kikundi kidogo kuendelea kutawala majority miaka yote mpaka YESU arudi - kisa? Wenyewe ndio wana amini Mungu aliwapa haki miliki ya KUTAWALA wengine - nimesoma nao nawajua sana mindset zao zilivyo, ziko highly scewed kweli kweli and they can do anything to prove a POINT - labda niseme sio wote lakini wengi wao wako wired hivyo! Govt ya Rwanda inacho fanya ni ku-copy na ku-paste tactics za Wayahudi kuhusu HOLOCAUST, oh yes emulating JEWS tacticts to the letter ili wafanye wapendalo kwa binadamu wenzao bila ya kujali au kuogopa Dunia itasemaje.
mkuu kuna sera inayointwa "ndi' omunyarwanda" nilisikia siku moja redioni, ktk utekelezaji wake, Wahutu wanatakiwa kuwaomba msamaha Watusi kutokana na mauaji ya kimbari!, kwakweli ilinishangaza sana