Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Daaah ipo siku mtaopoa majini au akina ant bilal
 
Daaah ipo siku mtaopoa majini au akina ant bilal

Nasema kweli.. nilirudi wakati naendesha naangalia nyuma.. i was scared... yaani..!! Nilijiona mjingaaaaaa... na fala sana.. acha tu.. niliwaza sana, je ningechukua chumba..? Alafu picha totally sio yeye... nguvu ziliniishia..!!
 
haaaa eti hatembeagi mchana he usiku tu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sema kuna watu humu wana maneno ya kujisex-isha hadi nshawajengea taswira kabisa kila nikiona IDs zao.
Mi mwenyewe kuna kadhaa humu wananisisimua sana kwa uandishi wao
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eeeh Mungu ,ngoja nisiseme neno ,tuishie hapa hapa
 
Kweli kabisa...JF MMU is a world of its own.

Wakati mwingine unakuta kuna couples humu tena kwa hata miaka...lakini hata kukutana hawajahi.

Vituko vya humu bana...full burudani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eeeh Mungu ,ngoja nisiseme neno ,tuishie hapa hapa

Haya mambo ya mtandaoni usiamini kabisa aiseee... hadi umuone mtu face to face, na umjue sasa...!! Hatari sana

haaa..
 
hahaha!! Pole mkuu
mtu anajua kabisa picha alizokua akituma sio yeye halaf bado anaenda kwenye appointment anategemea nini,nikujiamini Sana au
 
Haya mambo ya mtandaoni usiamini kabisa aiseee... hadi umuone mtu face to face, na umjue sasa...!! Hatari sana

haaa..
Huyo uliye muelezea hapo juu ,kuna mwenzake sasa anapenda kukaa hapa posta Opposite na NBC kwenye uwanja wa wazi ule ,Ukipita asubuhi unamkuta kavaa baibui kakaa kwenye mabenchi yale halafu anaanza kujipodoa ,kila mtu anamshangaa sijui kama bado yupo ,Sijapita pande hizo siku nyingi

Mwenyewe mrefu halafu mweupe ,

Anaweza akajipaka aina 17 ya mafuta na kioo chake
 

Kuna majini mjini hapa aisee...!! ni kukaa chonjo sana..!!
 

Attachments

  • FB_IMG_1457995951815.jpg
    15.7 KB · Views: 48
hujakutana na mimi utaanza kunitafuta wewe
 
Ashakupga dawa yake inaitwa mvuto wa nzi maskini.
Badala unipende mimi we wampenda mshana hakawii kukupeleka gamboshi wewe[emoji23]
ha ha ha haaa...mkuu we nae wivu sana achagaaa!...nampenda hvyo hvyo hata gamboshi anipeleke!...japo naogopa ila mapenzi matammmmmm na mshana Jr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…