hizo sio nzuri kama bareback au zile erotica.....au unasemea zile zenye vipelepele......?
Ila dada hajambo charminglady... Wewe je?
Nafurahi kusikia hivyo mpendwa.... Msalimie sana shmeji! @me thijambo na kijacho hajambo saaanaa!! pia shemeji yako hajambo saana!!!
Nafurahi kusikia hivyo mpendwa.... Msalimie sana shmeji! @
Kwani shem we wapenda zipi ?
Za plain au za upeleupele ?
Kama utaona noma kuniwekea hapa , zunguka nyuma kwa
"Prime Minister"
Mhh...
napenda unavyoguna....mtamu wewe hahahahah
hahahahah...............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watoto wabaya sana nyie,hata hamuoni aibu kujadili zana za kufanyia matusi hadharani.....
Watoto wabaya sana nyie,hata hamuoni aibu kujadili zana za kufanyia matusi hadharani.....
usijali sis... mie tena... haya mwambie mummy ntamtumia ticket ya fastjet ampelekee Mustafa Hassanalli amshonee nataka mwaka huu awafunike wamama wooote wa Uru Kishumundu!!!!!
Mkola wa Nyani Kibwaya Mkia Full umate umateeeeee!!
watoto wabaya sana nyie,hata hamuoni aibu kujadili zana za kufanyia matusi hadharani.....
kilililililili....aiaiaiaiaiaiai.... vigelegele vya kiuru! wanangu mabinti zangu charminglady, sweetlady na WiseLady naona mwataka nitokelezeee... na kaka yenu Davie S.M atampendezesha baba yenu watu8. Kweli mungu ni mwema!