Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
- Thread starter
- #281
Umemuonga irene na sikujua😂😅 nmemuhonga nani we fisi
Umemuonga irene na sikujua😂😅 nmemuhonga nani we fisi
Bado si uulinikataza baba mdogoBangi unaitumia bado?
Tafadhali Sana John mtembezi,huyu mtoto ni lulu ya familia usimguse😂😂😂 bas nimekoma ukoo wote utanichamba kisa last born wao
Mkomesheni huyo ajue kuwa hapa mjini nna dada 😅Huyu hajui Jeshi letu kubwa Clepatina njoo huku ndugu yetu anashambuliwa,eti sisi sio ndugu
Ukiona nmesave namba ya mtu😁😁😁Hellow african
wote tuna simu wote tuna marafiki na wote tuna marafiki tofauti
Je mara mwisho kusave namba mpaya ambayo ni muhimu sana ni lini?
Au bado unasave namba ya single mother na videmu vya mtaani?
Mimi yapata miezi sita sasa sijasev namba mpaya nyingi naziweka panding how about wewe
tano za mizinga ya uhakika 😁Ukiona nmesave namba ya mtu😁😁😁
Kwanza kweny simu yangu nina namba 50 tu. Ishirini na kitu za ndugu, tano za wachumba.
Zilizobaki zote mambo ya kazi na ushauri nasaha.
[emoji28][emoji28][emoji28]Ukiona nmesave namba ya mtu[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwanza kweny simu yangu nina namba 50 tu. Ishirini na kitu za ndugu, tano za wachumba.
Zilizobaki zote mambo ya kazi na ushauri nasaha.
Nisamehe mimi sirudi tena ila mwambieni ukwl kudeka aacheTafadhali Sana John mtembezi,huyu mtoto ni lulu ya familia usimguse
Ww umekomaa na meno yameeachaMkomesheni huyo ajue kuwa hapa mjini nna dada 😅
Ahahahaha duh nimekuzidUkiona nmesave namba ya mtu😁😁😁
Kwanza kweny simu yangu nina namba 50 tu. Ishirini na kitu za ndugu, tano za wachumba.
Zilizobaki zote mambo ya kazi na ushauri nasaha.
Eeh nambie ww huko na majina ngapi?Ahahahaha duh nimekuzid
😁😁😁[emoji28][emoji28][emoji28]
😂😂😂Nne za mizinga inaitwa mizinga haswa.tano za mizinga ya uhakika 😁
Sasa wachumba watano wote wa nn?? 😅😅
nawaombea hao 4 popote walipo mungu awaonyeshe droo la biko unalowachezesha 😂😂😂😂Nne za mizinga inaitwa mizinga haswa.
Alf moja ya bebeeee.
😁😁😁Siri ya mtungi.Sasa wachumba watano wote wa nn?? 😅😅
Naushindweeeee.nawaombea hao 4 popote walipo mungu awaonyeshe droo la biko unalowachezesha 😂
Daahh halafu ukiwa kifunia kila mmoja unamwambie ni wewe tu😅😅😁😁😁Siri ya mtungi.
113 😂😂😂 hapo jana nimefuta futa nambaEeh nambie ww huko na majina ngapi?